Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,756
Lady doctor alishawahi kushiriki kwani ndugu mwenyekitisasa ndo nimeziona busara zako, huyu jamaa anaharibu sana.... BTW mrembo shansarie hajawahi kushiriki ndo mara yake ya kwanza...
Hivj kuna muongozo wowote wa kuendesha shindano hili? Kama upo je ni kifungu gani kimekiukwa ili tuweze kujadili jambo lako
Refa anapoishabikia timu moja tena hadharani unategemea kutakuwa na haki?
Yani İ second Baba V mia kwa mia kama wabunge wa CCM.
Nilikua nafikiria siku moja niitoe zawadi moja ya banga zangu , kama si ya Mchambawima basi ya KiboroLoni, kwa miss wa siku zijazo!
Sijui itakuaje hali ya hewa hapa Jamvi !
Lady doctor alishawahi kushiriki kwani ndugu mwenyekiti
Huyo tayari ana kasoro.. mume wake laleta mambo ya ndoa kazini...
Baba V unasimamia upande wanani kati ya Lady doctor na shansarie....?Huyo tayari ana kasoro.. mume wake laleta mambo ya ndoa kazini...
Alikuwa mratibu wa Mashindano yote ya Umiss mwaka wa jana 2012 hapa JF...
Na kwa heshima kabisa ndiye mwanzilishi wa haya mashindano...