Makani_evarist
Senior Member
- Sep 5, 2020
- 192
- 136
Watu wanampenda Rais kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni udhibitisho tosha kuwa watanzania wanamkubali sana Mheshiwa Rais MagufuliWatu wanampenda Rais kweli kweliView attachment 1561810
Najua Kuna watu hawataki kuona hivi ila itawalazimu tu waangalieHuu ni udhibitisho tosha kuwa watanzania wanamkubali sana Mheshiwa Rais MagufuliView attachment 1561812
Hao wachache ni wa kwetu na ni wapiga kura genuine.Na hawa wafundisheni jinsi ya kutukana ili nyumbu wapenda matusi wajitokeze kuwasikiliza.
Sio kwakudhalilika huku!!View attachment 1561783
Mwisho wa mchezo mtatoa sababu maarufu "tumeibiwa kura"Hao wachache ni wa kwetu na ni wapiga kura genuine.
Sasa nyie mnajikoroga wenyewe kwa kujidanganya na nyomi ya wasanii wa singeli, nyomi ya kubebwa kwenye lori sio wapiga kura wa eneo husika, nyomi wanafunzi wa shule msingi inakufool maana hao watoto hawapigi kura nyie.
Inshort CCM mnakwepa ngumi kwa mufumba macho kumbe zinawaingia [emoji1787][emoji1787]
Hahaaa...... Jinga kweli ww.. Unaenda kumsikiliza mandege?
Lissu hatukani mtu bali anamkemea ibilisi shetani ccm na magufuli......
Ushetani waliofanyia hii nchibhaupaswi kujyamaziwa lazima ukemewe kwa nguvu zote.....
Ndio maana Tundu Lissu anaenda kua rais km hutaki meza wembe
Nyie majitu mashamba sn.... Kwa hiyo Lissu hajawahi kupanda ndege alafu hiyo kwani ndo zile ndege za magufuli za kifisadi zilizogubikwa na usiri mkubwa?
Nyie majitu mashamba sn.... Kwa hiyo Lissu hajawahi kupanda ndege alafu hiyo kwani ndo zile ndege za magufuli za kifisadi zilizogubikwa na usiri mkubwa?
Majinga kweli nyie maccm..... Ndo serikali nzima mnaenda kupokea ndege kweli huu ushamba na ulimbukeni nani kauasisi... .We pumbavu kweli, wewe ni nani hautaki ndege wakati mbunge wako heche alilia lia bungeni kuwa nchi haina ndege.
Tundu Lissu ndio rais na ndie mwenye uwezo wa kupasua jiwe dikteta.......Labda raisi wa mazuzu wanaojitia vipof wakat wana macho yao
Huyo wa kwenu anafaa kuongoza chato lkn sio kuongoza tz....... Ana akili ndogo sn tumpe Tundu Lissu mwenye akili timamuLabda arudi kua Rais wa TLS ila sio wa Tanzania
Kuna mtu mmoja mkurupukaji na mropokaji wa taifa ndo anaongeaga pumba.....shida sio kupanda ndege shida ni pumba anazo ongea
Kuna mtu mmoja mkurupukaji na mropokaji wa taifa ndo anaongeaga pumba.....
Tundu Lissu is very composed na hilo jitu lenu haliwezi kushindana hoja na Mh Lissu.....
Ni mbingu na ardhi
Rais wa Mtandaoni.Hahaaa...... Jinga kweli ww.. Unaenda kusikiliza mandege?
Lissu hatukani mtu bali anamkemea ibilisi shetani ccm na magufuli......
Ushetani waliofanyia hii nchi haupaswi kunyamaziwa lazima ukemewe kwa nguvu zote na watz wote lkn tumepata kiongozi imara wa kutusemea.....
Ndio maana Tundu Lissu anaenda kua rais km hutaki meza wembe