Nitakubali kuchanjwa,Ikiwa Ntahakikishiwa majawabu yafuatayo kama ni Sahihi au Laa
/// Namuunga Mkono Gwajima kama ntapingwa na Maswali Haya
1.qn, Nikipata chanjo ntaacha kuvaa Barakoa!???
Jibu: Hapana
2.qn, Nikipata chanjo,Shule Mikusanyiko,Biashara,Kukaa mbali mbali, na vinginevyo vitarudi kawa ilivyo kuwa awali!????
Jibu, HAPANA
3,qn,Nikipata Chanjo ya Corona,Sinto Weza kupata teena Corona!????
Jibu. HAPANA
4. qn,Nikipata Chanjo,Sinto weza kuambukiza Ugonjwa kwa Wengine!?
Jibu, HAPANA
5.Nikipata Chanjo ntakaaa Muda Gani!????
Jibu, HAKUNA ANAYE FAHAMU
6.Qn,Nikipata Chanjo ninaweza linda Wengine!???
Jibu. HAPANA
7.,qn,Je nikipata Chanjo na ikaniletea madhara mpaka kunipotezea Maisha ,Serikali au taasisi iliyo tengeneza Chanjo hiyo Itahusika moja kwa moja kulipa familia au ndugu zangu nilio waacha,!????
Jibu, HAPANA
Hayo ni baadhi ya Maswali tuuu ambayo majibu yake yanaleta ukakasi juu ya kukubali chanjo hiyoo,
Chanjo nyiingi zipo kwenye majaribio na hakuna yenye ufanisi wa 100%
Hivyo ikiwa Serikali itapinga juu ya majibu tajwa hapo juu,ntaunga mkono kuchanjwa...Vinginevyo,.. Naungana na Askofu Gwajima kupinga kuchanjwa ie kutumia hiari ya kuto kuchanjwa