Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Ukilewa usichati 🙂🤓Kameanza kuchangamka na kanasema ukweli mda wote😅😅😅
Ukilewa usichati 🙂🤓Kameanza kuchangamka na kanasema ukweli mda wote😅😅😅
Accountability
- Opinions are not facts, jifunze kutofautisha!
- Punguza generalization kama unataka accountability.
- HEAL
Nachati madam 😅😅😅Ukilewa usichati 🙂🤓
View attachment 3554982
Shauri yako, mimi delete option yangu haifanyi kazi anymore 😅😅Nachati madam 😅😅😅
Kiaje😆😆😆Shauri yako, mimi delete option yangu haifanyi kazi anymore 😅😅
Utakachoandika, kesho hakitafutwa 😂🤣Kiaje😆😆😆
Huwa mimi sijali 😅😅😅 ila wasifungie tuUtakachoandika, kesho hakitafutwa 😂🤣
Twende selfika 📸Huwa mimi sijali 😅😅😅 ila wasifungie tu
NakujaTwende selfika 📸
Na je ukimkuta aliyelelewa vizuri, nayeye akajitunza na ukamkuta na Bikira yake? Mwanaume utoe mahari au usitoe? Kumbuka huyo ni tofauti na hao wenye wanaume watanoHeri ya Sabato, poleni na mfungo ndugu zetu waislam na wakristo mnaotimiza agizo hili la kiimani.
Nimeamua kudandia treni ya wanaokataa mambo ya mahari kwa dunia ya sasa, hasa barani Afrika ambapo kwa asilimia kubwa ndipo haya mambo hufanyika
Dunia ambayo mwanamke amekuwa huru sana, anaweza kuamua namna anavyotaka maisha yake yawe bila upande wowote kujali/kuingilia.
●Sio dunia ya kulipana pesa/mali kwa ajili ya kumuoa na kuishi nae tena.
●Sio dunia ya kuamuliwa nani utamuoa au utaolewa nae.
● Sio dunia ya kuambiwa ukajenge nje ya boma la wazazi tena, SIO.
● Ni dunia ya kukutana wawili na kuamua hatma ya maisha yenu bila kuingiliwa na mtu yoyote.
Dunia ya namna hii inatakiwa impunguzie mwanaume mzigo, hasa kwenye mambo ya lobola, mahari, dowry.
●Uhuru uliopitiliza kwa mwanamke umekuja na athari hasi, anaweza kuwa na msururu wa wanaume na hakuna anayehoji.
●Anaweza kuamua nani wa kumuoa na hakuna mtu wa kupinga.
●Kwa nini ulipe gharama kubwa kwa kitu ambacho kiimani wewe sio mmliki? Mtu alishamalizana na wanaume kumi+, mmekutana tu for the sake of establishing a society, kwa nini uwe obliged kutoa mapesa ili tu uishi nae?
Wanawake wa sasa wengi ni viwembe, haya mambo tuliyazoea miaka hiyo kwa vijana wa kiume, ila kwa sasa mdada anaweza kuwa na wanaume hata watano kwa wakati mmoja na wala hajali. Mtu wa namna hiyo akikutana na mwanaume kwa ajili ya kutulia(settling) kuna haja gani ya kulipa dowry kama sio kumdhulumu huyo kijana.
Jamii inatakiwa kufikiri mara mbili, tumeamua kuiga tamaduni za wazungu huko, basi na hii iingizwe taratibu kwenye jamii zetu.
Tuachane na hizi mambo.
Happy day y'all!!
Sijui kama umemuelewa Mleta mada. Tatizo sio kutoa mahari, tatizo unamtolea nani?Taifa linazalisha vijana wa hovyo wasiopenda kujishughulisha na chochote kutwa kubeti,pombe,dubu na wanawake,matokeo yake hawa kutoa mahari suala la kiutamaduni kabisa wanaona ni mzigo. Vijana tutafute hela ukishapata hela kutoa mahari utaona ni baraka na si mzigo.
