PreGE2025 Hoja sita CHADEMA, Madai ya makada wake kukamatwa na kupigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Inasikitisha sana
 
Kimataifa sawa lakini siyo hizi mahakama za Rostam Azizi
Watazanie wasijidanganyye kuwa kuna taifa lolote litakuja kuwasaidikupigania haki zetu.Siyo marekani siyo ulaya kwanza wamewekemeza rasilimali zao nyingi tu humu nchini na wamepewa vipaumbele na nafuu nyingi wso wanashida gani .tunapaswa tujipambanie wenyewe.
 
Njia zote zitumike kuwashitaki kimataifa pamoja na kuwaloga wao na familia zao, kwa hapa ndani hatuna mahakama
 
N0 nne ndo kwisha habari yake, Hii nipo tiyari kuuza nyumba yangu mojawapo ili kusapoti mawakili katika kesi hii .

Nilisha sema , mkuu wa mkoa Dar kuanza kujifunza tena kingereza , ICC Iyo inamwita.

Mmezoea kuwaona chadema mafala sasa safari hii pesa za kula bata mtazimalizia safarini kwenda Icc.

Ushauri
Chadema matukio yote hata ya nyuma ,husu kupotea kwa watu, vifo vya watu ,kupigwa kwa watu , tafadhali vitunzwe vizuri, na kuwakilishwa panapo husika.

Safari hii wameyatimba period, kauli ya Makala kwamba mda ukifika wapenzi wa simba na yanga wasiwape support, ina maana kubwa sana , kama hamjahitafakari vizuri
 
Njia zote zitumike kuwashitaki kimataifa pamoja na kuwaloga wao na familia zao, kwa hapa ndani hatuna mahakama
Hiyo ya kuwaroga ingewezekana wakwanza wangekuwa Waisrael wangerogwa na Waparestina lakini hata dua tu zimeshindws kufika mapambano yanaitaji msuli sio lelemama. Mimi najua wapambanaji wa kweli wala huwezi kumuona kwenye mitandao akipiga kelele nani alikuwa anamjua Ali kibao kama alikua mwanamikakati mzuri CDM akifuata nyao za Chegwivara.Kama siyo msigwa kuanza kumsema adharani wala hakuna mtu angejua kuwa kuna mwanamikakati mahiri kama yule. Kuna mzee mmoja alikuwa anauchawi wa nyuki wapangaji wako wakikusumbua hawataki kulipa kodi asubu mnakuta mlangoni nyuki wamejenga mzinga kesho mkileta ukaidi Nyuki wanaingia ndani lakini hamuumi mtu mpaka siku ya tatu ndiyo mtaona mziki wake ,Hivi sijui kama yule mzee bado anaishi.Sekeseke hilo liliwahi kutokea buguruni kama sikosei.Huyu babu angefaa sana kipindi hiki.kwa watu waonevu waonevu.
 
Ukitaka kujua uchawi upo, nenda kagombee ubunge CCM ndiyo utajua hujui kama ushirikina unafanya kazi, kuhusu wapalestina wao wamewekeza kwenye majini na siyo ushirikina ndiyo shida hapo
 

alijua kuna watu ni wakorofi watamsababishia matatizi,

Bibi Samia mwenye huruma ,huruma zake sasa zinamponza ni bora akapiga nyundo kuzuia mikutano mpaka bado miezi mitatu kwa uchaguzi mkuu.


Magufuli Wananchi wengi walimpenda maana hakua mnafiki .
Akisema anachukia matumizi makubwa ya Serikali ni kweli hapendi .
Akisema hataki ufisadi ni kweli hataki.
Akisema hapendi safari za nje kweli hapendi ,Akisema hataki misaada ya magaidi kweli hapendi .
Akisema hataki waekezaji uchwara kweli hataki .
Magufuli akisema hataki rasilimali za nchi zichukuliwe na wageni kweli hataki .
Akisema hataki mikataba mibovu ya Bandari kweli hataki .

Akisema anajenga reli ya kisasa kweli anajenga .
Akisema hataki umeme wa michango kweli hataki.
Akisema hataki umeme ukatike kikichongo kweli hataki .
Akisema hataki ujanja wa halmashauri kujenga barabara kimichongo na kuanzisha Tarura kweli alianzisha .
Akisema hataki kukosolewa kwenye maamuzi yake ya kizalendo kweli hataki na hana unafiki .

Akisema atafuta upinzani wa kupiga dili kweli alikusudia kuufuta .

Mtu kama huyo hata wapinzani wake wanajihadhari kuishi naye ndio maana walikimbia nchi .

Sasa huu unafiki wa kusema hadharani sasa najenga demokrasia .
Rudini tufanye siasa .
Tukae mezani tujenge nchi .
Nitafanya maridhiano na kufanya Reform ili tufanye siasa za kistaarabu .
Fanyeni mikutano ya hadhara .
Tuvumiliane .

Hadharani ni mwema gizani anakua kama vile aliwawekea samaki chambo yenye ndoana ili wakimeza iwanase na kuwakamata .

Ni aliahidi mwenyewe kufanya Reform sasa watu wanataka arejee kwenye kauli yake yeye kama Rais .
Zamani uimara na ukuu wa mfalme ulitokana na kusimamia kauli zake bila kubadilika .

Mtu anayeahidi jambo bila kulitekeleza ni mtu hatari na mnafiki asiyefaa kuwa kiongozi wa juu maana kuna siku atatoa amri bila maandalizi na kuleta maafa makubwa sana kwenye taifa .

Kinyonga killipewa mwendo mdogo sana kwa sababu ya uwezo wake wa kubadilika badilika . Kinyonga kingekuwa na speed na sumu kama Koboko kingeleta madhara makubwa sana .
Unapobadilika badilika basi Mungu anakuhesabu katika wale wanafiki walioshushiwa aya ya kuonywa kwa unafi wao.

Leo hii Lisu asingerudi kama angejua kuwa Mama Samia alikua anamvuta kwa kumtegea ili amnyonge kwa kesi ya mchongo.


Huenda Nabii Godbless Lema angebaki Canada kwenye maombi ili Mungu aamue ugomvi huu mpaka nchi iwe shwari ndio arudi . angeendelea na
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…