HOJA NGUMU: Kutetea FAM kuendelea kusalia madarakani ni sawa na kukiri CHADEMA ni chama kilichosheheni vilaza

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Jambo hili haliwezekani ndani na nje ya sayari yetu.

Chama cha kupigania demokrasia kuwa na mtu ambaye haamini kama kuna watu wanaweza kuchukua nafasi yake

Chama cha kupigania demokrasia hakiwezi kuwa na mwenyekiti mmoja kwa miaka zaidi ya 20

Kwa sisi watu wenye akili kidogo tafsiri ya hili jambo ni kwamba, wanachama wa chama hicho, ashakum si matusi, hawajaliwa uwezo wa akili yaani ni VILAZA pro-max

Ni rai yangu kwa FAM , tafadhali jiuzulu, unajiabisha na kukiabisha chama chako

POVU RUKSA
 
Yaani kafananishwa na Mugabe Bado tuu hataki kuachia! Box litaongea
 
Hapa ndipo huwa nakubaliana na Mdakuzi kwamba kwenye mapambano usimuamini yeyote zaidi yako mwenyewe.

Nani angeamini kama Mbowe angefikia hapa? Kama hadi Makamu wake waliyepambana wote kwa miaka zaidi ya 20 leo hii anapambana kumuokoa asiwe kama Mugabe inasikitisha sana.
 
Haina shaka Yericko, Fortila, Fundi Nchundo na machawa wenzao wangependa aendelee kuwa kuongoza hata akiwa kwenye machela!
 
Chawa wa mwamba atakubali je kirahisi sasa?

Kwamba kumbe halafu akale wapi?
Mbowe ana hela za familia yake,

Wengine tujamjua Mbowe toka akiwa mdogo.

TL tunampenda, mimi sipend watu wanaosaliti urafiki kwa manufaa ya muda mfupi.... Sipendi ma comrades hata siku moja..

I have no price tag im im entitled to what im writing here .. angalia record zangu.
 
Jambo hili haliwezekani ndani na nje ya sayari yetu.

Chama cha kupigania demokrasia kuwa na mtu ambaye haamini kama kuna watu wanaweza kuchukua nafasi yake

Chama cha kupigania demokrasia hakiwezi kuwa na mwenyekiti mmoja kwa miaka zaidi ya 20

Kwa sisi watu wenye akili kidogo tafsiri ya hili jambo ni kwamba, wanachama wa chama hicho, ashakum si matusi, hawajaliwa uwezo wa akili yaani ni VILAZA pro-max

Ni rai yangu kwa FAM , tafadhali jiuzulu, unajiabisha na kukiabisha chama chako

POVU RUKSA
Ujumbe huu ni pia hata kwa chawa wake waaminifu wanaonufaika na ruzuku haramu ya kutoka chukua chako mapema kupitia kwake.
 
nikimwangalia huyu mnyalu yericko hadi nashangaa...kenge hizi mbowe aliokota wapi

GgorHp4XUAAE0_u.jpeg
 
Mbowe ana hela za familia yake,

Wengine tujamjua Mbowe toka akiwa mdogo.

TL tunampenda, mimi sipend watu wanaosaliti urafiki kwa manufaa ya muda mfupi.... Sipendi ma comrades hata siku moja..

I have no price tag im im entitled to what im writing here .. angalia record zangu.

Hivi mkuu chini ya mwamba CDM ina aamini kwenye nini? Falsafa ya chama ni ipi? Chadema inasimamia nini?

Uzi huu unajieleza:

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

Kwamba hujui CCM na hata kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na wa namna hiyo wamekomaa na mwamba, kama wewe tu?
 
Kwani hao uliowataja wanazuiwa kutoa maoni?

Mbona ya CCM tunatoa kaka?

Falsafa ya CDM ni kati kulia... na haijawahi kubadilika.

CDM imekuwa chama mwiba kwa dola chini ya Mwamba kwa miaka zaid ya 20 sasa, haijawah tokea na ikitokea chama kingine kikaweza hivyo tutakisifu kama tunavyomsifu mwamba hapa.

Hizo nyingine ni porojo tu, kuna swali mbona Lissu anaekuja na bla bla kibao hakuna jimbo amewahi shinda Singida toka amejiunga CDM ukiacha lakwake pekee? Hawezi washawish wananchi wa majimbo mengine Singida?
 
Mkuu mkono mtupu haulambwi!

Chadema ya mbowe inasimamia nini? Kwanini hii ni CHADEMA siyo CCM?

"Kwanini siyo CUF, siyo ACT? Tofauti haiwezi kuwa majina. Inapaswa kuwa wazi ili wafuasi wakajua kamili kama walipo ni sahihi."

Watazipigania vipi kwa moyo wao wote, sera au agenda za chama kama falsafa ya chama haijulikani?

Nini misimamo ya CDM ya Mbowe kuhusu Katiba Mpya, vita vya Ukraine, HAMAS, Gaza, Palestina, LGBTQ, nk?

Au huu kati kulia ni porojo porojo tu?

Mwongozo wako tafadhali.
 
Mkuu mkono mtupu haulambwi!

Chadema ya mbowe iinasimamia nini? Kwanini hii ni CHADEMA siyo CCM?

"Kwanini siyo CUF, siyo ACT? Tofauti haiwezi kuwa majina. Inapaswa kuwa wazi ili wafuasi wakajua kamili kama walipo ni sahihi."

Watazipigania vipi kwa moyo wao wote, sera au agenda za chama kama falsafa ya chama haijulikani?

Nini misimamo ya CDM ya Mbowe kuhusu Katiba Mpya, vita vya Ukraine, HAMAS, Gaza, Palestina, LGBTQ, nk?

Mwongozo wako tafadhali.
Unataka falfasafa gani...

Centre right wanaamini kwenye biashara huria, serikali ndogo, na uhafidhina kwenye kutunza mila na desturi za jamii.

Centre right politics zipo CDM
ACT ni chama cha Kijamaa
CUF ni Liberal
CCM ni ujamaa typical.

Sasa watanzania wengi wala hawajui wao ni kuruka ruka na kusifia umasikini wakati waoo CDM, Centre right wao wanaamini kwenye juhudi binafsi za kujitafutia mali.

Unakuta mtu anahama na kuruka tu mrad hakuna mtu anaemuuliza mwaswal magumu, muhimu mkono uende kinywani😀
 
Vipi hukuyaona haya?

"Nini misimamo ya CDM ya Mbowe kuhusu Katiba Mpya, vita vya Ukraine, HAMAS, Gaza, Palestina, LGBTQ, nk?"
 
Mbona haya mambo yako wazi kaka,
CDM kina affiliate programs and partners....
Wao ni Pro Western na haya mambo wao ndio msimamo wao kama westerners wanavyosema.

Katiba mpya hukumbuki ndio ilimpeleka jela?
 
Back
Top Bottom