Hoja yangu kuhusu Lengai Ole Sabaya aliyekuwa DC wa Hai

Humu kumejaa watu wanafiki sana,unajua sababu kuu ni kushindwa kwa Mbowe kwenye uchaguzi, angalia ni watu watatu ambao watu wa Chadema wanataka waondolewe mbali ya Sabaya kuna Chalamila sababu ya kushindwa kwa Sugu na Hapi sababu ya kushindwa kwa Msigwa, hayo mengine ni kama kutafuta nongwa tu, pia kuna watu wanataka kufuta legacy ya mwendazake kwa kusambaratisha timu yake lakini wanasahau kuwa legacy haiondolewi kwa kuwatoa watu bali ni kitu ambacho kipo na kitakuwepo kutokana na kazi aliyofanya mwenye legacy yake na ndio maana bado tunamkumbuka Nyerere na hata Mzee Karume pamoja na kuwa hatuna watendaji wao madarakani na wao hawapo duniani lakini legacy yao ipo na itakuwepo milele. Watu wanajisumbua sana, hata museme vipi au mumutoe nani sijui bado legacy ya mtu aliyefanya makubwa kwa nchi hii itakuwepo tu,kama ipo ipo tu na kama unajua unajua tu.
 
Elius hivi kuvamia hotel ya weruweru na kutaka kumbaka Nandy saa tisa usiku ni mfumo? kuvamia maduka nje ya wilaya na mkoa ni mfumo pia, usitetee makosa yaliyo ya dhahiri kwa kisingizio cha mfumo mbaya wa mwendazake?
 
Kama wewe ni mwandishi basi utakuwa mwandishi duni sana ! ulipataje kazi kwenye magazeti unayoandikia ?
 
Uongo utakusaidia nini ?
 
Kutumikishwa ni mfano kwa punda nk, na kutumwa ni mfano wa mtumishi wa umma.nk,???!
Kutumwa unatenda kwa kuzingatia Sheria, kanuni na taratibu. Pia unatenda kwa akili yako na utashi huku ukiwa na hofu ya MUNGU.
Kutumikishwa hutendi kwa akili yako mfano punda katika kutumikishwa hatumii akili na utashi wake
 
Kutumwa unatenda kwa kuzingatia Sheria, kanuni na taratibu. Pia unatenda kwa akili yako na utashi huku ukiwa na hofu ya MUNGU.
Kutumikishwa hutendi kwa akili yako mfano punda katika kutumikishwa hatumii akili na utashi wake


Kwahiyo tukisema Sebaya alikuwa "Punda" hakuna kosa???!!😲
 
Ungeweka na ka ushahidi basi
 
Mleta mada n moja ya magenge ya awamu ya 5 yaliyohakokisha mwendazake na vijana wake Kama akina 7ya wanatesa wengine

7baya s muheshimiwa Tena n mtuhumiwa mkuu matumiz mabaya ya neno mheshimiwa
 
Hivi mfumo ndiyo uliomtuma Sabaya anywe bia kwenye bar za watu bila kulipa ?

Hata kama amekulipa umsafishe tumia walau akili kidogo
 
Kwenye kumpatia pole ndio unaharibu sasa ndugu
 
Hapana issue si kwa sababu Sabaya alikua Hai ila toka ile tuhuma za kughushi kitambulisho cha usalama hakupaswa kua na mamlaka yale. Na nina uhakika Mwendazake alimuweka pale afanye hayo aliyoyafanya na haikua bahati mbaya.
 
Naomba niulize jamani, huyu jamaa anazungumzia mfumo gani ambao ulimfanya huyu jamaa kutenda mambo ya ovyo akiwa kwenye ofisi ya umma?
Pengine na yeye yumo ktk mfumo anajaribu kujihalalisha
 
Huyu Jamaa aliwahi foji kitambulisho cha TISS b4 kupewa U- DC
 
Pole sana kamanda Mshana, duh! kumbe na wewe ulikoswa koswa na jambazi Sabaya.
Halafu eti watu wasioitakia mema Tanzania wanasema ni tatizo la kimfumo....mara eti Sabaya ni mzalendo...really????
Akina Sabaya na mhuni wa Mbeya na wengine kama hao ndio legacy ya Magufuli hasa. We say never and never again!
 
Acheni kutetea watu humo subiri vyombo vinavyohusika vifanye kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…