The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Katumwa huyo sema hawa baadaye huwa wanaishi kwa tabu sana,maana lawama zote anazibeba yeyeyaani molilo achukuliwe atua?hii serikali ya huyu mwanamke haina uwezo huo maana wote wanalindana alafu ujue toto baya ila c kwa mamaye
Nyie walafi yani kutaka tume huru ya uchaguzi ni kuharibu amani?.Mtaelimika lini nyie vilaza.wahalifu nyie lazima mpigwe tu hamna namna hatuwezi kuvumilia mnaharibu amani ya nchi kijinga namna hiyo mtapigwa tu
wahalifu nyie lazima mpigwe tu hamna namna hatuwezi kuvumilia mnaharibu amani ya nchi kijinga namna hiyo mtapigwa tu
Ukipewa kuchagua kati ya AMANI na haki UTACHAGUA NN?wahalifu nyie lazima mpigwe tu hamna namna hatuwezi kuvumilia mnaharibu amani ya nchi kijinga namna hiyo mtapigwa tu
Mamlaka gani?"Niseme hatua kadhaa ambazo tunataka zichukuliwe (kutokana na kile ambacho CHADEMA inadai kuwa Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro imetoa taarifa za uongo kuhusu madai ya viongozi na makada wao kukamatwa, kupigwa na kuteswa mnamo tarehe 24/04/2025) ni pamoja na:
Pia soma Muliro awakana Makada wa CHADEMA wanaodai kuteswa, kutupwa porini
(i) Kamanda wa Polisi Jumanne Muliro kwa kuongoza zoezi hilo na kwa kusema uongo hadharani mamlaka yake ya uteuzi na nidhamu imchukulie hatua ya kumuondoa kwenye Kanda Maalum ya Dae es Salaam,
(ii) Kwa kuwa Jeshi la Polisi limeshasema uongo mara kadhaa tunamtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) kama haya matendo hayana baraka zake, ajitokeze yeye mwenyewe atoe taarifa kwa umma juu ya matukio ya kutekwa, kupigwa na kuumizwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMa akitaja idadi halisi,
(iii) Kwa sababu Kamanda Jumanne Muliro amehusika yeye binafsi katika zoezi hili, chama tumeshawaelekeza Mawakili wa chama wachukue hatua za kisheria juu ya Jumanne Muliro yeye binafsi,
(iv) Chama vilevile kimeshaelekeza na kuwaomba Mawakili wa chama kufungua mashauri katika vyombo mbalimbali vya kimataifa vya Haki za Binadamu Afrika na Dunia kutokana na matukio yaliyotokea April 24.2025,
(v) Natoa mwito kwa Rais Samia Suluhu Hassan akiwia ni Amiri Jeshi Mkuu kuchukua hatua,
(vi) Natoa wito kwa vyombo vyetu vya ndani, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora ipitie matukio yote ya tarehe 24/04/2025, masumulizi ya tarehe 25/04/2025 na masimulizi ya leo, tume ichukue hatua kwa upande wake" -Mnyika
Ni sehemu ya yale aliyozungumza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Mnyika mbele ya wanahabari leo, Jumatano Aprili 30.2025, Dar es Salaam
View attachment 3320496
Anaeharibu amani ya nchi ni nani? Anaeenda mahakamani kusikilza kesi au yule anaeteka kupiga na kuua watu?wahalifu nyie lazima mpigwe tu hamna namna hatuwezi kuvumilia mnaharibu amani ya nchi kijinga namna hiyo mtapigwa tu
hakuna mtu alitupwa porini ,na bora hivyo wameokoka kama wangekamatwa na kupelekwa rumande basi wangeunganishwa na kesi ya uhaini.
Chadema jifunzeni kuweka mapaparazi haswa kunapotokea valangati la mshike mshike kamata kamata hata mnaweza kuweka kamela fiche huko kwenye machaka ya mabwepandwe ,mkaziweka kwa wingi tu ,na hao waliosema wametupwa na kuludishiwa kamela zao kwa nini hawakupiga picha sehemu ,
Hizi gari kwa wenyeji walioziona Bwagamoyo kwa nini hawakuzipiga picha,kuna mtu alihojiwa na kusema alijuwa kuna jambo,
Na nyinyi mkiona watu wanatoweka toweka katika mshike mshike kwa nini hamkuweka doria maeneo husika wanayotupwa watu ,sio mnavaa magwanda ya mgambo halafu badala ya kuingia nayo huko mnapnda nayo kwenye majukwaa.
Mheshimiwa Magu alizuia mambo haya kwani alijua kuna watu ni wakorofi watamsababishia matatizi,
Bibi Samia mwenye huruma ,huruma zake sasa zinamponza ni bora akapiga nyundo kuzuia mikutano mpaka bado miezi mitatu kwa uchaguzi mkuu.
Huyu🖕 ni mmoja waowahalifu nyie lazima mpigwe tu hamna namna hatuwezi kuvumilia mnaharibu amani ya nchi kijinga namna hiyo mtapigwa tu
Dada yangu umezaa lakini au ni Tasa ?wahalifu nyie lazima mpigwe tu hamna namna hatuwezi kuvumilia mnaharibu amani ya nchi kijinga namna hiyo mtapigwa tu
Toto baya ila si kwa mamaye📌📌📌yaani molilo achukuliwe atua?hii serikali ya huyu mwanamke haina uwezo huo maana wote wanalindana alafu ujue toto baya ila c kwa mamaye
Hebu sema ni amani gani hiyo wanayo haribu.wahalifu nyie lazima mpigwe tu hamna namna hatuwezi kuvumilia mnaharibu amani ya nchi kijinga namna hiyo mtapigwa tu