Baba V
Nashukuru kwa kukumbukazi kazi niliyokuwa nafanya.
Naomba kwanza uungane na mimi kumshukuru Mungu shindano hili kirejea na sasa lonaendelea.
Pili naomba ungane na mimi kuwa na imani na
Arushaone ;sijui ni kwanini huwa ninaimani na
Arushaone kwakua nakimbika hata kipindi naendesha hili zoezi ilifikasehemu nimetingwa na majukumj nikamuomba anksaidie japokua na yeye alikuwa ametingwa zaid ya mimi.
Ningependa niwafahamishe wadau kazi hii ni ngumu na imejawa na kila aina ya lawama; na kwa vyovyote vile sizani hapa chini ya jua kama kina kitu kinaweza kikafanywa na binadamu kikawa kimekamilika,ni wakati wa kusupport zoezi hili ili likamilike kisha kuchukua changamoto zilizojitokeza kuziweka sawa kwaajili ya kuboresha shindano lijalo.nakuomba
Baba V tumsupport
Arushaone ili mashkndano haya yaendelee kudumu.
pamoja na hayo ni makosa mwendeshaji kuonyesha interest na mshiriki ni mbaya sana