Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Teh! Teh! watu wapo kaziniHakuna ufisadi kuzidi hii awamu majangili yote yamerudi kazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh! Teh! watu wapo kaziniHakuna ufisadi kuzidi hii awamu majangili yote yamerudi kazini
Ishu ni wingi wa walinzi mkuu ,kwa nini anapokuwa ndani ya nchi yake ulinzi mkubwa kulipo anapokuwa nje ya nchi?Akiwa nje ya nchi mwenyeji wake ndiye atahakikisha usalama wa mgeni wake
anaogopa manatiKwanza niseme nakubali kabisa Rais anafanya kazi kwa ratiba alizopangiwa na wasaidizi wake. Siku 4 zilizopita Mh. Samia Suluhu Hassan katika ziara yake mkoani Katavi ameonekana katika msafara wake wa magari zaidi ya 100 akipita kwa kasi sana huku wananchi wakiwa wamejipanga barabarani kushangaa msafara wa Kiongozi wao.
Nimejiuliza maswali kadhaa kichwani kwangu huyu Rais tumemchagua sisi wananchi tuliosimama barabarani (ndio tumemchagua kwasababu wakati wa kupiga kura tulipiga kwa Marehemu magufuli na mgombea mwenza wake ambae ni huyu bibi samia).
Nimejiuliza anajisikiaje anapoona wananchi waliomchagua wapo barabarani yeye akipita kwa kasi bila kuwapa hata salamu huku akiwa na ulinzi wa kutisha kiasi cha kusema labda wananchi waliomchagua ndio tishio?
Jamani ieleweke sipingi ulinzi kwa Kiongozi wa nchi lakini nimeona tu kuwa waliomchagua wangepata faraja hata kupungiwa mkono tu na Kiongozi wao.
Kila la heri Rais samia Mungu akulinde afya njema na Hekma katika kuliongoza taifa letu.
Nani anakupa rukhsa ya kujadili ulinzi wa Rais?Kwanza niseme nakubali kabisa Rais anafanya kazi kwa ratiba alizopangiwa na wasaidizi wake. Siku 4 zilizopita Mh. Samia Suluhu Hassan katika ziara yake mkoani Katavi ameonekana katika msafara wake wa magari zaidi ya 100 akipita kwa kasi sana huku wananchi wakiwa wamejipanga barabarani kushangaa msafara wa Kiongozi wao.
Nimejiuliza maswali kadhaa kichwani kwangu huyu Rais tumemchagua sisi wananchi tuliosimama barabarani (ndio tumemchagua kwasababu wakati wa kupiga kura tulipiga kwa Marehemu magufuli na mgombea mwenza wake ambae ni huyu bibi samia).
Nimejiuliza anajisikiaje anapoona wananchi waliomchagua wapo barabarani yeye akipita kwa kasi bila kuwapa hata salamu huku akiwa na ulinzi wa kutisha kiasi cha kusema labda wananchi waliomchagua ndio tishio?
Jamani ieleweke sipingi ulinzi kwa Kiongozi wa nchi lakini nimeona tu kuwa waliomchagua wangepata faraja hata kupungiwa mkono tu na Kiongozi wao.
Kila la heri Rais samia Mungu akulinde afya njema na Hekma katika kuliongoza taifa letu.
Sawa mheshimiwaNani anakupa rukhsa ya kujadili ulinzi wa Rais?
Unajua Rais halali kwaajili ya wananchi wake?
Unajua rais anakuwaza wakakti wewe upo kwenye beti na kujadili mzee mpili?
Hata yakiwa magari 200, watu wanalipa kodi na kazi ya kodi ni ulinzi, manendeleo tutakopa.