Hoja 3 nzito kutoka simba kwenda CAF kuhusu kuhamisha mchezo kutoka Mkapa kwenda Amani

PSG wanavaa jezi zilizoandikwa Visit Rwanda, je wanacheza mechi zao Rwanda? Hata akili kidogo tu ya kuchanganua mambo umekosa!?
Andikeni barua ya kugoma CAF
Simba ni timu kubwa,CAF watawaogopa mkiwatishia kuwa hamchezi
 
Swali fikirishi je uwanja ukijaa maji tena mtafanyaje, pampu ya kuvuta maji uwanjani hakuna
 
Wenye akili ni wawili tuu...... kwahiyo Simba hajawahi kushinda nje ya nchi??
 
Nashauri Simba tsipeleke timu uwanjani iwapo huja zetu hazitajibiwa ipasavyo.
 
Simba, kwa mpira ule walionyesha jana, watafungwa kwenye uwanja wowote ule, hata wakichagua uwanja wa kinesi
 
Lini uliona vist zanzibar kunako jezi ya mnyama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…