Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Rais Magufuli akisundikizwa na kauli ya "...you have my full support.."
Magu alikuwa hajui Kiingereza, bila shaka hayo maneno ya kizungu hayakuwa ya Magu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Magufuli akisundikizwa na kauli ya "...you have my full support.."
Alikuwa anajua cha sentensi moja zaidi ya hapo ilikuwa shidaMagu alikuwa hajui Kiingereza, bila shaka hayo maneno ya kizungu hayakuwa ya Magu.
Kama umelijua hilo basi ujue mfumo wa sabaya haukua wa haki ni wa uonevu sasa umekuja mfumo wa haki tulieni haki itendekeJana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya kupisha Uchaguzi juu ya tuhuma zinazomkabili.
NIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA.
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya kupisha Uchaguzi juu ya tuhuma zinazomkabili.
Kwanza tujue kuna tuhuma na kuna hatia. Tuhuma zikibainika ndipo inakua hatia, lakini kwa sasa ni tuhuma. Sheria zinatukataza kuzungumzia suala ambalo lipo kwenye uchunguzi kwani maoni yanaweza kuharibu uchunguzi. Lakini baada ya kusoma maoni mbalimbali ya hasa wengi wakimshutumu Sabaya, nimeona nije walau nami kutoa maoni yangu.
Binafsi ukiniuliza bado sioni makosa ya moja kwa moja ya Lengai Ole Sabaya. Labda baada ya tume inayomchunguza ndipo nitajua makosa ya moja kwa moja ya Sabaya. Lakini kwa sasa tuhuma zinazoelekezwa kwake ni TUHUMA ZA KIMFUMO. Nilijaribu kuandika hili kwenye Gazeti la Afrika Leo la mwisho wa mwezi wa nne juu ya Utawala Bora.
Mfumo wa Utawala uliokuwepo awali ndio unaoweza kuwa kichocheo Cha haya ambayo leo tunamuona Sabaya ni mbaya na amefanya makosa. Na Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu tu labda yeye eneo lake la utawala ni eneo la mtu maarufu ambapo jicho la kila MTANZANIA na dunia lilikuwa pale, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao waliongoza vibaya kuliko Sabaya. Hawa hawajaonekana kwa kuwa pengine mikoa au Wilaya zao hazikuwa na Camera sana.
Hoja ya Msingi hapa ni kuwa Kiongozi wa awali alishawaambia viongozi wote kuwa "BORA KUFANYA KWA KUKOSEA, KULIKO KUTOFANYA KABISA". Na kwa mahojiano ya Sabaya mwanzoni mwa wiki iliyopita na Clouds Tv kwenye kipindi cha 360 alikire kuwa hata alipokutana na mambo mengi ya kumkatisha tamaa, lakini bwana mkubwa alimwambia 'Go you have my full support'. Sasa kama wakubwa walikuwa wanabariki uchafu na mambo yote tunayosema ni ya hovyo kosa la Sabaya ni lipi?
Mimi ninaona kosa ni la kimfumo. Mfumo ndio uliruhusu kufanya kazi bila kujali chochote hata kama watafanya makosa. Viongozi wengi waliogopa kufuata sheria za Utawala bora kwa kuwa waliona hazileti ufanisi kwenye matokeo bora. Inawezekana Sabaya atabeba msalaba ambao pengine kwa akili yake ya kawaida asingefanya, ila kwa kuwa waliruhusiwa kukosea ndio maana hawakujali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwanaharakati wa Haki za Binadamu. Ni muumini wa Utawala wa Sheria, ni muumini wa haki. Ni Mtanzania halisi anayeamini kuwa binadamu wote ni sawa. Na kwenye utawala wake hataki kuona kuna watu wanalia na wengine wanacheka. Anataka tukiamua kucheka tucheke wote na tukiamua kulia tulie wote kwa kuwa wote ni Watanzania.
Ninachoamini kama ataamua kuwashughulikia wote bila kujali kelele lakini kama atatumia vyombo vyake, ni watu wengi wataondoka Ofisini. Viongozi wengi hawakuzingatia utawala wa sheria bali mdundo wa ngoma.
Pole Lengai Ole Sabaya.
Elius Ndabila
Alikuwa katili kama hitlerNIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA.

