hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😁😁😁Anamaanisha wengine walipata bure kwa nini wewe ulipishwe?kwa vigezo gani hadi uuziwe maana mkizaa watoto ni mali yenu wote wawili?
😁😁😁Anamaanisha wengine walipata bure kwa nini wewe ulipishwe?kwa vigezo gani hadi uuziwe maana mkizaa watoto ni mali yenu wote wawili?
Unajifanya haujui sababu yaani unaanzaje kuoa mke huku Tayari akiwa na k mtumba !?Babu unazingua! Kwani mahali inahusika vipi na mtu kuwa na msururu🫢
Ndio hayupo 😁😁Wakukusikiliza sasa!..😅
Vijana wanablessiwa kama kawa na hakuna pango wala kumbi za namna hiyo! sio kila mtu ana nyonga pana bwana, maumbile hayapimwi kwa wingi wa 🍆, wenye nzao 10 wangeachika enzi hizo bwana weee!!Ona hiki kizazi cha nyoka, kwamba mnaona sawa kuliwa na wanaume kumi-ishirini?😅😅😅😅
Kwa hali hii unamlipisha kijana wangu mahari ili akutanr na pango la wanyang'anyi kweli? Unamlipisha ili nini hasa? Sioni logic!
Shupaza tu hilo fuvu mjukuu, ila huwezi kulipisha kijana wangu 5m kwa mwanamke ambaye hakujiheshimisha, unakuwa umemdhulumu.Vijana wanablessiwa kama kawa na hakuna pango wala kumbi za namna hiyo! sio kila mtu ana nyonga pana bwana, maumbile hayapimwi kwa wingi wa 🍆, wenye nzao 10 wangeachika enzi hizo bwana weee!!
Hizo imaginations zinakuzeesha tu! Haziendani na uahlisia wenyew, hizo story za kwenye kahawa tu!
Kwahiyo hizi kumbi zinazojaza kila jmos huwa ni K mpya tu na hamsemi🙆🏽♀️Unajifanya haujui sababu yaani unaanzaje kuoa mke huku Tayari akiwa na k mtumba !?
Sasa utahesabu na nini bamkwe😂 hebu acha kijana ajipatie mshangaz mwenye experience aishi kwa amani!Shupaza tu hilo fuvu mjukuu, ila huwezi kulipisha kijana wangu 5m kwa mwanamke ambaye hakujiheshimisha, unakuwa umemdhulumu.
Mixer 😄Kwahiyo hizi kumbi zinazojaza kila jmos huwa ni K mpya tu na hamsemi🙆🏽♀️
Basi mjikaze kidogo🤗Mixer 😄
Mimi kwetu hicho kitu hakikubaliki tena na wajomba😂🫴🏾Wakubaliane tuwabariki wakaishi, nothing more!!
Nambania deputy jesus au? Yani nambania mtu anayekuja kunipa headache! Nianze kujilaumu akhuu🤸🏽♀️Kama unaona ni dharau basi bana miguu(ulitakiwa kuibana mapema😅)
Kwani anaondoka nayo? 😹Ona hiki kizazi cha nyoka, kwamba mnaona sawa kuliwa na wanaume kumi-ishirini?😅😅😅😅
Kwa hali hii unamlipisha kijana wangu mahari ili akutanr na pango la wanyang'anyi kweli? Unamlipisha ili nini hasa? Sioni logic!
Sas anaetoa mahari si ndo anaenda kulalaa nayo 😂😂😂Usigune, ni fair kabisa kwa mwanaume. Tunalipishwa sio stahiki zetu, walitakiwa kulipa wengine kabisa.
Toeni ela yan mm ingekuwa hajalipa yote ningedai tena na sikukuu hii😂😂😂😂Kuna waliolala nayo kabla ya anayetoa mahari wana nafasi gani kwenye uharibifu uliofanyika.?