Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwulize NAPEKwanza niseme nakubali kabisa Rais anafanya kazi kwa ratiba alizopangiwa na wasaidizi wake. Siku 4 zilizopita Mh. Samia Suluhu Hassan katika ziara yake mkoani Katavi ameonekana katika msafara wake wa magari zaidi ya 100 akipita kwa kasi sana huku wananchi wakiwa wamejipanga barabarani kushangaa msafara wa Kiongozi wao.
Nimejiuliza maswali kadhaa kichwani kwangu huyu Rais tumemchagua sisi wananchi tuliosimama barabarani (ndio tumemchagua kwasababu wakati wa kupiga kura tulipiga kwa Marehemu magufuli na mgombea mwenza wake ambae ni huyu bibi samia).
Nimejiuliza anajisikiaje anapoona wananchi waliomchagua wapo barabarani yeye akipita kwa kasi bila kuwapa hata salamu huku akiwa na ulinzi wa kutisha kiasi cha kusema labda wananchi waliomchagua ndio tishio?
Jamani ieleweke sipingi ulinzi kwa Kiongozi wa nchi lakini nimeona tu kuwa waliomchagua wangepata faraja hata kupungiwa mkono tu na Kiongozi wao.
Kila la heri Rais samia Mungu akulinde afya njema na Hekma katika kuliongoza taifa letu.
Mimi na rais ni watu wawili wenye hadhi tofauti. Mbona wakati wa kuomba kura anasimama kila mahali kuwasalimia wananchi iweje akishaupata urais anachagua sehemu za kuwasalimia?Siyo rahisi kwa Rais kusimama kila penye watu barabarani asalimie.
Kama ambavyo wewe huwezi kusimama usalimie kila mtu mtaani unapopita hata kama unatembea kwa miguu.
Na wakati wa kuomba kura awe anaenda na muda hivyo hivyo.Nadhani anaenda na muda! Akisema kila mahali asimame atachelewa huko anakokwenda.
Akiwa nje ya nchi mwenyeji wake ndiye atahakikisha usalama wa mgeni wakeMbwembwe tu za kijinga , hivi rais anapokuwa nje ya nchi usalama wake unakuwa mkubwa zaidi ndio maana anakuwa hana ulinzi mkubwa
Chadema wenyewe wametokana na CCM sasa unachobishq kitu gani?Ni kweli ni dubwasha kubwa,ila si dubwasha bora. Mjinga tu ndio husifia ukubwa na sio ubora. Kwa maneno marahisi ni chama analogia kwenye ulimwengu wa kidigital.
Wananchi punguzeni makasiriko.Anatuogopa ''wana inji'' kwakuwa hatukumchagua Bali katiba ya 77 ambayo hatuitaki ndiyo imemchagua
Ainisha huo utofauti usitake kuaminisha watu vitu vya hovyo, usalama wa rais lazima uwe fully at any time, trust no body ndo maana PSU wapo macho na mama RIP Mwinyi alipigwa kofi je ingekuwa mshukiwa angekuwa na kitu chenye ncha Kali ingekuwaje miaka ile japo mzee alikuwa soo social ila alipigwa na kiatuWewe kwaakili zako hapa kuna agenda gani ya siri gani unayoiona? Usiwe mjinga basi kwani kuhoji kwanini rais hasimami kuwasalimia wananchi ni kosa? Kama huna jibu si unyamaze halafu hao viongozi walioshambuliwa huko marekani na Japanese huwezi kufananisha siasa zao na za kwetu kwanza tumetofautiana vitu vingi sana..
mmemchagua wapi? lini?Kwanza niseme nakubali kabisa Rais anafanya kazi kwa ratiba alizopangiwa na wasaidizi wake. Siku 4 zilizopita Mh. Samia Suluhu Hassan katika ziara yake mkoani Katavi ameonekana katika msafara wake wa magari zaidi ya 100 akipita kwa kasi sana huku wananchi wakiwa wamejipanga barabarani kushangaa msafara wa Kiongozi wao.
Nimejiuliza maswali kadhaa kichwani kwangu huyu Rais tumemchagua sisi wananchi tuliosimama barabarani (ndio tumemchagua kwasababu wakati wa kupiga kura tulipiga kwa Marehemu magufuli na mgombea mwenza wake ambae ni huyu bibi samia).
Nimejiuliza anajisikiaje anapoona wananchi waliomchagua wapo barabarani yeye akipita kwa kasi bila kuwapa hata salamu huku akiwa na ulinzi wa kutisha kiasi cha kusema labda wananchi waliomchagua ndio tishio?
Jamani ieleweke sipingi ulinzi kwa Kiongozi wa nchi lakini nimeona tu kuwa waliomchagua wangepata faraja hata kupungiwa mkono tu na Kiongozi wao.
Kila la heri Rais samia Mungu akulinde afya njema na Hekma katika kuliongoza taifa letu.
Mbona marehemu magufuli alikuwa anasimama barabarani anaasalimia wananchi kwani yeye alikua haogopi kushambuliwa na hao maadui.?Ainisha huo utofauti usitake kuaminisha watu vitu vya hovyo, usalama wa rais lazima uwe fully at any time, trust no body ndo maana PSU wapo macho na mama RIP Mwinyi alipigwa kofi je ingekuwa mshukiwa angekuwa na kitu chenye ncha Kali ingekuwaje miaka ile japo mzee alikuwa soo social ila alipigwa na kiatu
Rais hupangiwa ratiba na kila kitu,note Magufuli hata PSU nadhani iliona ni shida coz kila jambo alitakiwa kufuata utaratibu ndo maana hata jukwaani alikuwa hana mpangilio wa Mambo kila leo yeye aliwaza kutumbua tu so hata mifumo ikawa inaogopa kutekeleza majukumu mtu haijui kesho yake,uzalishaji nao ukawa ndogo,upigaji ukawa mkubwa sana kupita awamu zote,so mama anafuata taratibu za kuongozwa na ulinzi wake as protocol sayMbona marehemu magufuli alikuwa anasimama barabarani anaasalimia wananchi kwani yeye alikua haogopi kushambuliwa na hao maadui.?
Hakuna ufisadi kuzidi hii awamu majangili yote yamerudi kaziniRais hupangiwa ratiba na kila kitu,note Magufuli hata PSU nadhani iliona ni shida coz kila jambo alitakiwa kufuata utaratibu ndo maana hata jukwaani alikuwa hana mpangilio wa Mambo kila leo yeye aliwaza kutumbua tu so hata mifumo ikawa inaogopa kutekeleza majukumu mtu haijui kesho yake,uzalishaji nao ukawa ndogo,upigaji ukawa mkubwa sana kupita awamu zote,so mama anafuata taratibu za kuongozwa na ulinzi wake as protocol say