Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Basi usirudie tena kuongelea vitu usivyovijua! Utawaingiza watu chakaš„±!Hivi unapozungumzia ,DNA, RNA , au lugha nyingine vina saba twapenda sema hivi, wewe binafsi unaelewa nini,?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi usirudie tena kuongelea vitu usivyovijua! Utawaingiza watu chakaš„±!Hivi unapozungumzia ,DNA, RNA , au lugha nyingine vina saba twapenda sema hivi, wewe binafsi unaelewa nini,?
hilo ni jibu rahisi sana kwa hoja ngumu mazeee niko vizuri usikurupuke...mkadhani wote hum ni vilazaUnaandika usichokijua! Sometimes tujifunze kufreezeš¤«!
Hata wendawazimu na wapumbafu huwa wanajiona hivyo wanapojifanyia self-evaluationš„±!hilo ni jibu rahisi sana kwa hoja ngumu mazeee niko vizuri usikurupuke...mkadhani wote hum ni vilaza
Wacha majungu kijana, jikite kwenye hoja!Nasikia kuna watu wamekula pesa ndefu. Mkuu wa usalama, alikuwa anajenga Nyumba Mbweni kaiangusha(Kaibomoa) Kaambiwa hiyo nyuma siyo hadhi yake.
Kapiga pesa ndefu sasa hivi anajenga nyingine.
Hivi ww ni mpumbafu kwelikweli au unajifanyisha!?
Aliyekuambia tunayaamini hayo machapisho ya ku'promote experimental vaccine ni nani?
Kama hayo waliyaandika yangukuwa na ukweli kungekuwa na maambukizi mapya ya covid-19 kwa waliochanjwa?
Bado unatakaš¤£šš¤£š!
Ukishawekewa oksijeni ndio utaendelea vizuri kusimama na Gwajima hadi kiama.Askofu Gwajima alitoa hoja nzito na anaendelea kutoa hoja nzito.
Akina Kigwangala na wenzake wanakuja na hoja nyepesi. Wengine wanakuja na hoja za kitoto eti Gwajima afukuzwe oh! Auliwe. Ni upuuzi.
1. Hoja ya kwanza kwanini chanjo zingine hazina fomu ya kujaza. Lakini chanjo ya korona unajaza fomu!?
2. Serikali ilisema ni hiari, kwanini sasa wanalazimisha watu kuchanja!?
3. Ni effects zipi za muda mfupi na muda mrefu zitakazotokea baada ya kuchanjwa!?
4. Hizi chanjo hazizuii korona mpaka uchanje mara kibao.
MIMI NITASIMAMA NA GWAJIMA.
Inaonekana hii chanjo Unaijua vizuri,embu uielezeee kidogo kwa kitaalamSawa, mimi sijui kitu. Kwanza nimeishia la saba.
Haya, utueleze weye basi mjuvi wa molecular biology.
Huna lolote wewe mjinga tu na hiyo molecular biology yako.
Wenye akili timamu wameshatengeneza machanjo yenye electromagnetic field wanataka kuitawala na kuiteka dunia, WEWE UKO BIZE UNAKARIRI MISAMIATI YA MOLECULAR BIOLOGY!
STUPID PARASITE!!
Kama hujui na huelewi utajiona umetekwa. Tunaoifahamu lugha hiyo hatuna shida, tunaelewa...Hapo kwenye frequency ndipo anapo wateka akili za mazezeta.
Theology haisomewi chuo chochote hapa duniani. Hiyo unayoi - praise ni ya kutafutia vyeo vya kidini. Lakini pure and valuable theology utaipata kwa kusikia, kulitii na kulitenda NENO LA MUNGU na kuongozwa na Roho Mtakatifu...Gwajima awe na frquency kwa theology gani aliyosoma na kwa chuo gani cha theology?
