Hoja ya kuficha idadi vifo tuzipuuze, tuiaminie Serikali yetu. Idadi ya 16 waliokufa kwa Corona ni idadi ya ukweli na halisi, ila...

Hoja ya kuficha idadi vifo tuzipuuze, tuiaminie Serikali yetu. Idadi ya 16 waliokufa kwa Corona ni idadi ya ukweli na halisi, ila...

Pasco Uzalendo haulazimishwi bali ni mtu mwenyewe kujisikia kuwa nao ndani ya nafsi yake.

Suala la kuficha au kuweka wazi vifo vya covid-19 liko chini ya Wizara ya Afya. Wakiwa wa kweli hutasikia manung'uniko. Mf: Watu walipiga kelele humu kuwa Maiti nyingi wameonekana wakizikwa usiku na Watumishi wa Wizara ya Afya. Lkn wako waliopinga kwa nguvu kwa lengo la kuitetea Serikali. Sasa Serikali kupitia Wizara ya Afya imethibitisha hilo na kulitolea tamko.

Hivi kukitokea tukio may be la ujambazi na kwa bahati mbaya wahusika wote Polisi walifanikiwa kuwadhibiti na kuwakamata na kuondoka nao bila hata michubuko na kuna watu waloshuhudia. Lkn baadae kwenye vyombo vya habari kupitia kwa msemaji wa Jeshi la Polisi ukasikia kuwa Polisi wamefanikiwa kuwaua majambazi wale baada ya majibizano ya risasi kwa muda kadhaa. Wale watu walioshuhudia wakikamatwa wakisema hapakuwa na majibizano yeyote ya risasi na kama wameuawa basi ni Polisi walifanya hivyo. Hawa watu tuseme siyo Wazalendo?? Je Polisi hawajadanganya??

Wanaopaswa kutoa taarifa watoe za kweli bila kuongeza au kupunguza kwa malengo fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWANINI SERIKALI INALAZIMISHA KUAMINIWA?

TUNAOKUFA TUNATOKANA JAMII, TUNAHUDHURIA MAZIKO YA WAPENDWA WETU NA KUSIKIZA WASIFU WA MAREHEMU (kama majumuisho ya kura) SERIKALI INAFUNDISHA WATU SOMO LA HESABU TOKA SHULE ZA AWALI, MNAWAZUIAJE WATU KUJUMLISHA IDADI YA NDUGU ZAO WAPENDWA WALIOKUFA KWA COVID-19 ??
haipo sehemu serikali inalazimisha watu kuamini taarifa zake.

wewe shika unachotaka,ila kama una kingine tofauti kuna namna ya kufanya ukasikilizwa kuliko kupiga makelele serikali inadanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unapambania teuzi kwa Hali na Mali,
Hutopata teuzi yoyote 😁😁
Amiri jeshi mkuu anapenda kuteua watu waliyo na sifa za kijeshi, hivyo bora aseme kuwa alipitia JWTZ huenda akala shavu. Nakuombea in shaa Allah upate uteuzi ili watu wathibitishe uwezo wako kama kiongozi wa kitengo fulani sisi watanzania hatuna kinyongo hasa wana-JF sema tu ukiteuliwa usituangushe kwani ukiwa jipu tegemea kutumbuliwa.
 
Hahahaaaa......... uDC wa Mtwara mjini unahusika.

Pascal Mayalla mjanja sana!
 
Kwa hiyo kila MTU sasa hivi ana mortuary na ana vipimo vya kuangalia maiti kuwa kafa kwa corona kiasi kuwa tumuamini yeyote hata mwandishi Wa habari?

Kwa hiyo magonjwa mengine yote kwa sasa yako likizo watu hawafi kwa magonjwa mengine?

Vipimo vya mahospitali ndio huongea sio porojo za vijiwe vya waandishi Wa habari hata kama wana miaka 30 kwenye tasnia ya habari
Kwanini mlikuwa mnazika usiku?
 
Pascal Mayalla,

Mkuu baba mwenye nyumba wangu wa zamani amezikwa pale ununio ijumaa ya wiki iliyopita,alitutoka siku ya jumanne, huku tukiwa tumejipanga kusafirisha mwili Kama majibu hayatasema amefariki kwa corona.Ila majibu tuliyopewa na serikali hii hii ya magu ijumaa iliyopita yalisema ni corona. Kumbuka update ya 16 kufa ilitolewa kabla ya vipimo vya mzee wangu kutoka, na pale ununio siku ile ya ijumaa hajazikwa pekee yake ujue, sasa katika mazingira ya namna hiyo anawezaje kunishawishi nimuamini huyu mtu? Labda Kama anadhani sisi ni wajinga saaaaana!!!!!!
 
Uzuri mnao athirika sana na hilo gonjwa ni nyinyi tu
Kwa hiyo kila MTU sasa hivi ana mortuary na ana vipimo vya kuangalia maiti kuwa kafa kwa corona kiasi kuwa tumuamini yeyote hata mwandishi Wa habari?

Kwa hiyo magonjwa mengine yote kwa sasa yako likizo watu hawafi kwa magonjwa mengine?

Vipimo vya mahospitali ndio huongea sio porojo za vijiwe vya waandishi Wa habari hata kama wana miaka 30 kwenye tasnia ya habari

In God we Trust
 
Wewe mwendawaz vipimo vyote viwe vya wagonjwa maiti vinatolewa na serikalini hii kupitia Maabara ya taifa chini ya wizara ya afya. Sina hakika Kama watu wote huwa wanadai nyarara za vipimo Kama tulivyofanya sisi on Friday last week. Ndo maana magu anataka kutuaminisha kwamba ile maabara ya serikali ni fake kwamba ndugu zetu wanaweza wakawa hawajafa kwa corona ili kujustify uongo wake,Cha kushangaza baada ya kutuambia maabara ni fake hajatupa alternative solution.hovyo kabisa
 
Kwa mfano wewe umetoa hoja gani?
Jamii forum ni sehemu ya kujadili kwa hoja sio kutishana ohhh Mimi.mbobezi kwenye taaluma ohhh Mimi.Mzee kuliko nyie.Hapa ni hoja tu umri na ubobezi Wa fani baki nao kwenu
Toa hoja itajipambanua yenyewe kama inatoka kwa mbobezi au la!!

In God we Trust
 
Back
Top Bottom