Sasa ukilaza wao upo wapi???
Nyie mlikuwa mnawaita timu gaid leo gaidi kaitwa ikulu ya magogoni na mkuu wa nchi kilaza nani kati yako wewe na hao chadema??
Ukiwa na watu wengi kama huyu lazima Tanzania itakuwa Banana Republic maana hajitambui hata kuwa hajui! Mkuu wa nchi kaachana na kesi lakini yeye hata hawezi kuelewa kwa nini Rais amefikia huo uamuzi.