Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
- #81
Kwani Elizabeth Michael umemuona lakini?Hahaha hakuna ubishi wachaga wengi sura inaita sana.sema maumbo yao wengi yametengenezwa kwa pima maji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Elizabeth Michael umemuona lakini?Hahaha hakuna ubishi wachaga wengi sura inaita sana.sema maumbo yao wengi yametengenezwa kwa pima maji.
Una uthibitisho?Ila tako la kichaga halichez limekaa kama jiwe
poa poaSawa mkuu
Kumbe saba! Nilidhani woteUpo coz nimesha tembea na wachaga saba
Wa wapi hao? Em weka picturesWachaga wengi wana maumbo ya simtank na wanatembelea mikono(miguu myembamba) ukiwaangalia kwa mbali wanafanana na mwamvuli
Duh... Lulu MutashobyaLulu ni muhaya
Na kifua wamebarikiwa aisee!
Si wangejigamba nchi hii pasingekalikaNaskia huyo Lulu ni mhaya
Dah, hivi kweli. Ukiwakuta wasukuma miguu imeota vistrungi kwa kuendesha baiskel za anitaSi kweli, wanawake wengi wa kichagga hawana miguu mizuri wala kifua, hii ni sifa ya wanawake wa kisukuma na wahaya na baadhi ya makabila ya kusini.
Dah, hivi kweli. Ukiwakuta wasukuma miguu imeota vistrungi kwa kuendesha baiskel za anita
Kama lulu mama yake mhaya wa bukobaUkimuona Mwanamke Wa Kichaga Ana Shepu Nzuri Ujue Huyo Mchanganyiko Siyo Mchaga Pure
Mama yake ni wa ishozi bukoba mkoani kageraSi wangejigamba nchi hii pasingekalika
Jamaa anavyojibaraguza kusifia miguu ya kichaga kwa kutumia miguu ya Lulu anasahau kwamba hiyo miguu lulu kaitoa kwa mama yakeMama yake ni wa ishozi bukoba mkoani kagera
Ni kweli wazuri kwa sura ila shepu,miguu,kudeka wawachie wahayaJamaa anavyojibaraguza kusifia miguu ya kichaga kwa kutumia miguu ya Lulu anasahau kwamba hiyo miguu lulu kaitoa kwa mama yake
Wanawake wao watafute pesa tu sie tutawasaidia kutumia na kulea waume zao
Wanawake wa kichaga ni shapeless mkatae mkubali
Sura hata mbuzi anayo mwanamke umboNi kweli wazuri kwa sura ila shepu,miguu,kudeka wawachie wahaya