Tunazungumzia mguu, huo mwingine ukorofi tu aisee[emoji23]
Chotara la kichaga na mkaburu,mathee utapendaaa!!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hawa achaga wa UK(URU KISHUMUNDU) mkuu.Tunazungumzia mguu, huo mwingine ukorofi tu aisee[emoji23]
Muache asiweke mkuu,asije akatutisha wengine tuna pressure humu...Kwanza tuanze na wewe ya kwako ikoje embu weka picha tuijadili ya kwako kwanza halafu baadae mchana tutaijadili ya wanawake wachaga
Nimekuja mbio nikijua umeweka samples! Aaaghhh!Kumekua na kamsemo na mazoea ya kusema kuwa, wadada wa kichaga hawana miguu adhimu ya bia na kwamba wanatembelea mikono
Kimsingi huu ni uongo na udhalilishaji kwani wapo warembo lukuki wa kiichaga wenye miguu ya aina hiyo.
Uchagani kumejaa warembo wa hadhi ya juu sana wenye maumbo mazuri pamoja na rangi adimu nyeupe.
Tatizo wengi tunaishi kwa mazoea kuaminishwa kuwa hakuna wachaga wenye miguu ya bia.
Wengi wanaosema hivyo hawana hata uthibitisho...tuache kudhalilisha warembo wa kichaga ambao kwa kiashi kikubwa ndo wanalipamba taifa hili.
Miss Chagga ni moja ya warembo wa kichaga wenye shape matata, rangi ya dhahabu na miguu ya bia..
Tembelea Moshi ujionee warembo...
Bila pcha hatuwez kuaminKumekua na kamsemo na mazoea ya kusema kuwa, wadada wa kichaga hawana miguu adhimu ya bia na kwamba wanatembelea mikono
Kimsingi huu ni uongo na udhalilishaji kwani wapo warembo lukuki wa kiichaga wenye miguu ya aina hiyo.
Uchagani kumejaa warembo wa hadhi ya juu sana wenye maumbo mazuri pamoja na rangi adimu nyeupe.
Tatizo wengi tunaishi kwa mazoea kuaminishwa kuwa hakuna wachaga wenye miguu ya bia.
Wengi wanaosema hivyo hawana hata uthibitisho...tuache kudhalilisha warembo wa kichaga ambao kwa kiashi kikubwa ndo wanalipamba taifa hili.
Miss Chagga ni moja ya warembo wa kichaga wenye shape matata, rangi ya dhahabu na miguu ya bia..
Tembelea Moshi ujionee warembo...
Siyo kweli mkuu.. Hii ni wazo tu watu walituaminisha... Fika moshi ujioneeSio udhalilishaji, mbona wachina wanasifika kwa macho madogo, kuna mikoa ukienda watu warefu ni adimu unaweza kuta kijiji kizima wanahesabika . Kuna vijii ukienda kila mwanamke apitaye nyuma lawama vimbaumbau wa kuhesabika, Hiyo wachaga Ndio sifa yao kuu wana rangi nzuri, sura lakini miguu.,...........
Mchanganyiko wa wapi na wapiUkimuona Mwanamke Wa Kichaga Ana Shepu Nzuri Ujue Huyo Mchanganyiko Siyo Mchaga Pure
Watu walitengeneza imagination bila uhalisia, nami nataka tujadili hivyo hivyo.. Ukitaka kuujua ukweli, tembelea moshiSawa mkuu uzi kama huu bila picha