DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Elimu haitakiwi kuchezea kama wanavyoichezea wanavyotaka hawa ma0,
kwa kila anayekuja kuleta yake ili akajisifu alifanya kitu ktk sehemu aliyokuwa,
Mungai alitoa masomo ya biashara
M.Sitta aliunganisha Physics na Chemistry
Mulugo na wenzie wakatuletea Div 5
sijui atayekuja atatuletea nini?
Inawezekana akasema hakuna kufeli mtu unaanza chekechea mpk chuokikuu,
unajua alichokisema mama Joyce Ndalichako wakati anakaribia kuachia ngazi?
Alisema fika elimu inachanganywa na siasa na hayupo tayari kwahilo,tutaendelea kuburuzwa international kwa mifumo hii mibovu