Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

We're getting free meals everyday wewe unasema no free lunch?
Free lunch wanapewa vijana wa mtaani halafu anakuja kijana anataka kusettle eti alipe 5m ili aoe mwanamke aliyetumika na wanaume wa kutosha.
Dah babu, this is beyond my understanding kwakweli! Sawa wacha tuone hizo free lunch zikitolewa mahari mpk 10m, na waliolelewa kutolewa 1m kushuka chini😝🤸🏽‍♀️
 
Hakuna tofauti yoyote katika mapenzi kati ya mwanamke ambaye hajawahi kabisa kufanya mpenzia na aliyefanya mapenzi na mtu mmoja, wawili, watano au kumi. Ni psychology yako tu iliyotokana na utamaduni na dini pamoja na inferiority complex hasa ukiwa masikini kapuku.
Sijui hiyo tofauti wanaipataje mi sielewi kwakweli, ukalalale na wanawake wa mji mzima, umeamuwa kusettle kuja kuoa mimi nianze tena kupata headache! Kwakweli watu wanakosa mambo ya kuweka akilini..🤦🏽‍♀️
 
Mkuu una hoja lakini kule vijijini km usukumani watakupopoa na mawe
Niliwahi kushuhudia kwa macho yangu ntoji alitoa ng'ombe zaidi ya 60 na mbuzi na kondoo kibao kama mahali

Nilichoka
Dad's jamiii Kama hiyo uwape hii hoja yako?!
Hiiiii bhabha!
Tena kama mimi ndio simwelewi!

Bhatoja mayo tobalelagi🙌🏾
 
Narudia tena kuandika, kuna fala mmoja wamekutana baa na malaya akampenda na kuchukua hatua ya kumuoa kwa kulipa mahari kubwa wa wazazi wa huyo malaya. Fala alijibebea mzigo kumbe una wenyewe, malaya aliwahi kuolewa awali, akaacha mume na kwenda kwa msela mwingine alimzalisha mtoto kisha akamuacha. Sasa huyo fala anajuta na kumpiga mawalaya wa watu kwa wivu akiona anapigiwa simu na wanaume aliozaa nao kuhusu watoto aliowaacha kwa bibi. Ishu ni kwamba jamaa alitoa mahari ili ajimilikishe huyo mwanamke wakati angejichukulia bure tu. Mwanamke kachoka kipigo na yuko mbioni kumkimbia huyo fala, na hana pa kwenda kudai arudishiwe mahari maana hata ndoa hiyo haina utambulisho wa kisheria, kidini na kimila. Fala alijibebea mzigo ili apate nyape ya kuchapa muda wowote akitaka, milioni moja na laki mbili za mahari ahesabu kuwa alizilia bata siku moja na asione uchungu siku malaya huyo atakapoamua kurudi kwa mabwana zake wa mwanzo aliozaa nao
 
Hakuna tofauti yoyote katika mapenzi kati ya mwanamke ambaye hajawahi kabisa kufanya mpenzia na aliyefanya mapenzi na mtu mmoja, wawili, watano au kumi. Ni psychology yako tu iliyotokana na utamaduni na dini pamoja na inferiority complex hasa ukiwa masikini kapuku.
Sio utamaduni wa kijinga bali ilikuwa inachochea uwajibika,ndio hata idadi ya single mother ilikuwa ni ndogo mno, watu walikuwa wanadumu kwenye ndoa na hata jamii ilikuwa bora sababu kila mtu ni alikuwa anawajibika kwa mwanae.Halafu tokea kuumbwa kwa dunia mpaka sasa mwanaume hatokuja kuwa sawa na mwanamke, nazani unaona wanao lazimisha kuwa hivyo walivyokuwa na matatizo kibao ya kijamii.

Leo hii wazazi hawawajibiki kwenye malezi, watoto nao wanashindwa kujua wajibu wao na jinsi ya kujiepusha na ngono, matokeo single mother, watoto wa mtaani, ndoa nyingi kuvunjika nakuwa na migogoro. Ukiangalia tu sasa hivi ndoa nyingi zinavunjwa na ma-ex.Yaani tatizo lolote la kijamii single mother, watoto wa mtaani, mario, ndoa zenye migogoro, ndoa zilizo vunjika zinatokana na wazazi na jamii kiujumla kutowajibika kwenye malezi.

Tofauti ipo sema kitu chochote impact yake ikiwa inakuja polepole inakuwa ngumu kukiona ila ukija kushtuka tatizo limeshakuwa kubwa, ndio sasa hivi jamii yetu ipo huko. Ndoa haihitaji sijui usasa au kwenda na wakati, ukienda against ya misingi ya ndoa ,lazima jamii iyumbe ipo hivyo utake husitake ,bikra ni alama ya uwajibikaji kwa mzazi na binti anaye olewa. Jamii zote duniani hazijawahi kufanya kikao,ila zote na tamaduni zao zinathamini bikra na zinaami bikra ni kielelezo cha mke bora,sio wajinga kwani ukiitizama jamii ile na ya sasa jamii yetu ina tabia za hovyo.

Ndio maana siku hizi binti anakuwa na boyfriend, wazazi wanachukulia poa, binti anabadilisha wanaume kila siku wazazi wanachukulia poa,zamani haya matendo ni matusi makubwa sana binti alikuwa hawezi thubutu kufanya.
 
Vijana wanakuwa paranoid sana kuhusu mbunye tu😁, wangeweza kuzingatia hivi mambo mengine ya maendeleo tungekuwa kama Ulaya, China au Dubai sa hii.
Kiufupi wapunguze kujiongeza, wanajiongeza sana! Maisha ndio hayahaya wapende wasipende! Wanajitahidi sana kubuni formula ila ndio haiwezekaniki tena!
 
Back
Top Bottom