Hoja fikirishi: zikiwekwa hapo Bilioni 5 Tundu lissu afutwe uanachama kuna atakaekataa?

nuporo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
1,534
Reaction score
3,387
Mfano.. zikiwekwa hapo Bilioni 5 Tundu lissu afutwe uanachama kuna atakaekataa?

Tundu lissu amekuwa sehemu ya Tishio kwa Hoja zake na misimamo yake

Amekuwa Mkweli, amekuwa sehemu ya kusimamia anachokiamini

Pesa zinazoitwa za mama Abdulah zikimwaga ufipa kama zilizo habari za ndani za kutengeneza mazingira aonekane anataka km u chairperson, either ni sehemu ya propaganda ama ni kweli je kuna atakaechomoa?

Pole sana Tundu lissu , hakika umewafumbua mengi wananchi..
 
Kama kawaida lazima gia ibalikie angani
GM-GAQLXQAAKIv2.jpeg
 
Watakataaje hela ndugu? Weka mpunga mezani wakuoneshe kazi
 
Nakumbuka, vipi wenzake wanaweza kuwa na msimamo kama wake?
Kwanza aliombwa na mbowe kuingia chadema ,akitokea nccr mageuzi ikitokea hana shida aendezake kufanya kazi ulaya alikoajiliwa na umoja wa ulaya
 
Kitu pekee kitakachoweza mkwamisha harakati za tundu lissu usaliti ndani ya chama chake , wakati huu chama kingemuunga mkono zaidi na zaidi sio wakati wa marumbano ndani ya Chama (kama habari zinavyosambazwa)
 
Mfano.. zikiwekwa hapo Bilioni 5 Tundu lissu afutwe uanachama kuna atakaekataa?

Tundu lissu amekuwa sehemu ya Tishio kwa Hoja zake na misimamo yake

Amekuwa Mkweli, amekuwa sehemu ya kusimamia anachokiamini

Pesa zinazoitwa za mama Abdulah zikimwaga ufipa kama zilizo habari za ndani za kutengeneza mazingira aonekane anataka km u chairperson, either ni sehemu ya propaganda ama ni kweli je kuna atakaechomoa?

Pole sana Tundu lissu , hakika umewafumbua mengi wananchi..
LISSU apewe laki 5 tu anaacha na siasa.
Njaa tu zinamsumbua
 
Ukiongeza na mizinga miwili ya konyagi tayari kwisha.. mapema sana anapigwa chini. Mwenyekiti wetu huwa hakatai KAZI.
 
Hakuna kiongozi anayetaka kufanya kazi high pressure.. nadhani wahasibu watafanya namna..
 
Kwanza aliombwa na mbowe kuingia chadema ,akitokea nccr mageuzi ikitokea hana shida aendezake kufanya kazi ulaya alikoajiliwa na umoja wa ulaya

Inafahamika anawanyima sana pumzi. Kwa taarifa tu Lissu haondoki wala hauzwi!
 
Back
Top Bottom