Unajua utaratibu wa kanisa lake? Mbona kama umekariri? Utaratibu wa kanisa/dhehebu lako la kumpata Askofu siyo lazima utumiwe na kanisa/dhehebu jingine. Muhimu ni kibali toka kwa Mungu na watu. Anacho kibali hicho...!!Mtu aliyejitngaza mwenyewe kuwa askofu na kujifanyia mwenyewe mambontofuti na makasisi unasema !!!! Frequently
Nisome ktk hoja ya hapo juu na jinsi ya kumpata Askofu wa dhehebu/kanisa fulani.Maaskofu walio undergo hutua zote za kusimikwa uaskofu baada y kusoma vyuo vyenye ithibati na mitaala ya makasisi akina shoo, mwalasua, rwaichi wamekubali chanjo halafu unaniambia habari ya frquency za gambosh zinazodanganya watu zinafufua watu na misukule wakati hajawahi kufufua hata Panya?
Mmh..! Isije ikawa wewe ndiye unayemchezea na ameamua kukustahi na kukuvumilia akiiachia neema ya kufikiri iwepo kwa kuwa, may be sooner or later you may be able to come into your sense and ask for his mercy and grace...Huyu Mungu amekaa kimya watu wanamchezea saana
Ndio utoe elimu hiyoHoja za kiswahili hizo anasoma kwenye viblog vya udaku.
Anatakiwa kwanza asome vizuri molecular biology aijue vizuri DNA na RNA jinsi zinavyoreplicate
Anatakiwa ajifunze vizuri amuelewe VIRUS na tabia zake na hinsi anavyoweza kutumia mwili wa host kuzsliana huku akulipua seli za host
Anatakiwa ajue chanjo zinazotengenezwa na MESSENGER RNA zinafanyaje kazi. Sio kila kitu kujifanya anajua wakati hajui na hawezi kujua tatizo kapata waumini mazezeta wanashangilia tu maujinga anayoongea
Wasiotaka kuchanjwa wakae kimya kwa sababu chanjo ni hiari siyo lazima hivyo wasitafute wafuasi wa kuwa nao ktk kukataa kuchanjaMzee summarize. Ongea kwa bullet points. You are using too much energy
Hivi Mbweni ni DarššššNasikia kuna watu wamekula pesa ndefu. Mkuu wa usalama, alikuwa anajenga Nyumba Mbweni kaiangusha(Kaibomoa) Kaambiwa hiyo nyuma siyo hadhi yake.
Kapiga pesa ndefu sasa hivi anajenga nyingine.
Anasoma conspiracy theory anapeleka jukwaani sio chanjo zote zinatengenezwa na mRNA ni moderna na Pfizer, Ila Johnson & Johnson, astrazaneca wametumia adenovirus, Ila ameziweka zote kwenye one basket na hii ni kiashiria hajui haya mambo hata kwa uelewa wa kawaidaHoja za kiswahili hizo anasoma kwenye viblog vya udaku.
Anatakiwa kwanza asome vizuri molecular biology aijue vizuri DNA na RNA jinsi zinavyoreplicate
Anatakiwa ajifunze vizuri amuelewe VIRUS na tabia zake na hinsi anavyoweza kutumia mwili wa host kuzsliana huku akulipua seli za host
Anatakiwa ajue chanjo zinazotengenezwa na MESSENGER RNA zinafanyaje kazi. Sio kila kitu kujifanya anajua wakati hajui na hawezi kujua tatizo kapata waumini mazezeta wanashangilia tu maujinga anayoongea
Zinajibiwa hiviView attachment 1878303
chanjo ni lazima siyo hiari.asiyetaka chanjo atafute kisiwa chake pekee hatutaki kuambukizwa tena sisiWasiotaka kuchanjwa wakae kimya kwa sababu chanjo ni hiari siyo lazima hivyo wasitafute wafuasi wa kuwa nao ktk kukataa kuchanja
pia siyo vema sana kupinga na kukosoa mamlaka ya utawala wa juu ktk nchi na dunia kwa hii habari ya chanjo kwa sababu ya tamaa za uongozi ama kujitangaza kujulikana.
Hahaha Dalali la chanjo umebahachanjo ni lazima siyo hiari.asiyetaka chanjo atafute kisiwa chake pekee hatutaki kuambukizwa tena sisi
Hapna Mkuu!! Africa tena misomi Mizembe sana hata kufikiria simple tu!!Hahaha Dalali la chanjo umebaha