Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Ana uliza kama chanjo ni ya kweli mbona watu waliochanjwa wanakufa?Mtu anayemsikiliza na kumwamini Gwajima ujue lazima atakuwa msukule wa kanisa lake au muumini wa imani ya yote yaliyosemwa na mwendazake...
Daktari akiwa mzembe atahukumiwa tu, sio kwakua umesign basi daktari anakua hana hatia na baya litakalokupata.ETI Katika hoja wanazotumia wanasema eti chanjo gani ambayo serikali imejitoa kabisa kwamba litakalokupata wao hawawajibiki kwa lolote ?
Watanzania wamesahau kwamba hata ukienda hospitali una haki ya kukataa kutibiwa,una haki ya kukataa sawa,una haki ya kumkataa daktari usiyemtaka asikutibu.
Endapo ukikubali kutibiwa kwa ridhaa yako na katika tiba hiyo ukapata madhara basi hakuna daktari atakayewajibika eti ahukumiwe kwa jambo hilo.
Hata ukienda kufanya upasuaji lazima ukubali kusaini,usaini ukaenda ukafa kwenye upasuaji ujue hakuna utakayemlaumu kwa sababu ulikubali mwemyewe.
Hivyo sio kwenye korona tu hata kwenye tiba zingine wanaohusika na jambo hilo wanajivua endapo ukikubali kufanyiwa jambo hilo litakalo kupata lakwako wewe.
Hivyo serikali ipo sahihi kujitoa lwenye lawama kwa sababu mtu atachoma chanjo akiumwa kichwa tu atataka aiwajibishe serikali kwamba chanjo inamdhuru,katika hili serikali imefanya vyema.
Umeshasema akiwa mzembe yeye na sio dawa,hpja kubwa ni dawa na huduma anayotoa,sidhani kama hukuelewa mantiki ya hoja yangu.Daktari akiwa mzembe atahukumiwa tu
Ndivyo ilivyo,akikutibu sehemu sahihi kwa dawa sahihi kwa mujibu wa muongozo husika litakalotokea yeye hawajibishwi.sio kwakua umesign basi daktari anakua hana hatia na baya litakalokupata.
Sasa kama muongozo unasema kichwa wewe unaenda kwenye mguu manake umekeuka muongozo husika.kwa hapo utasema eti sijui umesaini daktari hana kosa??
Tolea mifano halisi,usitoe mifano ya kutisha ili univutie kwenye hoja yako wakati kimsingi unatoa mifano ambayo haijawahi kutokea hapa nchini kwa chanjo zote ambazo serikali imezithibitisha.Vivyo hivyo kwa serikali vipi kama hiyo chanjo ina madhara na watu wakafa kama kuku,
Toa mifano halisi.itaacha tu kisa wamejitoa
Naam ni sahihi hiyo haina maana kwamba ukichoma chanjo ukapata homa eti ukienda spitali hautibiwi wala kusikilizwa hapana,ukipata complication yoyote ile ukienda hospitali za serikali utasikilizwa na kupatiwa huduma pale inapowezekana.Na wewe unaona ni sahihi kabisa serikali kujitoa kwenye kitu ilicholeta yenyewe,
Serikali inajenga barabara kibao na kuzipigia debe hizi barabara za lami lakini bodaboda kila siku wanakufa utailaumu serikali kwa sababu ndo imejenga ?kujitoa kwenye kitu ilicholeta yenyewe, inakipigia debe, matangazo kibao afu wanajitoa kwenye hatia kwa chochote kitachotokea
Lakini pia serikali inapiga debe utumiaji wa ARV kwa watu wenye HIV,lakini ukiangalia madhara ya ya ARV kwa muda mrefu inapelekea chronic disease hatari sanakujitoa kwenye kitu ilicholeta yenyewe, inakipigia debe, matangazo kibao afu wanajitoa kwenye hatia kwa chochote kitachotokea
Kwa sababu watanzania wengi ni wajinga tunakubali hoja za kitoto ambazo hazina maana.yani ile kitu ya wao kujitoa ndio imetia mashaka wengi sana
Alishindwa kumfufua mama yake atawezaje kumfufua mwajiri? Anafufua misukule yake inayomwabudu kwa mtindo wa Bongo movie...Ana uliza kama chanjo ni ya kweli mbona watu waliochanjwa wanakufa?
