Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

Jinsi mnavyoongelea haki za watumishi! Mnazidi kuwaongezea machungu watumishi na kupunguza kura kwa mgombea wenu.

Kukaa kimya kwa sasa ni bora kuliko kupotosha. Ukizingatia zaidi ya 75% ya watumishi wa serikali ni vijana, wazazi na wanategemewa na wengi.

Chama chetu kwa hili la watumishi hawana pa kujificha. Tuendelee na sera zingine nzuri. I stand to be corrected.
 
Ni dhahiri serikali ya awamu ya tano imefanya kazi kubwa, Hongera mtoa mada kwakua namba haidanganyi ndio maana utaona kebehi, dhihaki na matusi kwa wapinzani, Lakini nikumbushie nukuu moja ya Rais Magufuli alisema "UKIONA WAPINZANI WANAKUSHANGILIA RUDI NYUMA UANGALIE UMEKOSEA WAPI, UKIONA WANAKUNYOOSHEA VIDOLE UJUE UMEWAPIGA" na hapa wamepigwa kwa hoja na kama ni matusi tayari kila siku viongozi wenu wasio na maadili wanatukana hivyo niseme kwa kumalizia HAWANA JIPYA.
 
Huyu jamaa muongo muongo sana, CCM itashinda vizuri ila si kwa kura za watumishi haswa wale wa chini kama walimu, manesi nk
 
Hujui chochote kuhusu takwimu za watumishi wa UMMA, huwezi ukatuambia watumishi wengi wao ni vijana
 
Ndugu yangu ni mfanyakazi serikalini na bado anaishi kwa mshahara wa Kikwete,maboresho gani ambayo Mzee magufuli ameayafanya kuhusu maslahi ya wafanyakazi?
 
Hivi wabunge nao mafao yao ni yale yale ya 2015? Askari je?
Watumishi chukueni hatua stahiki dhidi ya hatima za maisha ya kiuchumi. Kulalamika 24/7 sio suluhisho kabisa ukiona kazi unayofanya inakudhalilisha jiongeze iache kama vipi.
Mtu hata angejenga barabara hadi ya kuingia kwenye nyumba ya kila mwananci haitoshi! Mtumishi wa umma asiyelima, hafugi, hana biashara vitu vingine hatavifaidi kama tegemeo lake ambalo ni mshahara ni duni.

Watumishi wengi ni kima cha kati nyongeza zao za mwaka si kubwa, Inakuwaje zisiwepi miaka 5 halafu umshawishi unajenga nchi akuelewe?
 
Huelewi lolote juu ya hizi nyongeza zinamaanisha nini hasa? Consisely nonsense
 
Sisi ndio watumishi wenyewe, tunasema kwamba kuanzia 2015 hakuna annual icrement, ongezeko la mshahara na hata kupanda madaraja ni shida, watu wana zaidi ya miaka 7 hakuna kupanda madaraja. Ajira zenyewe shida, kuna wakati serikali ilisema haiajiri walimu wa arts, juzi rais kasema wanafunzi wachague course ambazo watajiajiri kwani hakuna ajira. Kwa hoja za wafanyakazi hutaweza kutetea chochote , zaidi ni kutafuta aibu.
 
Na walishasema kura za watumishi haziwaongezei kitu sasa sijui kwa nini wanawashwa washwa namna hii. Very stupid indeed!
 
Acha kupotosha watu Kama huna hoja kaa kimywa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Njoo na hoja zlizo waz, huko kuckia ckia kla mtu anasema lake.
Mm mwenyewe nmeskia eti lissu mtoto cio rizki 😄😄

Lisu alipigiwa simu na wafanyakazi wanaodai.

Embu thibitisha Sasa Kama mafao yanalipwa, maana wewe ndio unajua.

Na Wafanyakazi wanaodai nao watasema.
 
Asha Ommary Usijipitishe mbele ya wanaume umevaa kanga moja wakati umetoka bafuni. Kila mnaowaandikia bango lenu mnafiki ni wapinzani tu wakati watu ni waajiriwa na tunausema ukweli tangu niajiriliwe enzi za JK huyu malaika wenu hajawai kunipandisha daraja ambalo nastahi kupanda
 
Hata mimi ni Mtumishi wa Umma. Ebu nieleze tumenyimwa nini hadi unatoa povu kiasi hicho? Kama ni nyongeza ya mshahara na unahisi ni haki yako, kwanini huendi mahakamani kuidai?
 
Magufuli amekuwa akirudia mara kwa mara kuwa kabla hajamaliza muda wakevatawaboreshea wafanyakazi maslahi yao. Na juzi tena akadikika akisema ukipandisha mishahara na bei za vitu zinapanda! Wewe unatiambia tulipandishiwa mishahara zamani! Hivi nyie mnatuonaje?
 
Mbwa koko wewe, naona unajifagilia sana kumbe uongo
 
Andiko hili linatia hasira Sana.Mtu hajapata annual increment toka 2016 halafu unasema annual increment imekuwa ikitolewa.Watu wanadai malimbikizo halafu unasema wamelipwa.Watu wamesahau habari za kupanda madaraja halafu kuna mpuuzi anasema wamepanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…