Uchaguzi 2020 Hoja ya CCM kujaza watu kwa kutumia wasanii

Uchaguzi 2020 Hoja ya CCM kujaza watu kwa kutumia wasanii

Hakika umeongea vzr,
Kuna watu wanaona wivu tu CCM inavojaza watu kweny mikutano yao, wanaanza kusingizia et wasanii
 
Hahaaa...... Jinga kweli ww.. Unaenda kumsikiliza mandege?
Lissu hatukani mtu bali anamkemea ibilisi shetani ccm na magufuli......
Ushetani waliofanyia hii nchibhaupaswi kujyamaziwa lazima ukemewe kwa nguvu zote.....
Ndio maana Tundu Lissu anaenda kua rais km hutaki meza wembe
Labda raisi wa mazuzu wanaojitia vipof wakat wana macho yao
 
Watoto wa shule walipangwa barabarani

Halafu hoja ya kwamba kila anayesimama pembeni ya barabara Ni ccm unaotoa wapi?

Wengine wapo wanamchora tu uchwara kwa kutumia msafara wa magari 30 wakati uchumi wao upo hoi.

Lissu atawashangaza Sana October.
Hao wanaosimama barabarani kushangaa msafara mbona hawaendi kushangaa kwa kiwete?
 
Watoto wa shule walipangwa barabarani

Halafu hoja ya kwamba kila anayesimama pembeni ya barabara Ni ccm unaotoa wapi?

Wengine wapo wanamchora tu uchwara kwa kutumia msafara wa magari 30 wakati uchumi wao upo hoi.

Lissu atawashangaza Sana October.
Watoto wa shule walipangwa barabarani

Halafu hoja ya kwamba kila anayesimama pembeni ya barabara Ni ccm unaotoa wapi?

Wengine wapo wanamchora tu uchwara kwa kutumia msafara wa magari 30 wakati uchumi wao upo hoi.

Lissu atawashangaza Sana October.

Basi na wale wanaoendaga kwenye mikutano ya Lissu wanaenda kumshangaa aliepigwa risasi na hajafa na sio kusikiliza sera zake wala kutaka kuchagua
 
Hahaaa...... Jinga kweli ww.. Unaenda kumsikiliza mandege?
Lissu hatukani mtu bali anamkemea ibilisi shetani ccm na magufuli......
Ushetani waliofanyia hii nchibhaupaswi kujyamaziwa lazima ukemewe kwa nguvu zote.....
Ndio maana Tundu Lissu anaenda kua rais km hutaki meza wembe
We pumbavu kweli, wewe ni nani hautaki ndege wakati mbunge wako heche alilia lia bungeni kuwa nchi haina ndege.
 
Unapo mpa mtu burudani ili akusikilize, hiyo ni rushwa kama rushwa nyenginezo 😁😁😁😁
Kumbuka CCM haipig kampeni tu pekeake, lkn pia inasherekea miak 5 ya mabadiliko, ss cjui kam kuna sherehe isiyokua na burudani
 
Ukiwa muongo basi uwe na KUMBUKUMBU.

CCM inajaza watu kwa sababu ya kukubalika kwake kwa wananchi na sio kwa sababu ya wasanii. Tumeshuhudia miaka mitano ya kazi ya Rais Dr John Pombe Magufuli ambapo kaifanya CCM kuwa Chama Bora sana hapa Afrika na sio Tanzania pekee, utendaji kazi wake mzuri ndio unaowafanya watu wampende zaidi na kutamani kumuona.

Sababu kubwa kabisa ya mikutano ya Rais Dr John Pombe Magufuli kujaza watu wengi ni utendaji wake mzuri na sio wasanii
 
Ccm lazima ijaze watu kwa sababu inayo mipango ya maendeleo kwa watu sio wale wengine
 
CCM ni chama kikubwa , kina wakereketwa wa kutosha suala la kujaza uwanja ni kawaida yetu ukiangalia ata mikutano ya barabarani watu walijaa na hakukuwepo na wasaniii
 
Na hawa wafundisheni jinsi ya kutukana ili nyumbu wapenda matusi wajitokeze kuwasikiliza.
Sio kwakudhalilika huku!!View attachment 1561783
Hata Kama wakitukana kiasi gan watu hawapati ujue saivi watu wanaangalia hoja sio kwamba ulipigwa risasi ngapi ili tukuhurumie huo ni ufyamba na unyumbu
CCM ina sera Bora sana ambazo zinawafanya watanzania waipende automatically
 
Back
Top Bottom