Hoja: Ushabiki wa mpira wa miguu una asili ya ushetani

Hoja: Ushabiki wa mpira wa miguu una asili ya ushetani

Unaupungufu, wa kufaham, falsafa ya dini, na falsafa ya dunia..
Kwa ufup falafa ya dini, imo, ndani, ya falsafa ya dunia..
Kitu ambacho, nimekuona hukijui, na kitakusumbua sana maishan mwako, ni, namna ya kutenganisha mambo, ya dini(imani), na mambo, ya kawaida. Si, kweli, biblia inatoa mwongozo wa kila kitu, maishani, ukweli, ni, kuwa Mungu, alitupa akili, ili, yuweze kuzitumia kufanya ugunduzi wa vipaji, mbalimbali, na tafiti, mbalimbali.
Sasa kama ni, hvyo, sema bas kuwa hata elimu, tunayosoma ni, dhambi maana biblia haikusema tusome
mithali 4:13 inasema Mkamate sana Elimu usimwache aende zake; vilivyobarikiwa vinajieleza! KARIBU SANA
 
mithali 4:13 inasema Mkamate sana Elimu usimwache aende zake; vilivyobarikiwa vinajieleza! KARIBU SANA
Usikariri maandiko mkuu, wala usikubari kukaririshwa..
Ni hv elimu iliyosemwa ktk kitabu cha mithali ni elimu ya, neno la Mungu iliyomo ktk biblia.
Kipind hcho biblia inaandikwa kulikuwa hakuna, mfumo rasmi wa ekimu hizi nyngne za kisayansi zilizoletwa na Wazungu yaan (Secular Education)
Jamaa angu nakuona upo kwenye mwendo wa kukariri maandiko.
Tambua kuwa hata neno la mungu ni elimu na hyo ndio uliyoambiwa uishike wala sio vinginevyo. Pia tambua kuwa elimu zpo nying hata elimu juu ya uchawi, uganga, unajimu, zoote hz ni elim
FUNGUKA
 
Elimu maana yake nini? nipe kifungu kinachosapport ubishi wako!
Bibilia inasema ishike sana Elimu, wewe unasema siyo Elimu hii sasa unamaanisha nn? Elimu inayoendana na amri za Mungu ndiyo inayotakiwa, Elimu ya kichawi imepigwa marufuku, maana bibilia inasema wachawi hawataurithi ufalme Wa Mungu
 
Hivi, unaelewa au..
Nimekwambia kitabu, cha methali kinazungumzia ushike elimu, ya dini,
yaan iliyopo, ktk, biblia tu na sio elimu, ya darasani, yaan (secular education)
 
Kwa Yesu ninayemsoma kwenye biblia alivochangamana na kina maria Magdalena,kina zakayo, kina yuda, na kumsamehe Mnyang'anyi wakiwa msalabani

HAKYANANI ANGEISHI DUNIA YA LEO!
ANGEKUWA NA AKAUNTI INSTA!
ANGEKUWA NA NAMBA YA SIMU YA OSAMA
ANGEKUWA ANAKAA KIJIWENI ANAPIGA STORY NA TEJA
NA ASIPATA SHIDA KUINGIA NYUMBA ZA WAHAYA WA TANDIKA AKALA NAO WALI TEMBELE AKASEPA ZAKE!

NIAMINI MIMI!
HIKI MNACHOKITAFSIRI KUWA NDIO KUMJUA MUNGU SICHO,YOU ARE JUST A RELIGIOUS FANATIC!
huwa mna kautaratibu kenu ka kumtafsiri MUNGU katika namna za ajabu kabisa!
NAJUA HATA YEYE ANAWASHANGAA!
 
Back
Top Bottom