mithali 4:13 inasema Mkamate sana Elimu usimwache aende zake; vilivyobarikiwa vinajieleza! KARIBU SANAUnaupungufu, wa kufaham, falsafa ya dini, na falsafa ya dunia..
Kwa ufup falafa ya dini, imo, ndani, ya falsafa ya dunia..
Kitu ambacho, nimekuona hukijui, na kitakusumbua sana maishan mwako, ni, namna ya kutenganisha mambo, ya dini(imani), na mambo, ya kawaida. Si, kweli, biblia inatoa mwongozo wa kila kitu, maishani, ukweli, ni, kuwa Mungu, alitupa akili, ili, yuweze kuzitumia kufanya ugunduzi wa vipaji, mbalimbali, na tafiti, mbalimbali.
Sasa kama ni, hvyo, sema bas kuwa hata elimu, tunayosoma ni, dhambi maana biblia haikusema tusome
Usikariri maandiko mkuu, wala usikubari kukaririshwa..mithali 4:13 inasema Mkamate sana Elimu usimwache aende zake; vilivyobarikiwa vinajieleza! KARIBU SANA
Elimu maana yake nini? nipe kifungu kinachosapport ubishi wako!Usikariri maandiko mkuu, wala usikubari kukaririshwa..
Ni hv elimu iliyosemwa ktk kitabu cha mithali ni elimu ya, neno la Mungu iliyomo ktk biblia.
Kipind hcho biblia inaandikwa kulikuwa hakuna, mfumo rasmi wa ekimu hizi nyngne za kisayansi zilizoletwa na Wazungu yaan (Secular Education)
Jamaa angu nakuona upo kwenye mwendo wa kukariri maandiko.
Tambua kuwa hata neno la mungu ni elimu na hyo ndio uliyoambiwa uishike wala sio vinginevyo. Pia tambua kuwa elimu zpo nying hata elimu juu ya uchawi, uganga, unajimu, zoote hz ni elim
FUNGUKA
Hivi, unaelewa au..Elimu maana yake nini? nipe kifungu kinachosapport ubishi wako!
Bibilia inasema ishike sana Elimu, wewe unasema siyo Elimu hii sasa unamaanisha nn? Elimu inayoendana na amri za Mungu ndiyo inayotakiwa, Elimu ya kichawi imepigwa marufuku, maana bibilia inasema wachawi hawataurithi ufalme Wa Mungu