Mwanamke anajiheshimisha mwenyewe kwa tabia zake, aheshimishwi na mahari. Waambie hilo pia mabintiZama hizo sasa babu, huwezi kulinganishi na sasa! Hizo enzi, ukiliwa tu kijiji chote kinapashwa habari zako, sio kwa huu ulimwengu wa kuanika kila kitu mitandaoni!
Acha vijana wenu watoe mahari, msiwazuie tafadhali.. mahari inaheshimisha mwanamke katika jamii zetu!
Yani washakumaliza huko uje umsumbue kijana wangu kulipa mahari? Nyie mkubaliane vile mnataka muishi tuwape baraka zote mkaanze maisha🤣Mnateteana sio? 😹
Mchukuane wenyewe mkapigane Free P huku sisi hatung’oki bila mahari..!!
Hii ni logic fallacy, ka vipi chukua manatiMkuu ungekuwa hapa karibu yangu ningekushika shati! Acha ubishi mkuu.
Na yeye huyo kijana wako muda huo nguvu kamalizwa na nyeto plus nyuchiko mbalimbali..!!Yani washakumaliza huko uje umsumbue kijana wangu kulipa mahari? Nyie mkubaliane vile mnataka muishi tuwape baraka zote mkaanze maisha🤣
Kitu kikishuka thamani ni ama kitupwe au kigawiwe bure🤣
Mwanamke aliyetumika hastahili kulipiwa mahari, mmetumika hadi basi halafu mnataka kuwaumiza vijana wetu kulipa pesa ya bure bure, tupo kwenye capitalist economy mama.Na yeye huyo kijana wako muda huo nguvu kamalizwa na nyeto plus nyuchiko mbalimbali..!!
Tukikutana kimoja chali tunavumiliana, mahari atoe tu kwakweli..!! 😹😹😹
We mzee bana! Acha kuwafariji vijana humu! Kwahiyo hao watu 10-20 ndio umeona wengi sana? Watu wanajazana container!Mwanamke aliyetumika hastahili kulipiwa mahari, mmetumika hadi basi halafu mnataka kuwaumiza vijana wetu kulipa pesa ya bure bure, tupo kwenye capitalist economy mama.
Hivi kweli mtu ana msururu wa watu 10-20 huko nyuma analipiwaje mahari😅😅
Inapigwa muhuri?Mwanamke aliyetumika hastahili kulipiwa mahari, mmetumika hadi basi halafu mnataka kuwaumiza vijana wetu kulipa pesa ya bure bure, tupo kwenye capitalist economy mama.
Hivi kweli mtu ana msururu wa watu 10-20 huko nyuma analipiwaje mahari😅😅
We mzee bana! Acha kuwafariji vijana humu! Kwahiyo hao watu 10-20 ndio umeona wengi sana? Watu wanajazana container!
Mahari watatoa tu, kama wakiendelea kuringa wanaishia kwenye sogea tukae, mkishindwana mnaachana kimjinimjini anasogezwa mwingine kama kawaida! Ila kama mtu anataka heshima iwepo lazima afate protocol! Mnarahisisha sana mambo kisa mtu kutumika! Kwani ukifika ndoani unakuta picha ya mtumiaji kwenye uke? Mnajikuta wasafi sana wakati wachafu vilevile 🚮
Ona hiki kizazi cha nyoka, kwamba mnaona sawa kuliwa na wanaume kumi-ishirini?😅😅😅😅Inapigwa muhuri?
Haina makombo, sasa watu 20 nao ndio wa kulalamika? Si tunachukua maujuzi ili kwenye ndoa tuwe tumekwiva..!! 😹😹
Sasa utafinyiwaje kwa ndani?
We mzee mahari iko pale pale huwezi kuishi na mtoto wa mtu kiholela.
Mahari ni sehemu ya utamaduni na kuonyesha wewe ni mwanaume rijali unayeweza kutunza familia yako…!!