Huko alipo watakuwa wameungana magufuli. hitler, stalin, osamaa na saddamAlikuwa katili kama hitler
Yaah ni ndugu yangu wa wa damu kabisa, tumezaliwa tumbo moja Ila mama tofauti.Wewe na Nyani ngabu ni ndugu??!
Umejitahidi sana kumtetea , kiukweli Majambazi mnajua kulindana.NIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA.
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya kupisha Uchaguzi juu ya tuhuma zinazomkabili.
Kwanza tujue kuna tuhuma na kuna hatia. Tuhuma zikibainika ndipo inakua hatia, lakini kwa sasa ni tuhuma. Sheria zinatukataza kuzungumzia suala ambalo lipo kwenye uchunguzi kwani maoni yanaweza kuharibu uchunguzi. Lakini baada ya kusoma maoni mbalimbali ya hasa wengi wakimshutumu Sabaya, nimeona nije walau nami kutoa maoni yangu.
Binafsi ukiniuliza bado sioni makosa ya moja kwa moja ya Lengai Ole Sabaya. Labda baada ya tume inayomchunguza ndipo nitajua makosa ya moja kwa moja ya Sabaya. Lakini kwa sasa tuhuma zinazoelekezwa kwake ni TUHUMA ZA KIMFUMO. Nilijaribu kuandika hili kwenye Gazeti la Afrika Leo la mwisho wa mwezi wa nne juu ya Utawala Bora.
Mfumo wa Utawala uliokuwepo awali ndio unaoweza kuwa kichocheo Cha haya ambayo leo tunamuona Sabaya ni mbaya na amefanya makosa. Na Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu tu labda yeye eneo lake la utawala ni eneo la mtu maarufu ambapo jicho la kila MTANZANIA na dunia lilikuwa pale, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao waliongoza vibaya kuliko Sabaya. Hawa hawajaonekana kwa kuwa pengine mikoa au Wilaya zao hazikuwa na Camera sana.
Hoja ya Msingi hapa ni kuwa Kiongozi wa awali alishawaambia viongozi wote kuwa "BORA KUFANYA KWA KUKOSEA, KULIKO KUTOFANYA KABISA". Na kwa mahojiano ya Sabaya mwanzoni mwa wiki iliyopita na Clouds Tv kwenye kipindi cha 360 alikire kuwa hata alipokutana na mambo mengi ya kumkatisha tamaa, lakini bwana mkubwa alimwambia 'Go you have my full support'. Sasa kama wakubwa walikuwa wanabariki uchafu na mambo yote tunayosema ni ya hovyo kosa la Sabaya ni lipi?
Mimi ninaona kosa ni la kimfumo. Mfumo ndio uliruhusu kufanya kazi bila kujali chochote hata kama watafanya makosa. Viongozi wengi waliogopa kufuata sheria za Utawala bora kwa kuwa waliona hazileti ufanisi kwenye matokeo bora. Inawezekana Sabaya atabeba msalaba ambao pengine kwa akili yake ya kawaida asingefanya, ila kwa kuwa waliruhusiwa kukosea ndio maana hawakujali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwanaharakati wa Haki za Binadamu. Ni muumini wa Utawala wa Sheria, ni muumini wa haki. Ni Mtanzania halisi anayeamini kuwa binadamu wote ni sawa. Na kwenye utawala wake hataki kuona kuna watu wanalia na wengine wanacheka. Anataka tukiamua kucheka tucheke wote na tukiamua kulia tulie wote kwa kuwa wote ni Watanzania.
Ninachoamini kama ataamua kuwashughulikia wote bila kujali kelele lakini kama atatumia vyombo vyake, ni watu wengi wataondoka Ofisini. Viongozi wengi hawakuzingatia utawala wa sheria bali mdundo wa ngoma.
Pole Lengai Ole Sabaya.
Elius Ndabila
Atakuwa ni sabaya mwenyewe anavinjari humuUmejitahidi sana kumtetea , kiukweli Majambazi mnajua kulindana.
Lakini kwakuwa lakuvunda halina ubani mkamdanganya aende clouds akaongee kumbe ndio mmeharibu.
Sabaya ni mshenzi sana, watu tunakunywa Riverbills hapa Ngarenaro tulikuwa tunashuhudia uchafu wake.
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Kitendo cha kustopishwa kupisha uchunguzi ni tayari kuna chochote kitu na majibu yapo.subiri majibu yake sasaNIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA.
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya kupisha Uchaguzi juu ya tuhuma zinazomkabili.
Kwanza tujue kuna tuhuma na kuna hatia. Tuhuma zikibainika ndipo inakua hatia, lakini kwa sasa ni tuhuma. Sheria zinatukataza kuzungumzia suala ambalo lipo kwenye uchunguzi kwani maoni yanaweza kuharibu uchunguzi. Lakini baada ya kusoma maoni mbalimbali ya hasa wengi wakimshutumu Sabaya, nimeona nije walau nami kutoa maoni yangu.
Binafsi ukiniuliza bado sioni makosa ya moja kwa moja ya Lengai Ole Sabaya. Labda baada ya tume inayomchunguza ndipo nitajua makosa ya moja kwa moja ya Sabaya. Lakini kwa sasa tuhuma zinazoelekezwa kwake ni TUHUMA ZA KIMFUMO. Nilijaribu kuandika hili kwenye Gazeti la Afrika Leo la mwisho wa mwezi wa nne juu ya Utawala Bora.
Mfumo wa Utawala uliokuwepo awali ndio unaoweza kuwa kichocheo Cha haya ambayo leo tunamuona Sabaya ni mbaya na amefanya makosa. Na Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu tu labda yeye eneo lake la utawala ni eneo la mtu maarufu ambapo jicho la kila MTANZANIA na dunia lilikuwa pale, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao waliongoza vibaya kuliko Sabaya. Hawa hawajaonekana kwa kuwa pengine mikoa au Wilaya zao hazikuwa na Camera sana.
Hoja ya Msingi hapa ni kuwa Kiongozi wa awali alishawaambia viongozi wote kuwa "BORA KUFANYA KWA KUKOSEA, KULIKO KUTOFANYA KABISA". Na kwa mahojiano ya Sabaya mwanzoni mwa wiki iliyopita na Clouds Tv kwenye kipindi cha 360 alikire kuwa hata alipokutana na mambo mengi ya kumkatisha tamaa, lakini bwana mkubwa alimwambia 'Go you have my full support'. Sasa kama wakubwa walikuwa wanabariki uchafu na mambo yote tunayosema ni ya hovyo kosa la Sabaya ni lipi?
Mimi ninaona kosa ni la kimfumo. Mfumo ndio uliruhusu kufanya kazi bila kujali chochote hata kama watafanya makosa. Viongozi wengi waliogopa kufuata sheria za Utawala bora kwa kuwa waliona hazileti ufanisi kwenye matokeo bora. Inawezekana Sabaya atabeba msalaba ambao pengine kwa akili yake ya kawaida asingefanya, ila kwa kuwa waliruhusiwa kukosea ndio maana hawakujali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwanaharakati wa Haki za Binadamu. Ni muumini wa Utawala wa Sheria, ni muumini wa haki. Ni Mtanzania halisi anayeamini kuwa binadamu wote ni sawa. Na kwenye utawala wake hataki kuona kuna watu wanalia na wengine wanacheka. Anataka tukiamua kucheka tucheke wote na tukiamua kulia tulie wote kwa kuwa wote ni Watanzania.
Ninachoamini kama ataamua kuwashughulikia wote bila kujali kelele lakini kama atatumia vyombo vyake, ni watu wengi wataondoka Ofisini. Viongozi wengi hawakuzingatia utawala wa sheria bali mdundo wa ngoma.
Pole Lengai Ole Sabaya.
Elius Ndabila
Mshenzi sana huyu MwarushaAtakuwa ni sabaya mwenyewe anavinjari humu
Huu lzm utakuwa ujinga wa hali ya juu sanaUsishangae 2025 Sabaya akawa anasafishwa hadharani na Chadema kama walivyofanya kwa Lowasa
Na hapo ndio utajua fisadi mchafu ni nani kati ya huyo sabaya na chadema🤣🤣🤣🤣
Mademu ya sabaya yanahangaika. Na bado wataipata tuNilivyoona tu pole mh sabaya nimeacha na kusoma huu uzi
Sabaya alikuwa na haki ya kukataa shinikizo lolote la huo unaoita mfumo
Marehemu kichaa alichagua vichaa wengi wamsaidieNIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA.
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya kupisha Uchaguzi juu ya tuhuma zinazomkabili.
Kwanza tujue kuna tuhuma na kuna hatia. Tuhuma zikibainika ndipo inakua hatia, lakini kwa sasa ni tuhuma. Sheria zinatukataza kuzungumzia suala ambalo lipo kwenye uchunguzi kwani maoni yanaweza kuharibu uchunguzi. Lakini baada ya kusoma maoni mbalimbali ya hasa wengi wakimshutumu Sabaya, nimeona nije walau nami kutoa maoni yangu.
Binafsi ukiniuliza bado sioni makosa ya moja kwa moja ya Lengai Ole Sabaya. Labda baada ya tume inayomchunguza ndipo nitajua makosa ya moja kwa moja ya Sabaya. Lakini kwa sasa tuhuma zinazoelekezwa kwake ni TUHUMA ZA KIMFUMO. Nilijaribu kuandika hili kwenye Gazeti la Afrika Leo la mwisho wa mwezi wa nne juu ya Utawala Bora.
Mfumo wa Utawala uliokuwepo awali ndio unaoweza kuwa kichocheo Cha haya ambayo leo tunamuona Sabaya ni mbaya na amefanya makosa. Na Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu tu labda yeye eneo lake la utawala ni eneo la mtu maarufu ambapo jicho la kila MTANZANIA na dunia lilikuwa pale, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao waliongoza vibaya kuliko Sabaya. Hawa hawajaonekana kwa kuwa pengine mikoa au Wilaya zao hazikuwa na Camera sana.
Hoja ya Msingi hapa ni kuwa Kiongozi wa awali alishawaambia viongozi wote kuwa "BORA KUFANYA KWA KUKOSEA, KULIKO KUTOFANYA KABISA". Na kwa mahojiano ya Sabaya mwanzoni mwa wiki iliyopita na Clouds Tv kwenye kipindi cha 360 alikire kuwa hata alipokutana na mambo mengi ya kumkatisha tamaa, lakini bwana mkubwa alimwambia 'Go you have my full support'. Sasa kama wakubwa walikuwa wanabariki uchafu na mambo yote tunayosema ni ya hovyo kosa la Sabaya ni lipi?
Mimi ninaona kosa ni la kimfumo. Mfumo ndio uliruhusu kufanya kazi bila kujali chochote hata kama watafanya makosa. Viongozi wengi waliogopa kufuata sheria za Utawala bora kwa kuwa waliona hazileti ufanisi kwenye matokeo bora. Inawezekana Sabaya atabeba msalaba ambao pengine kwa akili yake ya kawaida asingefanya, ila kwa kuwa waliruhusiwa kukosea ndio maana hawakujali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwanaharakati wa Haki za Binadamu. Ni muumini wa Utawala wa Sheria, ni muumini wa haki. Ni Mtanzania halisi anayeamini kuwa binadamu wote ni sawa. Na kwenye utawala wake hataki kuona kuna watu wanalia na wengine wanacheka. Anataka tukiamua kucheka tucheke wote na tukiamua kulia tulie wote kwa kuwa wote ni Watanzania.
Ninachoamini kama ataamua kuwashughulikia wote bila kujali kelele lakini kama atatumia vyombo vyake, ni watu wengi wataondoka Ofisini. Viongozi wengi hawakuzingatia utawala wa sheria bali mdundo wa ngoma.
Pole Lengai Ole Sabaya.
Elius Ndabila
Umekosoa kilichofanywa na wenginna baada tu ya kuwakosoa na wewe ukafanya kile kile. Labda kosa lao wao ni kuonesha baadhi ya hizo tuhuma halafu wewe kuka na kumtetea na kusema kuwa kwako wewe yote aliyoyafanya wala sio tatizo na hivyo si hatia. Nadhan pia umeingilia hiyo tume kama ulivyokataza wengine. Nafhani ungesema sentensi moja tu kuwaNIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA.
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya kupisha Uchaguzi juu ya tuhuma zinazomkabili.
Kwanza tujue kuna tuhuma na kuna hatia. Tuhuma zikibainika ndipo inakua hatia, lakini kwa sasa ni tuhuma. Sheria zinatukataza kuzungumzia suala ambalo lipo kwenye uchunguzi kwani maoni yanaweza kuharibu uchunguzi. Lakini baada ya kusoma maoni mbalimbali ya hasa wengi wakimshutumu Sabaya, nimeona nije walau nami kutoa maoni yangu.
Binafsi ukiniuliza bado sioni makosa ya moja kwa moja ya Lengai Ole Sabaya. Labda baada ya tume inayomchunguza ndipo nitajua makosa ya moja kwa moja ya Sabaya. Lakini kwa sasa tuhuma zinazoelekezwa kwake ni TUHUMA ZA KIMFUMO. Nilijaribu kuandika hili kwenye Gazeti la Afrika Leo la mwisho wa mwezi wa nne juu ya Utawala Bora.
Mfumo wa Utawala uliokuwepo awali ndio unaoweza kuwa kichocheo Cha haya ambayo leo tunamuona Sabaya ni mbaya na amefanya makosa. Na Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu tu labda yeye eneo lake la utawala ni eneo la mtu maarufu ambapo jicho la kila MTANZANIA na dunia lilikuwa pale, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao waliongoza vibaya kuliko Sabaya. Hawa hawajaonekana kwa kuwa pengine mikoa au Wilaya zao hazikuwa na Camera sana.
Hoja ya Msingi hapa ni kuwa Kiongozi wa awali alishawaambia viongozi wote kuwa "BORA KUFANYA KWA KUKOSEA, KULIKO KUTOFANYA KABISA". Na kwa mahojiano ya Sabaya mwanzoni mwa wiki iliyopita na Clouds Tv kwenye kipindi cha 360 alikire kuwa hata alipokutana na mambo mengi ya kumkatisha tamaa, lakini bwana mkubwa alimwambia 'Go you have my full support'. Sasa kama wakubwa walikuwa wanabariki uchafu na mambo yote tunayosema ni ya hovyo kosa la Sabaya ni lipi?
Mimi ninaona kosa ni la kimfumo. Mfumo ndio uliruhusu kufanya kazi bila kujali chochote hata kama watafanya makosa. Viongozi wengi waliogopa kufuata sheria za Utawala bora kwa kuwa waliona hazileti ufanisi kwenye matokeo bora. Inawezekana Sabaya atabeba msalaba ambao pengine kwa akili yake ya kawaida asingefanya, ila kwa kuwa waliruhusiwa kukosea ndio maana hawakujali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwanaharakati wa Haki za Binadamu. Ni muumini wa Utawala wa Sheria, ni muumini wa haki. Ni Mtanzania halisi anayeamini kuwa binadamu wote ni sawa. Na kwenye utawala wake hataki kuona kuna watu wanalia na wengine wanacheka. Anataka tukiamua kucheka tucheke wote na tukiamua kulia tulie wote kwa kuwa wote ni Watanzania.
Ninachoamini kama ataamua kuwashughulikia wote bila kujali kelele lakini kama atatumia vyombo vyake, ni watu wengi wataondoka Ofisini. Viongozi wengi hawakuzingatia utawala wa sheria bali mdundo wa ngoma.
Pole Lengai Ole Sabaya.
Elius Ndabila
Walishaambiwa mwenzao(mwanakwendazake!) ana kinga, kwamba huyo anaye walinda kuna siku hatakuwa madarakani, wakabisha!MaDC wote huwa wanakula kiapo kabla ya kuanza kutekeleza majukumu yao sehemu walizopangiwa; na katika kiapo hicho wanaapa kuwa WATAILINDA na KUITETETA katiba ya nchi ambayo ndio sheria mama!! Sasa kama Sabaya alishindwa kuheshimu na kufuata sheria, kanuni na taratibu zilizotokana na katika hiyo aliyoapa kuilinda basi hana sababu ya kusingizia eti alikuwa anatimiza matakwa ya JIWE!! Huko ni kujitetea tu kwasbabu Jiwe katutoka!! He should pay the price!!!
Umeshachukua bahasha ya khaki tayari! Unawananga wengine kuwa wanapotosha uchunguzi huku nawe ukifanya yaleyale ya kuwapa majibu ya task yao kuwa mfumo ubebe lawama na makosa! Ni mfumo upi uliokuwa unampa baraka za kubaka, kupita, kuumiza na hata kuua? Ni mfumo upi uliokuwa unampa mamlaka ya kuvamia wilaya nyingine zenye wakuu wa wilaya Kama yeye na walioteuliwa na mfumo unaofanana kwenda kufanya uhalifu huko?NIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA.