proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
Hofu ni hisia kutokana na akili kwa kitu au hali fulani inakuaje. Asilimia kubwa ya hofu ni mawazo hasi. Japo hofu huweza kukuepusha na hatari au kukupa mafanikio.
Hofu inafaida wakati mwingine hasa ukiwa unafanya kitu chanya. Ukiwa na mawazo hasi kwenye hofu yako huweza kuharibu. Mfano kuna watu wanakuwa na hofu na mitihani na wanafaulu vizuri.
Hofu ikiwa ya mambo hasi hujega woga na wasiwasi. Kila mtu ana hofu na kitu anachokiogopa kutokana na sababu za kimazingira, uchumi, na imani.
Hofu na woga unaotawala vijana wa sasa ni kamaifuatavyo;
1.Kubeba mimba
2. Kukosa kazi inayokuingizia kipato
3.Kuoa na kuolewa
4.Kuzeeka
5. Hofu ya kuachika au kuachwa
Zipo aina nyingi za hofu kama kuongea mbele ya watu, kufa, kuaga maiti, kupanda meli au ndege.
𝐍𝐢 𝐡𝐨𝐟𝐮 𝐢𝐩𝐢 𝐢𝐧𝐚𝐲𝐨𝐤𝐮𝐬𝐮𝐦𝐛𝐮𝐚?