Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Askofu Gwajima alitoa hoja nzito na anaendelea kutoa hoja nzito.
Akina Kigwangala na wenzake wanakuja na hoja nyepesi. Wengine wanakuja na hoja za kitoto eti Gwajima afukuzwe oh! Auliwe. Ni upuuzi.
1. Hoja ya kwanza kwanini chanjo zingine hazina fomu ya kujaza. Lakini chanjo ya korona unajaza fomu!?
2. Serikali ilisema ni hiari, kwanini sasa wanalazimisha watu kuchanja!?
3. Ni effects zipi za muda mfupi na muda mrefu zitakazotokea baada ya kuchanjwa!?
4. Hizi chanjo hazizuii korona mpaka uchanje mara kibao.
MIMI NITASIMAMA NA GWAJIMA.
Hata Mimi nipo upande wa Gwajima.Mimi ninasimama na Gwajima now, Sio Nita....
Anatakiwa kwanza asome vizuri molecular biology
Hawa madaktari uchwara wa bongo unawaonea. Hawajui lolote kuhusu clinical trials za chanjo.Hoja zinajibiwa kwa hoja.
Hapa tunataka kujua Effects za muda mrefu kuhusu hizo chanjo. Vilevile hiyo mRNA inatengeneza genes zipi mwilini!?
Wewe na hako ka classification chako cha form one utaendelea kudanganywa na akina gwajima ambao hawafahamiki wanesomea nini na wapi na hata uo uaskofu anaojitangazia haujulikani kapewa na nani na kwa process gani. Heshimu taaluma za watuHaya tueleze wewe basi mtaalamu wa hiyo sijui molecular biology!!
Shida ya madaktari uchwara wa bongo ni kujitia ujuaji mwiiiingii.... kukariri kariri tu hovyooo... oohhh molecular biology, ascomycetes thrombosis....
TENGENEZA CHANJO, acha uhuni.
Hayo mamisamiati hata mimi naweza kukariri. THROMBOCYTES SALMONELLA sijui nini.... blah blah...
We need results, sio hayo matakataka ya misamiati ya kigiriki.
Nasikia kuna watu wamekula pesa ndefu. Mkuu wa usalama, alikuwa anajenga Nyumba Mbweni kaiangusha(Kaibomoa) Kaambiwa hiyo nyuma siyo hadhi yake.Hawa madaktari uchwara wa bongo unawaonea. Hawajui lolote kuhusu clinical trials za chanjo.
Hakuna chanjo yoyote waliyowahi kuitengeneza, kwahiyo hawana ufahamu wowote kuhusiana na majaribio ya chanjo au dawa yoyote.
Wao huwa wanasubiri waone wazungu wamesemaje au wamefanya nini kisha na wao wanakuja mbio mbio kutudunga michanjo.
Yaani hawa ni bureee kabisa.... serikali inatakiwa kuwafutia mishahara. THEY ARE USELESS PARASITES.
Sawa, mimi sijui kitu. Kwanza nimeishia la saba.Wewe na hako ka classification chako cha form one utaendelea kudanganywa na akina gwajima ambao hawafahamiki wanesomea nini na wapi na hata uo uaskofu anaojitangazia haujulikani kapewa na nani na kwa process gani. Heshimu taaluma za watu
Taaluma ipi mmeshindwa kutueleza effects za hiyo J&J. Mnatupigia kelele tu.Wewe na hako ka classification chako cha form one utaendelea kudanganywa na akina gwajima ambao hawafahamiki wanesomea nini na wapi na hata uo uaskofu anaojitangazia haujulikani kapewa na nani na kwa process gani. Heshimu taaluma za watu
Wanafaidika sana hawa wahuni na huu uharamia unaoendelea.Nasikia kuna watu wamekula pesa ndefu. Mkuu wa usalama, alikuwa anajenga Nyumba Mbweni kaiangusha(Kaibomoa) Kaambiwa hiyo nyuma siyo hadhi yake.
Kapiga pesa ndefu sasa hivi anajenga nyingine.
Wanaopinga siyo Gwajima tu, kuna wanasayansi kibao wanapinga na wanatoa hoja zao za kisayansi.Hoja za kiswahili hizo anasoma kwenye viblog vya udaku.
Anatakiwa kwanza asome vizuri molecular biology aijue vizuri DNA na RNA jinsi zinavyoreplicate
Anatakiwa ajifunze vizuri amuelewe VIRUS na tabia zake na hinsi anavyoweza kutumia mwili wa host kuzsliana huku akulipua seli za host
Anatakiwa ajue chanjo zinazotengenezwa na MESSENGER RNA zinafanyaje kazi. Sio kila kitu kujifanya anajua wakati hajui na hawezi kujua tatizo kapata waumini mazezeta wanashangilia tu maujinga anayoongea
Sasa hiviWanafaidika sana hawa wahuni na huu uharamia unaoendelea.
Minyumbu ya sadaka ndiyo itakayoangamia.
Wao hawana habari wanakula BATA
1. Nitajie chanjo gani tumewahi kuchajwa tunajazishwa fomu!?Kuhusu concent form ni utaratibu wa kimataifa wa matibabu. Kabla hujamgusa mgonjwa intakiwa umfahamishe ni kwanini unamgusa.
Unampo mpa dawa mgonjwa ni lazima umfahamishe ni dawa gani unampa na ni kwasababu gani.
Katika tiba inayohusu sindano na upasuaji consent inabeba uzito mkubwa zaidi. Mgonjwa ana paswa kuelezwa faida na hasara na kama ana akili timamu na ameelewa maelezo lakini ameamua kukataa tiba ni haki yake hatakiwi kulazimishwa.
Kuhusu watu kulazimishwa chanjo, hii chanjo ni sehemu ya jitihada ya dunia kupambana na ugonjwa ambao ni mpya na unaua. Tukiwa kama sehemu ya dunia ni lazima tu hamasishe watu wapate kinga na tiba ili kukomesha ugonjwa usienee au kupunguza makali. Hakuna aliyelazimshwa kwani Askofu Rashid ana data za watu wakiowekwa ndani kwa kukataa chanjo?
Weye mwenye mashule ya molecular biology hebu list possible fates za mRNA vaccines inapodungwa kumwili!Hoja za kiswahili hizo anasoma kwenye viblog vya udaku.
Anatakiwa kwanza asome vizuri molecular biology aijue vizuri DNA na RNA jinsi zinavyoreplicate
Anatakiwa ajifunze vizuri amuelewe VIRUS na tabia zake na hinsi anavyoweza kutumia mwili wa host kuzsliana huku akulipua seli za host
Anatakiwa ajue chanjo zinazotengenezwa na MESSENGER RNA zinafanyaje kazi. Sio kila kitu kujifanya anajua wakati hajui na hawezi kujua tatizo kapata waumini mazezeta wanashangilia tu maujinga anayoongea