Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

Mahari ni kwa watu dhaifu.
Basi sawaa
CA9053BF-78F1-47B1-963D-95931155DF1E.jpeg
 
Japo sijaelewa unachokimaanisha ila kutoa mahari sio sawa.
Namaanisha taratibu zibadirishwe mahari iwe baada ya kumuoa binti ushanielewa sasa? Yaan mahari isiwe kibadirishio cha upendo baina ya watu wawili waliopendana na kuamua kuishi pamoja ila iwe ni km shukhrani kwa wazazi wa pande zote mbili na sio wazazi wa upande mmoja, ndio maana nasema taratibu ziweze kufanyiwa maboresho. Mfano kijana umempenda binti fulani unapewa uoe free kabisa baada ya muda fulani basi unaweza ukajikusanya hata tumazao twa mwaka umepata junia 20 basi beba junia 10 peleka ukweni hio ndio inakua mahari au unafuga ng'ombe basi baada ya mwaka beba ng'ombe 10 peleke ukweni hivyo yaan usifanye km unamnunua mtumwa ila unaishi na binadamu mwenzio sio Mbuzi
 
Back
Top Bottom