MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Jambo hili haliwezekani ndani na nje ya sayari yetu.
Chama cha kupigania demokrasia kuwa na mtu ambaye haamini kama kuna watu wanaweza kuchukua nafasi yake
Chama cha kupigania demokrasia hakiwezi kuwa na mwenyekiti mmoja kwa miaka zaidi ya 20
Kwa sisi watu wenye akili kidogo tafsiri ya hili jambo ni kwamba, wanachama wa chama hicho, ashakum si matusi, hawajaliwa uwezo wa akili yaani ni VILAZA pro-max
Ni rai yangu kwa FAM , tafadhali jiuzulu, unajiabisha na kukiabisha chama chako
POVU RUKSA