Nami namuuliza
Kama kanisa lako ni la ufufuo na uzima kwanini waumini wako wanakufa?
Kwanini hukumfufua mwajiri wako alipokufa?
Akijibu hayo maswali kwa tafsiri yeyote itayoonesha ufufuo wake ni wa kweli, inabidi afungwe sello akanyee makasha kwa kosa la kumuacha mwendazake aende zake ili hali alikua na uwezo wa kum ressurect
Unaposema 100% safe maana yake there is no any side effects whatsoever. 100% is 100% safe.Chanjjo mabayo ni salama 100% inakuwa na sifa gani ?
Jambo gani ambalo limetimia kwa 100% lisilohitaji ridhaa ya mgonjwa hasa katika mambo ya kitiba ?
Unanituhumu kwa kutoa mifano isiyo halisi, sasa wewe huu mfano wa ujenzi wa barabara sijui umekujaje hapa. Chanjo ni tofauti na huo mfano wako wa barabara, sio wote wataitumia kwa matumizi sawa hiyo barabara lakini chanjo nyote mnaochanjwa ni sawa nadhani kwa kila kitu.Serikali inajenga barabara kibao na kuzipigia debe hizi barabara za lami lakini bodaboda kila siku wanakufa utailaumu serikali kwa sababu ndo imejenga ?
Madhara ya chanjo kama barabara tu,kuna watakaosalimika na watakaopata madhara wasimlaumu aliyeweka yeye kazi yake ni kujiridhisha na kuleta.
Daah sio kua watu walikua hawaumwi kabla ya chanjo, hapana na wala sio kua wakichanjwa wataacha kuumwa, pia hapana. Wasiwasi wa sisi wananchi hadi kutoiamini serikali kwenye hili suala ni hiyo misimamo yake inayotia mashaka. Walikua hawazitaki izo chanjo kabisa na kashfa kibao tena mpaka viongozi wa kwenye kada ya afya, leo hii wanaleta chanjo na kusema usign kabisaa kua ukipata side effects wao hawahusiki, chanjo sio upasuaji. We ushawahi kwenda hospitali ukatibiwa na kusain form kama ile?? Kwa mimi sijawahi , we amini tu uaminivyo ndgu yangu kikubwa ni hiari kuchanjwa.Naam ni sahihi hiyo haina maana kwamba ukichoma chanjo ukapata homa eti ukienda spitali hautibiwi wala kusikilizwa hapana,ukipata complication yoyote ile ukienda hospitali za serikali utasikilizwa na kupatiwa huduma pale inapowezekana.
Lakini suala la kusema kwamba eti serikali ndio imekukusudia ikutie maradhi hayo hilo jambo serikali imejitoa kwa sababu haukulazimishwa.
Sitakupinga kama jinsi ARV zilivokuja ndivyo hizi chanjo za corona zilivyokuja. Zimekaa kisiasa mnoo. Serikali nzima inazipigia debe wakati mwaka jana hao wote walikua wakizikandia 😂😂 siasa mpaka kwenye maisha ya watu.Lakini pia serikali inapiga debe utumiaji wa ARV kwa watu wenye HIV,lakini ukiangalia madhara ya ya ARV kwa muda mrefu inapelekea chronic disease hatari sana
Kama vile cancer na hata kufeli kwa figo inaweza kusababisha
Kwa madhara ya ARV kama una afya ya akili huwezi kusema unailaumu serikali kwa kuleta ARV .
Hoja za kikubwa ndio zipi hizo, yaani mtu ajiridhishe chanjo kua 90+% iko sawa, afu aseme ukichanjwa usaini lilikukuta jambo mie simo. Ni akili ya kawaida tu kujua kua haziko sawa kwa asilimia hizo ama lah kuna kundi linaathirika nazo kwa namna moja ama nyingine.Kwa sababu watanzania wengi ni wajinga tunakubali hoja za kitoto ambazo hazina maana.
