Uchaguzi 2020 Hoja ya CHADEMA kwamba wahudhuriaji wa mikutano ya CCM kwamba wanabebwa kwenye magari naifananisha msemo wa usilolijua sawa na usiku wa giza

Mimi na rafiki zangu huwa tunaenda kwenye mikutano ya CCM kumwangalia konde boy pamoja na Diamond platinum kwa sababu ni bure
 
Kwa mfano limejenga uwanja wa ndege nyumbani kwake chattle

sasa huo ndo ufisadi? lijamaa lenu bado ni mbunge, anapokea ela kama mbunge wa hai, alafu pia ni mwenyekiti wa chama, na pia anapokea michango ya wabunge wenzake pamoja na wananchi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , yupi nuksi apa
 
1961ata baba yako alikuwa hajazaliwa unajua nyie watoto 2000's mnajifanya mnaijua sana CCM.
Waambie CCM waache kuwaibia Watanzania wasio na hatia. Wizi wa vitambulisho vya wajasiliamali, wizi wa Rambirambi. Kila Kona ni wizi tu. Mtajibu siku ya kiama
 
sasa huo ndo ufisadi? lijamaa lenu bado ni mbunge, anapokea ela kama mbunge wa hai, alafu pia ni mwenyekiti wa chama, na pia anapokea michango ya wabunge wenzake pamoja na wananchi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , yupi nuksi apa
BUNGENI mmekwapua 1.5 trilioni hazionekani
 
Ina maana Hashimu Rungwe nae akiwapelekea magari watapanda kwenda kwenye kampeni za Chauma?
 
Milioni 18?????watatoka wapi wewe taga..2015 mliiba kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…