Hoja kwamba hakuna wasichana wa kichaga wenye miguu ya bia ni uongo na udhalilishaji

49a32772cfb44ca782b317b0f54fc984.jpg

Chotara la kichaga na mkaburu,mathee utapendaaa!!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kwanza tuanze na wewe ya kwako ikoje embu weka picha tuijadili ya kwako kwanza halafu baadae mchana tutaijadili ya wanawake wachaga
 
Muache asiweke mkuu,asije akatutisha wengine tuna pressure humu...
 
Kumekua na kamsemo na mazoea ya kusema kuwa, wadada wa kichaga hawana miguu adhimu ya bia na kwamba wanatembelea mikono

Kimsingi huu ni uongo na udhalilishaji kwani wapo warembo lukuki wa kiichaga wenye miguu ya aina hiyo.

Uchagani kumejaa warembo wa hadhi ya juu sana wenye maumbo mazuri pamoja na rangi adimu nyeupe.

Tatizo wengi tunaishi kwa mazoea kuaminishwa kuwa hakuna wachaga wenye miguu ya bia.

Wengi wanaosema hivyo hawana hata uthibitisho...tuache kudhalilisha warembo wa kichaga ambao kwa kiashi kikubwa ndo wanalipamba taifa hili.

Miss Chagga ni moja ya warembo wa kichaga wenye shape matata, rangi ya dhahabu na miguu ya bia..

Tembelea Moshi ujionee warembo...
Nimekuja mbio nikijua umeweka samples! Aaaghhh!
 
Broo nipo katika hiyo tume lkn nadhani kama nitapotosha jamii kwani my wife ni mchaga
 
Kumekua na kamsemo na mazoea ya kusema kuwa, wadada wa kichaga hawana miguu adhimu ya bia na kwamba wanatembelea mikono

Kimsingi huu ni uongo na udhalilishaji kwani wapo warembo lukuki wa kiichaga wenye miguu ya aina hiyo.

Uchagani kumejaa warembo wa hadhi ya juu sana wenye maumbo mazuri pamoja na rangi adimu nyeupe.

Tatizo wengi tunaishi kwa mazoea kuaminishwa kuwa hakuna wachaga wenye miguu ya bia.

Wengi wanaosema hivyo hawana hata uthibitisho...tuache kudhalilisha warembo wa kichaga ambao kwa kiashi kikubwa ndo wanalipamba taifa hili.

Miss Chagga ni moja ya warembo wa kichaga wenye shape matata, rangi ya dhahabu na miguu ya bia..

Tembelea Moshi ujionee warembo...
Bila pcha hatuwez kuamin
 
KWELI BINADAMU KWA KUJIDHARAU? ALISEMA MALCOM X KUWA NANI ALIKUFUNDISHA WEWE MWAFRIKA NGOZI NYEUSI KUCHUKIA RANGI YA NGOZI YAKO NA UMBO LA PUA YAKO?.
WATU WAKO BUSY KUSIFIA NGOZI ZA WATU NA PENGINE KWA KUFANYA HIVYO WANADHALILISHA MAMA ZAO WALIOWAZAA NA DADA ZAO.
 
Sio udhalilishaji, mbona wachina wanasifika kwa macho madogo, kuna mikoa ukienda watu warefu ni adimu unaweza kuta kijiji kizima wanahesabika . Kuna vijii ukienda kila mwanamke apitaye nyuma lawama vimbaumbau wa kuhesabika, Hiyo wachaga Ndio sifa yao kuu wana rangi nzuri, sura lakini miguu.,...........
Siyo kweli mkuu.. Hii ni wazo tu watu walituaminisha... Fika moshi ujionee
 
Back
Top Bottom