Kwa hivyo kama ambavyo sisi watz wengi ni wajinga ndio maana hilo limewatia wengi
Chanjo zilizotiliwa shaka zimerekebishwa au ukifa utajua mwenyeweSwali gani mkuu
Waamerica kama wanatoa hoja kama hizi za watanzania basi nao watakuwa wajinga.Watu waliogoma America watakuwa na hoja dhaifu ?
NimekuelewaMkuu hata hizi chanjo zetu tulizopigwa utotoni watu walitilia shaka pia.
Je zimerewkebishwa au watoto wetu wakifa watajijua wenyewe ?
Hii tafsiri ya kwwmba 100% safe maana yake haina any side effects umeitoa wapi ?Unaposema 100% safe maana yake there is no any side effects whatsoever. 100% is 100% safe
Hiyo chanjo ya hepatitis uliyochoma ni wapi serikali imesema itahusika na side effects ambazo utazipata kwa kuchoma chanjo hiyo ?Nimechoma sindano ya Hipatitis B sikujaza Indemnity form. Nimechanjwa chanjo nyingi huko nyuma nikiwa mdogo wazazi wangu hawakujazishwa indemnity form.
Kwani unapojaza consent form katika matibabu mengine ina maana hakuna side effects zinazoweza kutokea katika matibabu hayo ?Leo hii unasema chanjo is safe 100% halafu nijaze indemnity form
Lengo la hiyo fomu ni ridhaa yako.Nimechanjwa chanjo nyingi huko nyuma nikiwa mdogo wazazi wangu hawakujazishwa indemnity form
Huto muamerika anakataa chanjo kwa sababu wazungu ni watu wabaya ?Huko zinakotoka Chanjo America kuna watu wamegoma kupata chanjo ya Corona. Watu waliochanjwa America ni million 168 wakata America Idadi ya watu million 300 .
Watu waliogoma America watakuwa na hoja dhaifu ?
wakati wao Madaktari wanaotengeneza hizo Chanjo wanaishi nao , wanakula nao wanapata taarifa zaidi kuliko hata wewe Mtanzania
Umekuja hapa kwa sababu ni mfano halisi.Unanituhumu kwa kutoa mifano isiyo halisi, sasa wewe huu mfano wa ujenzi wa barabara sijui umekujaje hapa
Hiyo ni mifano hai kwa sababuChanjo ni tofauti na huo mfano wako wa barabara
Kila anayepata ajali barabarani lazima awe anatumia barabara kwa lengo moja tu la kutoka sehemu moja kwenda nyingine ama kwa lugha nyepesi kusafiri.sio wote wataitumia kwa matumizi sawa hiyo barabara lakini chanjo nyote mnaochanjwa ni sawa nadhani kwa kila kitu
Sio kweli.chanjo nyote mnaochanjwa ni sawa nadhani kwa kila kitu
Tatizo sio serikali bali tatizo ni nyie wananchi mumetiwa mashaka.Wasiwasi wa sisi wananchi hadi kutoiamini serikali kwenye hili suala ni hiyo misimamo yake inayotia mashaka
Hii sio hoja ya kukataa chanjo kwa sababu mfano tu wakati wa magufuli watu walikuwa wanasifia sana serikali bila kukosoa.Walikua hawazitaki izo chanjo kabisa na kashfa kibao tena mpaka viongozi wa kwenye kada ya afya,
Nakuuliza tena ni matibabu gani katika afya ambayo serikali ilisema kwamba itahusika na side effects ambazo mgonjwa atazipata baada ya kutibiwa ?leo hii wanaleta chanjo na kusema usign kabisaa kua ukipata side effects wao hawahusiki
Yote ni taratibu za kimatibabu.chanjo sio upasuaji.
Wanaoenda kufanyiwa upasuaji lazima wajaze fomu ya kuhifadhi kumbukumbu ya ridhaa zao kwamba wamekubali wenyewe.We ushawahi kwenda hospitali ukatibiwa na kusain form kama ile??