Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

Babu unazingua! Kwani mahali inahusika vipi na mtu kuwa na msururu🫒
Unajifanya haujui sababu yaani unaanzaje kuoa mke huku Tayari akiwa na k mtumba !?
 
Ona hiki kizazi cha nyoka, kwamba mnaona sawa kuliwa na wanaume kumi-ishirini?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kwa hali hii unamlipisha kijana wangu mahari ili akutanr na pango la wanyang'anyi kweli? Unamlipisha ili nini hasa? Sioni logic!
Vijana wanablessiwa kama kawa na hakuna pango wala kumbi za namna hiyo! sio kila mtu ana nyonga pana bwana, maumbile hayapimwi kwa wingi wa πŸ†, wenye nzao 10 wangeachika enzi hizo bwana weee!!

Hizo imaginations zinakuzeesha tu! Haziendani na uahlisia wenyew, hizo story za kwenye kahawa tu!
 
Shupaza tu hilo fuvu mjukuu, ila huwezi kulipisha kijana wangu 5m kwa mwanamke ambaye hakujiheshimisha, unakuwa umemdhulumu.
 
Yaani tutoe utaratibu wa mahari kwa sababu ya maamuzi binafsi ya watu fulani fulani?

Mahari haijawahi kuwa tatizo,si tatizo na haitakuja kuwa tatizo kwasababu ni utaratibu wa mila na desturi zetu kama waafrica.

Tatizo lipo kwa muhusika ambaye anakwenda kulipia mahari mwanamke mwenye historia ya kukosa maadili. Dalili na mwenendo huwa vinaonekana kabla hata haujaenda kulipa mahari kwanini sasa huwa mtu anaendelea kujitoa ufahamu?

Wanawake wenye discipline na wenye kufuata misingi ya tamaduni zetu za kiafrika wamejaa tele ,wewe unakwenda kuchagua mwanamke mwenye changamoto za kitabia umlipie mahari.

Mahari sio tatizo,tatizo ni machaguo yako ya nani unakwenda kumlipia mahari.
 
Unajifanya haujui sababu yaani unaanzaje kuoa mke huku Tayari akiwa na k mtumba !?
Kwahiyo hizi kumbi zinazojaza kila jmos huwa ni K mpya tu na hamsemiπŸ™†πŸ½β€β™€οΈ
 
Shupaza tu hilo fuvu mjukuu, ila huwezi kulipisha kijana wangu 5m kwa mwanamke ambaye hakujiheshimisha, unakuwa umemdhulumu.
Sasa utahesabu na nini bamkweπŸ˜‚ hebu acha kijana ajipatie mshangaz mwenye experience aishi kwa amani!
 
Sasa utahesabu na nini bamkweπŸ˜‚ hebu acha kijana ajipatie mshangaz mwenye experience aishi kwa amani!
Wakubaliane tuwabariki wakaishi, nothing more!!
 
Mimi kwetu hicho kitu hakikubaliki tena na wajombaπŸ˜‚πŸ«΄πŸΎ

Wataona ni dharau kubwa sana
Kama unaona ni dharau basi bana miguu(ulitakiwa kuibana mapemaπŸ˜…)
 
Ona hiki kizazi cha nyoka, kwamba mnaona sawa kuliwa na wanaume kumi-ishirini?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kwa hali hii unamlipisha kijana wangu mahari ili akutanr na pango la wanyang'anyi kweli? Unamlipisha ili nini hasa? Sioni logic!
Kwani anaondoka nayo? 😹
Em acha kufanya maisha yawe magumu..!!

Mahari itatolewa kwa kishindo cha wakoma 😹😹
 
Usigune, ni fair kabisa kwa mwanaume. Tunalipishwa sio stahiki zetu, walitakiwa kulipa wengine kabisa.
Sas anaetoa mahari si ndo anaenda kulalaa nayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sas anaetoa mahari si ndo anaenda kulalaa nayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna waliolala nayo kabla ya anayetoa mahari wana nafasi gani kwenye uharibifu uliofanyika.?
 
Kuna waliolala nayo kabla ya anayetoa mahari wana nafasi gani kwenye uharibifu uliofanyika.?
Toeni ela yan mm ingekuwa hajalipa yote ningedai tena na sikukuu hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…