Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Askofu Gwajima alitoa hoja nzito na anaendelea kutoa hoja nzito.
Akina Kigwangala na wenzake wanakuja na hoja nyepesi. Wengine wanakuja na hoja za kitoto eti Gwajima afukuzwe oh! Auliwe. Ni upuuzi.
1. Hoja ya kwanza kwanini chanjo zingine hazina fomu ya kujaza. Lakini chanjo ya korona unajaza fomu!?
2. Serikali ilisema ni hiari, kwanini sasa wanalazimisha watu kuchanja!?
3. Ni effects zipi za muda mfupi na muda mrefu zitakazotokea baada ya kuchanjwa!?
4. Hizi chanjo hazizuii korona mpaka uchanje mara kibao.
MIMI NITASIMAMA NA GWAJIMA.