Hoja 3 nzito kutoka simba kwenda CAF kuhusu kuhamisha mchezo kutoka Mkapa kwenda Amani

Soka ni biashara pia mkuu
Ukiachilia mbali matokeo ya dk 90 ambayo yataamumuliwa na uwezo wa timu...... lakini pia kuna swala la MAOKOTO

Kuna tofauti kubwa sana ya mapato
Kwasababu hii ni FAINALI, full house ipo guaranteed
Amani 15k Vs 60k...... do the math
 
Mimi ninaamini Simba wameshajua hii ngoma ni ngumu tangu mapema tu. Wanakomaa kwa Mkapa ili wapige pesa na sio kwamba eti wachukue Kombe.
 
PSG wanalipwa, halafu siyo timu ya Rwanda ile. Iwanja wa Amani Simba huutumia pia ndiyo maana CAF ikauchagua ule savabu ni miongoni mwa viwanja ambavyo Simba yenyewe imevipendekeza katika mashindano ya msimu huu.
CAF haujauchagua uwanja wa Aman. Baada ya mechi Al Masry kuonekana pitch ni mbovu. Ikabidi Simba ichague uwanja wake mwingine wa nyumbani. Na hapo ndo Simba ikachagua kwenda Zanzibar. Ilipofika Final wakaamua kuswitch kurudi kwa Mkapa, hapo CAF imekaza imesema kwa Mkapa haiwezekani.
 
Mapato ya mchezo. tpka watazamaji, hoja hii hujaiona
 
Katika hoja ya pili ya Simba viongozi wenu wanajizima data kwamba hawajui derby ya tarehe 8 ticket zilishauzwa na watu walishasafiri kutoka mikoani na nje ya nchi?

Unaweza kuuza ticket na CAF ikaamuru mechi ichezwe bila mashabiki.
 
Solution ni simple Simba waiandikie CAF barua hawatocheza hiyo match
 
Nadhani jambo la maana ni kujiuliza Je ni kweli Pitch ni Mbaya mpaka dakika hii ? Au sababu zilizopelekea ufungiwe zimekwisha ?

Watu miili yao ndio nyenzo kuwapeleka viwanja vinavyoweza kuwaletea athari au kupunguza radha ya mpira nadhani sio sahihi (Badala ya kupambana na CAF tupambane na Serikali / wahusika wa kusimamia huo uwanja)
 
Brother hakuna shida yoyote Simba kucheza Zanzibar.
Lakini umezielewa hoja za Simba?
Ingawa najua ni hakuna shida yoyote mechi kuchezwa Zanzibar lakini mambo hayafanyiki kiholela namna hiyo.
Kama CAF yenyewe ilitunga kanuni na Sheria zake kwa Nini Sasa haizifuati?
Naomba u some andiko la mtoa mada ili uelewe.
 
QUALITY.
QUALITY.
QUALITY.
Hii quality unaipenda sana Mkuu.
Lakini Kwa Sasa tufanye Simba Ina wa chezaji ambao hawana quality je ingejitoa kwenye mashindano haya Hadi itakapopata wachezaji wenye quality?.
Je hujui kua Simba inajenga timu?
Je hujui kwamba katika siku za usoni inatarajia kuongeza wachezaji wengine wenye quality?
Na unajua kwamba mambo hayo ya kupata wachezaji wenye quality hayafanyiki kwa usiku mmoja?
Hebu nijajie timu yoyote ya kusini mwa jangwa la Sahara ukiondoa Afrika kusini yenye wachezaji wenye quality na uniambie wanashiriki mashindano Gani kwa mwaka huu wa 2025!
Je hujaona kama Simba ni timu ya maajabu kwa mwaka huu 2025 licha ya kuwa na wachezaji wenye quality ndogo kwa mujibu wako lakini weweza kucheza fainali?
Je huoni kama Simba imeweza kuwatumia Kwa akili nzuri na maarifa makubwa wachezaji wenye quality ndogo na kuwapatiaafanikio makubwa?
Kumbuka toka 1993 Leo ni miaka 30 Simba hii ya 2025 ndio imeweza kucheza fainali Tena? Je huoni kua hiki ni kipaji kikubwa sana Cha Viongozi wa Simba Kwa kuweza kuwatumia vizuri wachezaji wenye quality ndogo lakini kimeipeleka Simba kwenye heshima kubwa?

Mfano
Simba ni sawasawa na mtoto wa familia fulani aliepewa Mtaji wa shilingi 10,000,000/ na mzazi wake, lkn Kwa nidhamu kubwa akaweza kuzizungusha na akapata utajiri wa shs 100,000,000/

Lakini upande wa pili kukawa na mtoto wa familia nyingine,yeye aliepewa na wazazi wake Mtaji wa Shilingi 100,000,000 akazifuja kwa starehe na anasa akapa hasara na kufilisika. Hapa tuweke mfano wa Al Ahly Tripoli.

Yupi mtoto Bora hapo?

Nachotaka kusema hapo ni kwamba hao wachezaji ilionao Simba wasio na ubora ndio inao Sasa,je ulitaka Simba ijitoe kwenye mashindano hadi pale itakapokua na wachezaji wenye quality?

Kama Simba yenye wachezaji wasio na quality unayoitaka wewe vipi kwa timu ambazo Simba imezifunga na kuzitoa mashindanoni ke quality Yao nao ikoje?

Mfano.
Al Ahly Tripoli - Libya
Sx Sfaxien -Tunisia
Al Masry - Egypt
CS Constantine -Alageria
Bravos - Angola
Stellenbosch - SA

Na zile ambazo zilishia njiani kama
Zamalek - Egypt
Asec mimosas - Ivory coast
Usm Urger- Algeria

Ukweli ni kwamba Simba bado inajenga timu lkn imecheza fainali.
 
Topolo kwenye ubora wake, Simba hawezi kushauriwa na topolo hata siku moja ya kwetu tuachieni sie😄😄😄😄😄
 
Simba imekuwa timu ya kulialia na kutafuta sababu za kuokotezaokotea. Tarehe 8 Machi, waligomea mchezo bila sababu za msingi. Leo wanalilia wakacheze kwenye uwanja mbovu!!
 
Km shida ni idadi ya watu,game iende Amahoro wanaingia elfu 45.
Mwenye timu ya berkane ni mjumbe wa FIFA,Chama cha soka Morocco and makamu wa kwanza wa CAF hii maana yake kuna ushawishi kwakua wanajua kwa mkapa ni pagumu kwa timu almost zote kasoro al ahly alieuvunja utamaduni huo nazani mwaka jana waliposhinda 1-0.
Simba kifedha watatengeneza hela nyingi game ikichezwa Taifa kuliko popote pale ndio shida ilipo
 
Upuuzi mtupu mechi Amani Complex mukataka mutacheza hamutaki mutacheza
 
Nakubali simba hajaleta kombe lolote kupitia uwanja wa Mkapa, lakini simba kipindi cha nyuma alitolewa na team zingine asiende hatua ya nusu fainali ilikua ni mechi za away kiasi kikubwa kuacha ile mechi ya wale waafrika kusini ambako alitolewa kwa kuishia goli 3 tu.

Sasa simba ipewe nafasi ya kucheza kwa Mkapa fainali ili tuone nguvu ya yao nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…