falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
- Thread starter
- #41
we gugo tu viko vingi sana,Unaweza ukaweka picha tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we gugo tu viko vingi sana,Unaweza ukaweka picha tafadhali
ni moja kati ya wauza unga wakubwa kinondoniHana lolote huyo dogo, namjua ndani nje amesoma bagamoyo. Mtoto wa tisini au 89
Halafu eti wabongo vigari hivi wanaviita sijui baby Walker mara vyakike lakin wenzetu ambao kwa sehemu kubwa ndio watengenezaj wao hawana shida tena waweza kuta anaye tumia vigari hivyo ni tajiri mzur tu na anauwezo wa kumiliki gari kubwa tu ila tu kayagawa magar yake kutokana na matumiz ya wakati huo nna mahali aendapo, maskin bwana wanamaneno ya shombo.Vigari vingine vidooogo(Ingawa mimi sina hata gari lenye tairi moja)..watu humo wanakosa hata hewa nzuri na safi ya kutosha,na kama tunavyojua mwili ukikosa hewa safi na ya kutosha kwa muda fulani basi akili inaweza isifanye kazi vizuri.
![]()
![]()
![]()
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza uchunguzi huru nilioufanya barabarani haswa katika jiji la dar es salaam nimebaini yafuatayo
Ajali nyingi zinazotokea dar asilimia kubwa zinahusisha magari madogo madogo.
Lakini baada ya kufanya uchunguzi zaidi nimebaini chanzo kikubwa cha ajali hizi zinasababishwa na wanaoenendesha magari yenye cc chini ya 1800
kundi hili la magari ya kuanzia cc 650 hadi cc 1800 asilimia 85 linahusha madereva wasio na uzoefu (learners) na wengi wao ndio magari yao ya kwanza.
Hivyo basi wawapo barabarani husababisha ajali nyingi kutokana na wao kuwa waoga waoga hali inayosababisha wao kupoteza kujiamini na hivyo kufanya vitu vya ajabu ambavyo matokeo yake husababisha ajali ndogo na kubwa za kupigana pasi na kadhalika. mimi niwapo barabarani huwa sikaikaribu na magari yenye cc ndogo maana najua asilimia kubwa bado hawana uzoefu hivyo muda wowote anaweza kufanya maamuzi yasiyokuwa yakawaida na kusababisha ajali.
Nawasilisha
Maroli mangap yanapata ajari? Au nayo ya cc 650?
Unajua takwimu za magari yaliyopo wewe? Unatambua kwamba magari mengi yaliyo barabarani ni madogo Kwa ajili ya watu kubana bajeti ya mafuta? Huwezi ringanisha wingi Wa ajari za tax na trekta!
TRENI IPO MOJA RELINI NA INAPATA AJALI sembuse huko barabarani?
Wewe ni mjinga sana na huna hata toroli!
alituaminisha kwenye nyuzi zake kuwa anamiliki costa na anasafiri sana mikoani akikodiwa kupeleka maharusi, maiti na wana warsha. lakini zaidi alionekana anasifia Tahmeed (hope ni kampuni ya baba yakeTunasimangwa wenye passo