Hoja yangu kuhusu Lengai Ole Sabaya aliyekuwa DC wa Hai

Alafu huyu ni mshabiki wa mwanakwendazake, mpigania legacy na msukumagang, wanaosema wanapinga ufisadi!! Hajui kwamba jumla ya tabia zoooooteeee za SaaBovu, ni UFISADI!
 
Rais aione kwenye jalada
 
ANGALIZO:Sabaya anaweza kuwa na mapungufu yake ..moja nilijualo ni kupiga gambe na watoto wazuri jijini Arusha pale Uzunguni City Park.
hata hivyo hakuna tuhuma yoyote ya maana iliyowasilishwa mitandaoni kutoka kwa mwananchi mnyonge kutoka HAI zikimshitumu kuhusu kukandamiza haki.
Tuhuma zilizoenea mitandaoni ni zile za wafanyabiashara wakwepa kodi waliowahi kiminywa haswa wafadhili wa chadema HAI.
 
Binafsi sabaya kweli alipitiliza kwa baadhi ya mambo. Lakini haiondoi ukweli kua pia alidhibiti magendo na madili mengi pia
Lakini pia shida alokua nayo kujimwabafy. So nikituzama strength na weakness zake nachelea kusema...
 
Hata yeye hakua anadili na hao unaodai cjui wanyonge, hao wanyonge wana nn zaid ya njaa tu? BTW pambana kusafisha mpaka ang'ae
 
Kwa kuwa sisi wadada wa club hatuna pa kulalamika na hata tukilalama mnatuona tunajitakia but...
Hilo jamaa kazi kuzurura Arusha na kutaka wanawake wa bure...kwa Sasa natembea na chupa ya mkojo tena unazidi kuoza kuoza lazma nimwagie...hana tena wakumlinda na hela yangu atatoa
 
[emoji38][emoji38]
 
Pole mkuu..Unamdai hela ya nn??
 
[emoji28][emoji28]bado una hasira nae
 
Umetumwa wewe wale waliopigwa misumari ni matajiri

Hao wachunguzi wakiwaita Watu wa Hai wenye malalamiko juu ya Sabaya watu wengi watajitokeza!! Hapo wilaya ya Hai inatakiwa kusafisha wote toka DED,DAS pamoja na Afisa Ardhi ambae ndio alikuwa mshirika Mkuu wa Sabaya. Sabaya alikuwa na syndicate yake hapo!
 
Hv unasikia au umefanya tafiti hv unajua ni wangapi wamekufa kipind uchaguz kisa huyu mtu sio matajir wala masikin jamaa hafaaaiiiii mimi mkaz wa hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…