Mkuu unaanza kupinga jambo pale unapoanza kuona linaenda ndivyo sivyo. Awali hatukudhani kama Arushaone angekengeuka na kutenda kama hivi. Tumeanza kumpigia kelele baada ya kuona anaharibu..
Nimeona sehemu pia yeye kama muandaaji anatoa sh.10,000/=
Afu ndiyo rais wa shindano!!
Lakini Arushaone hebu kumbuka kipindi mchakato unaanza we mwenyewe kuna kauli nzuri sana ulizitoa zakutoshiriki katika kampeni!!
Shindano uandae wewe! Mshindi umtafute wewe..
Mbona majanga???
Naona mmeshaanza kutapatapa.
Mwenyekiti unalalamika tena.
mie nlisema siku nyingi sana kabla hawajaingia top 5 afu hili shindano hakuna ukomo kushiriki??
Watu wale wale kila siku tokea mwaka jana tunahitaji sura mpyaaaa vipusa vya maana
ram popote ulipo, mi ntatia timu na Baba V, uwepo wako ni muhimu sanaMasiku yamepita hatuonani nae .
Mi nadhani utaratibu ubadilishwe baada ya hili shindano...kwani mapungufu yanapojitokeza katikati ya mchezo, busara nikusubiri mchezo uishe tuweze kurekebisha/kutunga kanuni zenye ku-guide shindano. Baba V, subiri shindano liishe leo usiku harafu utoe mapendekezo vinginevyo unachokifanya hakina tofauti na kupiga kampeni.
Baba V unapoamua kuja na hoja nyepesi kama hizi uwe unajua kabisa kuwa JF ni uwanja usio na kificho.
Anza kwanza kwa kupitia hii sredi hapa chini kabla ya kuendelea na nyingine...
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/332103-piga-kura-kwa-charminglady-awe-miss-chitchat.html
Nalalamika au naeleza kutoridhishwa kwangu na kile anachokifanya muandaaji na mratibu wa shindano Arushaone, angeacha watu wengine wawachague ma miss na sio yeye atumie cheo chake kama dhamana ya matakwa yake... Otherwise angemteua tu huyo mkewe na kumtangaza hapa tujue moja kuliko kufanya mizengwe kiasi hiki, hii sio haki kabisa.
Imbombo jilipo......
ila kwani Arushaone ana control ya hiyo poll
kwamba anaweza kuhamisha kura za shansarie kwenda kwa Lady doctor
naomba ufafanuzi hapo Baba V