HOJA YANGU: Mfumo ulio tumika kwa matokeo mwaka huu CSEE ni mfumo BORA KABISA{BEST EVER}

Elimu haitakiwi kuchezea kama wanavyoichezea wanavyotaka hawa ma0,
kwa kila anayekuja kuleta yake ili akajisifu alifanya kitu ktk sehemu aliyokuwa,
Mungai alitoa masomo ya biashara
M.Sitta aliunganisha Physics na Chemistry
Mulugo na wenzie wakatuletea Div 5
sijui atayekuja atatuletea nini?
Inawezekana akasema hakuna kufeli mtu unaanza chekechea mpk chuokikuu,
unajua alichokisema mama Joyce Ndalichako wakati anakaribia kuachia ngazi?
Alisema fika elimu inachanganywa na siasa na hayupo tayari kwahilo,tutaendelea kuburuzwa international kwa mifumo hii mibovu
 
mi kwa upeo wangu naona kama mtaani watajaa wazururaji wenye vyeti ambavyo haviwasaidii kwenda chuo wala sekondari...mana unaweza ukakuta mtu ana D 2 na E zote na mwingine ana C moja na E zote,wote hawa watapewa vyeti lakin hawatakua na sifa za kuapply vyuo wala kuendelea form 5 .matokeo yake wataishia mitaani na vyeti vyao...hyo alam E sijaipenda mana imewanyima watu fursa ya kupata D ambayo labda ingemwezesha kwenda hata chuo cha ualim
 
Kweli kabisa,unakumbuka hata kwa mfumo wa zamani,bila four ya 28 kushuka,ilikuwa kama zero tu...
hyo alam E sijaipenda mana imewanyima watu fursa ya kupata D ambayo labda ingemwezesha kwenda hata chuo cha ualim

Na ndipo hapa D imekuwa na thamani kubwa sasa!
Zamani mtu akipata D flat za 21% anakuwa na four pts 28,anaenda ualimu au unesi.
Lakn kimsing 20 ni fail aisee!
 

sikatai kama 20 ni fail...mim naongelea wale wenye E ya 21-30 ...uyu mwanafunz kwa kutumia mfumo wa zaman angeweza kupiga hatua..lakn kwasasa ataishia kua mpiga debe au house gal
 
Necta ilichofanaya ni kuweka wepesi wa kupata alam A,B lakin imeweka ugumu wa kupata alama D...yan mwenye nacho ameongezewa na asiyenacho ndo amezidi kunyonywa...haya madaraja yana upendeleo
 
sikatai kama 20 ni fail...mim naongelea wale wenye E ya 21-30 ...uyu mwanafunz kwa kutumia mfumo wa zaman angeweza kupiga hatua..
Mkuu kateleya,ulikuwa unaona sawa mtu kupata 29%,halafu huyu ndio anakwenda kuwa mwalimu ati?
 
Last edited by a moderator:
Necta ilichofanaya ni kuweka wepesi wa kupata alam A,B
Hili lingekuwa kweli,tungeshuhudia ongezeko kubwa la div one,kitu ambacho hakijatokea!
Kimsingi B ya zamani imegeuzwa jina na kuitwa B+[60-74%],na A imepunguzwa kwa 5%,mtu mwenye uwezo wa kupata 75% hashndwi kupata 80%,na ndio maana hakuna any significant increase ya div one pts 7-9.
lakin imeweka ugumu wa kupata alama D...yan mwenye nacho ameongezewa na asiyenacho ndo amezidi kunyonywa...haya madaraja yana upendeleo

Mh,D ilikuwa ndogo mno,kwa mtazamo wangu.
 
Mkuu kateleya,ulikuwa unaona sawa mtu kupata 29%,halafu huyu ndio anakwenda kuwa mwalimu ati?

sasa nyinyi kama mnajua kua mwl mwenye ufaulu wa 29% hana uwezo wa kufundisha kwanin mulimpa mamlaka ya kuwa mwl??kwa akili zenu mlitegemea atazalisha A na B na C?kama kweli mnataka kupandisha ufaulu,mnachotakiwa ni kuboresha miundo mbinu ikiwemo walim na mazingira ya kufundishia sio kupandisha madaraja wakati walim ni wabovu,
 
Last edited by a moderator:
kama mnaamn mtu mwenye 75 hashindw kupata 80 ,bas na mwenye E ya 25 apewe D mana naye hashindw kupata 30...msiwafikirie upande 1 t
 

You have a very strong point buddy...! I conquer with you.
 
Tatizo la viongozi wa elimu wanajua ukweli kuwa CA zinapikwa lakini ka sababu zao binafsi wamesaini mikataba ya BRN kuwa ufaulu utafika 60% kwa hiyo wanatumia kila mbinu kufanikisha hilo hata kwa kutumia mbinu za kuua elimu yetu. Ukeli ni kuwa CA hazina uhalisia hata kidogo
 
Kiukwel hii imesaidia sana kwan hapo awali mtu alikuwa akipata 21 ya Math anaandkiwa Pass lakin sasa ni E unaandkiwa Fail nahc vjana wataongeza kas haswa ktk somo la math ili wapate D.mpya yan 30 na kupunguza vilaza wa math kimtindo kwan huwez kupata Math E wakakwandikia dvsion two cz umefail hesabu
 
Pia naomba kueleweshwa iv mwanafunz aliyepata B ya Geo. B ya Bios. Na D ya chem komb ya CBG inamkubali kwel mchango tafadhar wadau
 
Kudekeza watoto waache kusoma kwa bidii wakeshe ktk mitandao ya kijamii Tablets wameshapewa kila mwanafunzi?
 
Hizi ni siasa tu, watalinganishaje ufaulu wa miaka iliyopita na wa sasa na wakati mifumo iliyotumika kupanga matokeo haifanani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…