HOJA BINAFSI YA KUMUENGUA Lady doctor kwenye shindano la MISS CHIT CHAT..

HOJA BINAFSI YA KUMUENGUA Lady doctor kwenye shindano la MISS CHIT CHAT..

Status
Not open for further replies.
Mzee usijitie upofu, au ukawa kama mbuni anayeficha kichwa chake mchangani huku kiwiliwili chote kiko nje apo eti amejificha

kiroho safey Arushaone angejitoa tu kweye hizi kampeni awaachie wengine

Hawajiamini kabisa mkuu!

Wapo zaidi ya 30. Pamoja na rais wa shindano.
Lakini bado wanachachawa..

Dont chezea big 4 kabisa!!
 
Last edited by a moderator:
Mzee usijitie upofu, au ukawa kama mbuni anayeficha kichwa chake mchangani huku kiwiliwili chote kiko nje apo eti amejificha

kiroho safey Arushaone angejitoa tu kweye hizi kampeni awaachie wengine

Arushaone naye pia ni binadamu. Kuna upande anaoushabikia, anaotamani.ushinde.

Poll haina upendeleo wowote. Hizi sio kura za vidole. Tuendelee taratibu.
 
Last edited by a moderator:
Hawajiamini kabisa mkuu!

Wapo zaidi ya 30. Pamoja na rais wa shindano.
Lakini bado wanachachawa..

Dont chezea big 4 kabisa!!

kiwatengu
Kati yetu na nyie nani waliochachawa????
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unaanza kupinga jambo pale unapoanza kuona linaenda ndivyo sivyo. Awali hatukudhani kama Arushaone angekengeuka na kutenda kama hivi. Tumeanza kumpigia kelele baada ya kuona anaharibu..

Toa vielelezo ambavyo vinaonesha ukiwakwaji wa shindano hili
 
Last edited by a moderator:
Nimeona sehemu pia yeye kama muandaaji anatoa sh.10,000/=
Afu ndiyo rais wa shindano!!

Lakini Arushaone hebu kumbuka kipindi mchakato unaanza we mwenyewe kuna kauli nzuri sana ulizitoa zakutoshiriki katika kampeni!!

Shindano uandae wewe! Mshindi umtafute wewe..
Mbona majanga???

Kuchangia 10,000 kwa ajili ya zawadi sio kosa mtu yeyote anaweza changia isipokuwa kama kuna makatazo fulani
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe... utakuwepo kwenye send -off party ya YNNAH ??:A S 39:

Sina sababu ya kutokuwepo!
Afu nakumbuka mlikua mnatangaziana vita na Arushaone , ndiyo hivi umevianzisha? Au unatest vifaa vya vita?
Au vita vyenu vilishakwisha ?
 
Last edited by a moderator:
Naona mmeshaanza kutapatapa.

Mwenyekiti unalalamika tena.

Nalalamika au naeleza kutoridhishwa kwangu na kile anachokifanya muandaaji na mratibu wa shindano Arushaone, angeacha watu wengine wawachague ma miss na sio yeye atumie cheo chake kama dhamana ya matakwa yake... Otherwise angemteua tu huyo mkewe na kumtangaza hapa tujue moja kuliko kufanya mizengwe kiasi hiki, hii sio haki kabisa.
 
Last edited by a moderator:
mie nlisema siku nyingi sana kabla hawajaingia top 5 afu hili shindano hakuna ukomo kushiriki??
Watu wale wale kila siku tokea mwaka jana tunahitaji sura mpyaaaa vipusa vya maana

sasa ndo nimeziona busara zako, huyu jamaa anaharibu sana.... BTW mrembo shansarie hajawahi kushiriki ndo mara yake ya kwanza...
 
Last edited by a moderator:
Mi nadhani utaratibu ubadilishwe baada ya hili shindano...kwani mapungufu yanapojitokeza katikati ya mchezo, busara nikusubiri mchezo uishe tuweze kurekebisha/kutunga kanuni zenye ku-guide shindano. Baba V, subiri shindano liishe leo usiku harafu utoe mapendekezo vinginevyo unachokifanya hakina tofauti na kupiga kampeni.
 
Hao kina Baba V wanatumia mbinu ya CCM kupiga kampeni...usiwasikilize wala kuwaamini

Kama Baba V ana hoja ya msingi aanze kwa kujibu nilichomuuliza hapo juu...
 
Last edited by a moderator:
Nalalamika au naeleza kutoridhishwa kwangu na kile anachokifanya muandaaji na mratibu wa shindano Arushaone, angeacha watu wengine wawachague ma miss na sio yeye atumie cheo chake kama dhamana ya matakwa yake... Otherwise angemteua tu huyo mkewe na kumtangaza hapa tujue moja kuliko kufanya mizengwe kiasi hiki, hii sio haki kabisa.

Chagua Lady doctor hap

Na wewe kama mwenyekiti wa jukwaa inakuaje unapiga kampeni.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom