Hoja yangu kuhusu Lengai Ole Sabaya aliyekuwa DC wa Hai

NIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA.

Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya kupisha Uchaguzi juu ya tuhuma zinazomkabili.

Kwanza tujue kuna tuhuma na kuna hatia. Tuhuma zikibainika ndipo inakua hatia, lakini kwa sasa ni tuhuma. Sheria zinatukataza kuzungumzia suala ambalo lipo kwenye uchunguzi kwani maoni yanaweza kuharibu uchunguzi. Lakini baada ya kusoma maoni mbalimbali ya hasa wengi wakimshutumu Sabaya, nimeona nije walau nami kutoa maoni yangu.

Binafsi ukiniuliza bado sioni makosa ya moja kwa moja ya Lengai Ole Sabaya. Labda baada ya tume inayomchunguza ndipo nitajua makosa ya moja kwa moja ya Sabaya. Lakini kwa sasa tuhuma zinazoelekezwa kwake ni TUHUMA ZA KIMFUMO. Nilijaribu kuandika hili kwenye Gazeti la Afrika Leo la mwisho wa mwezi wa nne juu ya Utawala Bora.

Mfumo wa Utawala uliokuwepo awali ndio unaoweza kuwa kichocheo Cha haya ambayo leo tunamuona Sabaya ni mbaya na amefanya makosa. Na Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu tu labda yeye eneo lake la utawala ni eneo la mtu maarufu ambapo jicho la kila MTANZANIA na dunia lilikuwa pale, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao waliongoza vibaya kuliko Sabaya. Hawa hawajaonekana kwa kuwa pengine mikoa au Wilaya zao hazikuwa na Camera sana.

Hoja ya Msingi hapa ni kuwa Kiongozi wa awali alishawaambia viongozi wote kuwa "BORA KUFANYA KWA KUKOSEA, KULIKO KUTOFANYA KABISA". Na kwa mahojiano ya Sabaya mwanzoni mwa wiki iliyopita na Clouds Tv kwenye kipindi cha 360 alikire kuwa hata alipokutana na mambo mengi ya kumkatisha tamaa, lakini bwana mkubwa alimwambia 'Go you have my full support'. Sasa kama wakubwa walikuwa wanabariki uchafu na mambo yote tunayosema ni ya hovyo kosa la Sabaya ni lipi?

Mimi ninaona kosa ni la kimfumo. Mfumo ndio uliruhusu kufanya kazi bila kujali chochote hata kama watafanya makosa. Viongozi wengi waliogopa kufuata sheria za Utawala bora kwa kuwa waliona hazileti ufanisi kwenye matokeo bora. Inawezekana Sabaya atabeba msalaba ambao pengine kwa akili yake ya kawaida asingefanya, ila kwa kuwa waliruhusiwa kukosea ndio maana hawakujali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwanaharakati wa Haki za Binadamu. Ni muumini wa Utawala wa Sheria, ni muumini wa haki. Ni Mtanzania halisi anayeamini kuwa binadamu wote ni sawa. Na kwenye utawala wake hataki kuona kuna watu wanalia na wengine wanacheka. Anataka tukiamua kucheka tucheke wote na tukiamua kulia tulie wote kwa kuwa wote ni Watanzania.

Ninachoamini kama ataamua kuwashughulikia wote bila kujali kelele lakini kama atatumia vyombo vyake, ni watu wengi wataondoka Ofisini. Viongozi wengi hawakuzingatia utawala wa sheria bali mdundo wa ngoma.

Pole Lengai Ole Sabaya.

Elius Ndabila
What?? Umekosea sana kujenga hoja yako, labda wewe ndiyo Sabaya mwenyewe, au mfuasi wake! Ukiteuliwa ndo ufanye ujinga kisa mfumo? Huo mfumo kina RC wake Sabaya walikuwa kwenye mfumo tofauti? Yaani wewe mtu mzima ukiambiwa kunya hadharani utakunya? eti kisa umeambiwa hivyo na mkubwa wako? Kuna DCs na RCs wengi tu wako kwenye Majimbo ambayo yalikuwa ngome za upinzani, lakini wamejitahidi kutumia busara na akili za ziada ili kuendana na mfumo, huku wakiishi kwa akili na wananchi na maisha yanaenda mpaka leo. Next time Sabaya na watu wa aina yako mjifunze utu, ukiteuliwa fanya kazi yako kwa ufasaha, tenda haki, chapa kazi za kimaendeleo zaidi, ili hata Mteuzi wako akikuondoa basi unakuwa na amani na nafsi yako, na wananchi, na Mungu wako pia. Tukumbuke huwa lazima mtu huondoka tu hakuna anayedumu milele kwenye ofisi ya umma, hasa kwa hizi nafasi za uteuzi.
 
NIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA.

Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya kupisha Uchaguzi juu ya tuhuma zinazomkabili.

Kwanza tujue kuna tuhuma na kuna hatia. Tuhuma zikibainika ndipo inakua hatia, lakini kwa sasa ni tuhuma. Sheria zinatukataza kuzungumzia suala ambalo lipo kwenye uchunguzi kwani maoni yanaweza kuharibu uchunguzi. Lakini baada ya kusoma maoni mbalimbali ya hasa wengi wakimshutumu Sabaya, nimeona nije walau nami kutoa maoni yangu.

Binafsi ukiniuliza bado sioni makosa ya moja kwa moja ya Lengai Ole Sabaya. Labda baada ya tume inayomchunguza ndipo nitajua makosa ya moja kwa moja ya Sabaya. Lakini kwa sasa tuhuma zinazoelekezwa kwake ni TUHUMA ZA KIMFUMO. Nilijaribu kuandika hili kwenye Gazeti la Afrika Leo la mwisho wa mwezi wa nne juu ya Utawala Bora.

Mfumo wa Utawala uliokuwepo awali ndio unaoweza kuwa kichocheo Cha haya ambayo leo tunamuona Sabaya ni mbaya na amefanya makosa. Na Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu tu labda yeye eneo lake la utawala ni eneo la mtu maarufu ambapo jicho la kila MTANZANIA na dunia lilikuwa pale, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao waliongoza vibaya kuliko Sabaya. Hawa hawajaonekana kwa kuwa pengine mikoa au Wilaya zao hazikuwa na Camera sana.

Hoja ya Msingi hapa ni kuwa Kiongozi wa awali alishawaambia viongozi wote kuwa "BORA KUFANYA KWA KUKOSEA, KULIKO KUTOFANYA KABISA". Na kwa mahojiano ya Sabaya mwanzoni mwa wiki iliyopita na Clouds Tv kwenye kipindi cha 360 alikire kuwa hata alipokutana na mambo mengi ya kumkatisha tamaa, lakini bwana mkubwa alimwambia 'Go you have my full support'. Sasa kama wakubwa walikuwa wanabariki uchafu na mambo yote tunayosema ni ya hovyo kosa la Sabaya ni lipi?

Mimi ninaona kosa ni la kimfumo. Mfumo ndio uliruhusu kufanya kazi bila kujali chochote hata kama watafanya makosa. Viongozi wengi waliogopa kufuata sheria za Utawala bora kwa kuwa waliona hazileti ufanisi kwenye matokeo bora. Inawezekana Sabaya atabeba msalaba ambao pengine kwa akili yake ya kawaida asingefanya, ila kwa kuwa waliruhusiwa kukosea ndio maana hawakujali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwanaharakati wa Haki za Binadamu. Ni muumini wa Utawala wa Sheria, ni muumini wa haki. Ni Mtanzania halisi anayeamini kuwa binadamu wote ni sawa. Na kwenye utawala wake hataki kuona kuna watu wanalia na wengine wanacheka. Anataka tukiamua kucheka tucheke wote na tukiamua kulia tulie wote kwa kuwa wote ni Watanzania.

Ninachoamini kama ataamua kuwashughulikia wote bila kujali kelele lakini kama atatumia vyombo vyake, ni watu wengi wataondoka Ofisini. Viongozi wengi hawakuzingatia utawala wa sheria bali mdundo wa ngoma.

Pole Lengai Ole Sabaya.

Elius Ndabila
Tusijifiche nyuma ya makosa ya kiufundi,Sabaya anatakiwa kuwa jera,yawe makosa ya kimfumo au la,hakuna shaka kwamba huyu jamaa alitumia madaraka vibaya,
Ma DC waliokuwa wanachapa watu viboko,haiitaji kuwa na shahada ya sheria kugundua kwamba walivunja sheria,Sabaya,Makonda,Ali API,lile fala na kubwa jinga la Mbeya,yote yanastahili kuwa jera.
 
Siku hizi hamna mwenye hofu ya Mungu, mtu yuko radhi kafanya Jambo analojua lipo kinyume kabisa na haki hata mbele ya mwenyezi Mungu ili tu amfurahishe Fulani. Bila kujua yuko Mkuu zaidi ya huyo anayempa jeuri ambaye akiamua chochote kufumba na kufumbua mambo yanabadilika.
Tujitahidi kusimamia haki, Dunia hii tunapita tu & tuache dhulma.
 
Pole mkuu. Kubalini kwamba Sabaya sio DC tena na msiache kusindikiza atakapopelekwa mahakamani
NIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA.

Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya kupisha Uchaguzi juu ya tuhuma zinazomkabili.

Kwanza tujue kuna tuhuma na kuna hatia. Tuhuma zikibainika ndipo inakua hatia, lakini kwa sasa ni tuhuma. Sheria zinatukataza kuzungumzia suala ambalo lipo kwenye uchunguzi kwani maoni yanaweza kuharibu uchunguzi. Lakini baada ya kusoma maoni mbalimbali ya hasa wengi wakimshutumu Sabaya, nimeona nije walau nami kutoa maoni yangu.

Binafsi ukiniuliza bado sioni makosa ya moja kwa moja ya Lengai Ole Sabaya. Labda baada ya tume inayomchunguza ndipo nitajua makosa ya moja kwa moja ya Sabaya. Lakini kwa sasa tuhuma zinazoelekezwa kwake ni TUHUMA ZA KIMFUMO. Nilijaribu kuandika hili kwenye Gazeti la Afrika Leo la mwisho wa mwezi wa nne juu ya Utawala Bora.

Mfumo wa Utawala uliokuwepo awali ndio unaoweza kuwa kichocheo Cha haya ambayo leo tunamuona Sabaya ni mbaya na amefanya makosa. Na Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu tu labda yeye eneo lake la utawala ni eneo la mtu maarufu ambapo jicho la kila MTANZANIA na dunia lilikuwa pale, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao waliongoza vibaya kuliko Sabaya. Hawa hawajaonekana kwa kuwa pengine mikoa au Wilaya zao hazikuwa na Camera sana.

Hoja ya Msingi hapa ni kuwa Kiongozi wa awali alishawaambia viongozi wote kuwa "BORA KUFANYA KWA KUKOSEA, KULIKO KUTOFANYA KABISA". Na kwa mahojiano ya Sabaya mwanzoni mwa wiki iliyopita na Clouds Tv kwenye kipindi cha 360 alikire kuwa hata alipokutana na mambo mengi ya kumkatisha tamaa, lakini bwana mkubwa alimwambia 'Go you have my full support'. Sasa kama wakubwa walikuwa wanabariki uchafu na mambo yote tunayosema ni ya hovyo kosa la Sabaya ni lipi?

Mimi ninaona kosa ni la kimfumo. Mfumo ndio uliruhusu kufanya kazi bila kujali chochote hata kama watafanya makosa. Viongozi wengi waliogopa kufuata sheria za Utawala bora kwa kuwa waliona hazileti ufanisi kwenye matokeo bora. Inawezekana Sabaya atabeba msalaba ambao pengine kwa akili yake ya kawaida asingefanya, ila kwa kuwa waliruhusiwa kukosea ndio maana hawakujali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwanaharakati wa Haki za Binadamu. Ni muumini wa Utawala wa Sheria, ni muumini wa haki. Ni Mtanzania halisi anayeamini kuwa binadamu wote ni sawa. Na kwenye utawala wake hataki kuona kuna watu wanalia na wengine wanacheka. Anataka tukiamua kucheka tucheke wote na tukiamua kulia tulie wote kwa kuwa wote ni Watanzania.

Ninachoamini kama ataamua kuwashughulikia wote bila kujali kelele lakini kama atatumia vyombo vyake, ni watu wengi wataondoka Ofisini. Viongozi wengi hawakuzingatia utawala wa sheria bali mdundo wa ngoma.

Pole Lengai Ole Sabaya.

Elius Ndabila
 
Mbona kuna wakuu wa wilaya kibao na walikua hawafanyi upumbavu kama wa huyo taahira
Taja upumbavu mmoja tu, uliouona ktk utendaji wa Sabaya. Usiniambie yeye siyo mchaga, hapo sitakuelewa maana nalo najua ni tatizo.
 
Sabaya= Saa mbaya, ndiyo maana saa zote hakuwa mtu mwema.

Saa mbaya Wamasai hutamka Sabaya.
 
NIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA.

Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya kupisha Uchaguzi juu ya tuhuma zinazomkabili.

Kwanza tujue kuna tuhuma na kuna hatia. Tuhuma zikibainika ndipo inakua hatia, lakini kwa sasa ni tuhuma. Sheria zinatukataza kuzungumzia suala ambalo lipo kwenye uchunguzi kwani maoni yanaweza kuharibu uchunguzi. Lakini baada ya kusoma maoni mbalimbali ya hasa wengi wakimshutumu Sabaya, nimeona nije walau nami kutoa maoni yangu.

Binafsi ukiniuliza bado sioni makosa ya moja kwa moja ya Lengai Ole Sabaya. Labda baada ya tume inayomchunguza ndipo nitajua makosa ya moja kwa moja ya Sabaya. Lakini kwa sasa tuhuma zinazoelekezwa kwake ni TUHUMA ZA KIMFUMO. Nilijaribu kuandika hili kwenye Gazeti la Afrika Leo la mwisho wa mwezi wa nne juu ya Utawala Bora.

Mfumo wa Utawala uliokuwepo awali ndio unaoweza kuwa kichocheo Cha haya ambayo leo tunamuona Sabaya ni mbaya na amefanya makosa. Na Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu tu labda yeye eneo lake la utawala ni eneo la mtu maarufu ambapo jicho la kila MTANZANIA na dunia lilikuwa pale, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao waliongoza vibaya kuliko Sabaya. Hawa hawajaonekana kwa kuwa pengine mikoa au Wilaya zao hazikuwa na Camera sana.

Hoja ya Msingi hapa ni kuwa Kiongozi wa awali alishawaambia viongozi wote kuwa "BORA KUFANYA KWA KUKOSEA, KULIKO KUTOFANYA KABISA". Na kwa mahojiano ya Sabaya mwanzoni mwa wiki iliyopita na Clouds Tv kwenye kipindi cha 360 alikire kuwa hata alipokutana na mambo mengi ya kumkatisha tamaa, lakini bwana mkubwa alimwambia 'Go you have my full support'. Sasa kama wakubwa walikuwa wanabariki uchafu na mambo yote tunayosema ni ya hovyo kosa la Sabaya ni lipi?

Mimi ninaona kosa ni la kimfumo. Mfumo ndio uliruhusu kufanya kazi bila kujali chochote hata kama watafanya makosa. Viongozi wengi waliogopa kufuata sheria za Utawala bora kwa kuwa waliona hazileti ufanisi kwenye matokeo bora. Inawezekana Sabaya atabeba msalaba ambao pengine kwa akili yake ya kawaida asingefanya, ila kwa kuwa waliruhusiwa kukosea ndio maana hawakujali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwanaharakati wa Haki za Binadamu. Ni muumini wa Utawala wa Sheria, ni muumini wa haki. Ni Mtanzania halisi anayeamini kuwa binadamu wote ni sawa. Na kwenye utawala wake hataki kuona kuna watu wanalia na wengine wanacheka. Anataka tukiamua kucheka tucheke wote na tukiamua kulia tulie wote kwa kuwa wote ni Watanzania.

Ninachoamini kama ataamua kuwashughulikia wote bila kujali kelele lakini kama atatumia vyombo vyake, ni watu wengi wataondoka Ofisini. Viongozi wengi hawakuzingatia utawala wa sheria bali mdundo wa ngoma.

Pole Lengai Ole Sabaya.

Elius Ndabila
Good analysis. Thank you
 
Hata mama pia alikuwa kwenye mfumo huo huo. Alimuonea nani? Kuna mtu leo hii anaweza kusimama na kusema....makamo wa Rais JPM alinifanyia ubaya fulani? Well unaweza kusema hakuwa mtendaji kwa cheo chake....lakini ni suala la hulka ya mtu tu. Angekuwa muonezi ungemsikia tu, akikanyaga watu ili kupata sifa kwa bosi wake!

Tizama mkuu wa mkoa kama Mh Mtaka.....alifanya kazi na bado anaendelea kufanya kwa weledi na mafanikio sana. Huwezi kusikia "amekanyaga" wananchi hovyo....but then tizama Makonda!
 
Kwahiyo tukisema Sebaya alikuwa "Punda" hakuna kosa???!!😲
Yeremia 17.5 Bwana asema hivi, amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu , amfanyaye mwanadamu kinga yake na moyo wake umemwacha Bwana, maana atakuwa kama fukara nyikani, hataona yatakapotokea mema, bali atakaa jagwani palipo ukame. Alimwacha Bwana akamtegemeaMagufuli sasa amekufa hana wa kumlinda kwa madhambi na maovu aliyowatendea watu.
 
NIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA.

Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya kupisha Uchaguzi juu ya tuhuma zinazomkabili.

Kwanza tujue kuna tuhuma na kuna hatia. Tuhuma zikibainika ndipo inakua hatia, lakini kwa sasa ni tuhuma. Sheria zinatukataza kuzungumzia suala ambalo lipo kwenye uchunguzi kwani maoni yanaweza kuharibu uchunguzi. Lakini baada ya kusoma maoni mbalimbali ya hasa wengi wakimshutumu Sabaya, nimeona nije walau nami kutoa maoni yangu.

Binafsi ukiniuliza bado sioni makosa ya moja kwa moja ya Lengai Ole Sabaya. Labda baada ya tume inayomchunguza ndipo nitajua makosa ya moja kwa moja ya Sabaya. Lakini kwa sasa tuhuma zinazoelekezwa kwake ni TUHUMA ZA KIMFUMO. Nilijaribu kuandika hili kwenye Gazeti la Afrika Leo la mwisho wa mwezi wa nne juu ya Utawala Bora.

Mfumo wa Utawala uliokuwepo awali ndio unaoweza kuwa kichocheo Cha haya ambayo leo tunamuona Sabaya ni mbaya na amefanya makosa. Na Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu tu labda yeye eneo lake la utawala ni eneo la mtu maarufu ambapo jicho la kila MTANZANIA na dunia lilikuwa pale, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao waliongoza vibaya kuliko Sabaya. Hawa hawajaonekana kwa kuwa pengine mikoa au Wilaya zao hazikuwa na Camera sana.

Hoja ya Msingi hapa ni kuwa Kiongozi wa awali alishawaambia viongozi wote kuwa "BORA KUFANYA KWA KUKOSEA, KULIKO KUTOFANYA KABISA". Na kwa mahojiano ya Sabaya mwanzoni mwa wiki iliyopita na Clouds Tv kwenye kipindi cha 360 alikire kuwa hata alipokutana na mambo mengi ya kumkatisha tamaa, lakini bwana mkubwa alimwambia 'Go you have my full support'. Sasa kama wakubwa walikuwa wanabariki uchafu na mambo yote tunayosema ni ya hovyo kosa la Sabaya ni lipi?

Mimi ninaona kosa ni la kimfumo. Mfumo ndio uliruhusu kufanya kazi bila kujali chochote hata kama watafanya makosa. Viongozi wengi waliogopa kufuata sheria za Utawala bora kwa kuwa waliona hazileti ufanisi kwenye matokeo bora. Inawezekana Sabaya atabeba msalaba ambao pengine kwa akili yake ya kawaida asingefanya, ila kwa kuwa waliruhusiwa kukosea ndio maana hawakujali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwanaharakati wa Haki za Binadamu. Ni muumini wa Utawala wa Sheria, ni muumini wa haki. Ni Mtanzania halisi anayeamini kuwa binadamu wote ni sawa. Na kwenye utawala wake hataki kuona kuna watu wanalia na wengine wanacheka. Anataka tukiamua kucheka tucheke wote na tukiamua kulia tulie wote kwa kuwa wote ni Watanzania.

Ninachoamini kama ataamua kuwashughulikia wote bila kujali kelele lakini kama atatumia vyombo vyake, ni watu wengi wataondoka Ofisini. Viongozi wengi hawakuzingatia utawala wa sheria bali mdundo wa ngoma.

Pole Lengai Ole Sabaya.

Elius Ndabila
You are right. The entire system was abnormal.
 
Yeremia 17.5 Bwana asema hivi, amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu , amfanyaye mwanadamu kinga yake na moyo wake umemwacha Bwana, maana atakuwa kama fukara nyikani, hataona yatakapotokea mema, bali atakaa jagwani palipo ukame. Alimwacha Bwana akamtegemeaMagufuli sasa amekufa hana wa kumlinda kwa madhambi na maovu aliyowatendea watu.

Lakini huyo ni Punda, punda anayo excuse.🤣 the Biblical verse has nothing to do with an animal.
 
Wakuu wa mikoa na wilaya wana faida gsni nchi hii ?
Rubbish
 
Mwl Nyerere aliwahi kusema mtu mwenye akili akikushauri jambo lakijinga na wewe ukalifanya anakudharau" Hivyo mwenda zake asiusishwe na ujinga wa watu kila mtu avune alicho panda hata yeye huwenda amevuna alichopanda. Mungu hadhihakiwi chochote apandacho mtu atavuna. Ukipanda chuki utavuna chuki. Ukipanda upendo utavuna upendo ukipanda mauwaji basi juwa na wewe uta anguka kwa mtindo unafanana na ulio wauwa. Chuki haijawai jenga taifa ila chuki uwangamiza Taifa seeikali ilio pita walipanda chuki na visasi leo kila mtu anaona hali halisi. Kumbe ukipewa nafasi usijisahau maana Mungu anajibu haraka sana kuliko tunavyo dhani. Mwinyi anakula nchi kwa kuwa alikuwa na upendo na huruma na kwa bahati mbaya sana mambo mengi anasemewa hakufanya yeye ila wakaribu yake. End
Ndio, hata damu ya Ben Saa8, italipwa kwa waliomuua na hata walio shangilia watavuna!
 
NIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA.

Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya kupisha Uchaguzi juu ya tuhuma zinazomkabili.

Kwanza tujue kuna tuhuma na kuna hatia. Tuhuma zikibainika ndipo inakua hatia, lakini kwa sasa ni tuhuma. Sheria zinatukataza kuzungumzia suala ambalo lipo kwenye uchunguzi kwani maoni yanaweza kuharibu uchunguzi. Lakini baada ya kusoma maoni mbalimbali ya hasa wengi wakimshutumu Sabaya, nimeona nije walau nami kutoa maoni yangu.

Binafsi ukiniuliza bado sioni makosa ya moja kwa moja ya Lengai Ole Sabaya. Labda baada ya tume inayomchunguza ndipo nitajua makosa ya moja kwa moja ya Sabaya. Lakini kwa sasa tuhuma zinazoelekezwa kwake ni TUHUMA ZA KIMFUMO. Nilijaribu kuandika hili kwenye Gazeti la Afrika Leo la mwisho wa mwezi wa nne juu ya Utawala Bora.

Mfumo wa Utawala uliokuwepo awali ndio unaoweza kuwa kichocheo Cha haya ambayo leo tunamuona Sabaya ni mbaya na amefanya makosa. Na Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu tu labda yeye eneo lake la utawala ni eneo la mtu maarufu ambapo jicho la kila MTANZANIA na dunia lilikuwa pale, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao waliongoza vibaya kuliko Sabaya. Hawa hawajaonekana kwa kuwa pengine mikoa au Wilaya zao hazikuwa na Camera sana.

Hoja ya Msingi hapa ni kuwa Kiongozi wa awali alishawaambia viongozi wote kuwa "BORA KUFANYA KWA KUKOSEA, KULIKO KUTOFANYA KABISA". Na kwa mahojiano ya Sabaya mwanzoni mwa wiki iliyopita na Clouds Tv kwenye kipindi cha 360 alikire kuwa hata alipokutana na mambo mengi ya kumkatisha tamaa, lakini bwana mkubwa alimwambia 'Go you have my full support'. Sasa kama wakubwa walikuwa wanabariki uchafu na mambo yote tunayosema ni ya hovyo kosa la Sabaya ni lipi?

Mimi ninaona kosa ni la kimfumo. Mfumo ndio uliruhusu kufanya kazi bila kujali chochote hata kama watafanya makosa. Viongozi wengi waliogopa kufuata sheria za Utawala bora kwa kuwa waliona hazileti ufanisi kwenye matokeo bora. Inawezekana Sabaya atabeba msalaba ambao pengine kwa akili yake ya kawaida asingefanya, ila kwa kuwa waliruhusiwa kukosea ndio maana hawakujali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwanaharakati wa Haki za Binadamu. Ni muumini wa Utawala wa Sheria, ni muumini wa haki. Ni Mtanzania halisi anayeamini kuwa binadamu wote ni sawa. Na kwenye utawala wake hataki kuona kuna watu wanalia na wengine wanacheka. Anataka tukiamua kucheka tucheke wote na tukiamua kulia tulie wote kwa kuwa wote ni Watanzania.

Ninachoamini kama ataamua kuwashughulikia wote bila kujali kelele lakini kama atatumia vyombo vyake, ni watu wengi wataondoka Ofisini. Viongozi wengi hawakuzingatia utawala wa sheria bali mdundo wa ngoma.

Pole Lengai Ole Sabaya.

Elius Ndabila

Kosa la kimfumo.!!? Hata kuua na kuharibu mali za watu? Kutumia Magari yenye namba bandia za UN kwenda kufanya uhalifu??

Basi atakuwa hana akili kama alikuwa anafanya kila analoambiwa na hayati Rais Magufuli akisindikizwa na kauli ya "...you have my full support.."

Sasa huyu "you have my support" is NO MORE, IS DEAD. Nani atamlinda na kum - support tena kwenye uhalifu wake? MUNGU wake kafa, hayupo...!!

Wahenga wanasema hivi, "..za kuambiwa changanya na zako..."

Sasa huyu Sabaya hata kutumia akili kidogo tu kujua anayemwambia "you have my full support" yeye ana kinga ya kutoshitakiwa kwa kosa lolote, akawa hata hajui...

Mwambie hivi alipaswa kuelewa kuwa "za kuambiwa" ilikuwa ni lazima "achanganye na za kwake"..

Sasa huyo nduguyo atafungwa jela. Ni swala la wakati tu hilo na ndipo atakapojua kumbe wakati mwingine tutumie akili kuishi na kutenda tukiwa ndani ya mfumo...!
 
Back
Top Bottom