Hoja za Mawakili wa Serikali dhidi ya Adamoo


Mahakama ni mahala pa wazi. Tunacho andika hapa ni vyote tulivyovisikia ambavyo tunaamini kila mtu kasikia akiwamo mheshimiwa Jaji.

Tunaamini si zaidi si pungufu labda utuonyeshe wapi tumepwaya.

Hatuna taabu na Jaji wala hatukuwa na taabu na hata yule aliyemwaga manyanga mapema.

Tuna taabu na mfumo. Tungefarijika mno kama tungekuwa kwenye mazingira ya katiba bora zaidi kuliko tuliyomo.

Kilio chetu kuhusu katiba mpya ni halisi.
 
ushahidi wa Adamoo ni maneno ya mfa maji, hayana maana hata kidogo, maneno yake yamejaa uzushi na uongo wa kunuka, yanafaa yapuuuzwe kabisaaaa.

Maneno ya Adamoo yamesikika. Yanathibitishwa kamili na shahidi wa 2 na wa 3 wa utetezi.

Adamoo alivamiwa RAU Moshi akatekwa. Waliomteka walichukua vyote alivyokuwa akapigwa na kuwekewa bastola, madawa ya kulevya na kuchukuliwa kikuku kupelekwa cental polisi Moshi.

Central polisi Moshi alipata kipigo kikali:

Utesaji wa Dola - Agenda kubwa Uchaguzi ujao

Yaliyomo humo yalimsibu Adamoo.

Kingai na Mahita hawajasema walichukua nini kwa Adamoo wala Ling'wenya.

Haiingii akilini kuwa walizunguka na mtuhumiwa Adamoo mitaani ambaye alikuwa mgeni Moshi kumtafuta Lijenje.

Mahita kathibitisha kuwa haijawahi kutumia PGO kwenye ukamataji wake wala haoni umuhimu wake.

Kwamba mbweni polisi ni salama zaidi kuliko central, Mahita kajikanyaga.

Haya ya kabatini si maelekezo ya akina Kingai? Yuko wapi Lijenje? Yuko wapi Luteni Urio?

Kuna mhalifu mzoefu hapa.

Kweli hao si Kingai na Mahita?
 
Je, wahuni ndani ya hii Serikali haramu hawatamtisha Ili kuingilia uhuru wake na kufanya maamuzi watakayo hao Wahuni!?
Ukitaka "utakatifu" ungali hai hapa duniani, hakuna wa kuuzidi huo wa huyu Jaji na kesi hii.

Kapewa fursa ya chee kuonyesha 'utakatifu' wake hata kama yeye siyo mtakatifu.

Ni shetani wa namna gani huyo anayeweza "kushinikiza" na kubadili jambo linaloonekana wazi kiasi hiki mbele za macho ya watu, sio hapa nyumbani tu, hata huko nje kupitia kwa mabalozi.
Hapa hakuna namna, bali ni kuachia tu.

Walisahau kuzuia aibu hii isifike mbele ya macho ya dunia. Sijui ilikuwaje wakajisahau kiasi hiki!
 
Kazi ipo .
 
Adamo ndio kamtaja Mzee Mbowe kumtumia ktk Ugaidi.
ndio maana anapapatua ili maelezo yake yasipokelewe, ila kazidisha uongo hadi unanuka!!
eti anadai hajala siku 10!! hiyo ni dalili ya mtu muongo! na mzushi!
 
Ndiyo maana mwendazake hakutaka kuipeleka hii kesi mahakamani...alijua haitoboi..

Sijui nini kimewapata hawa jamaa kuisukuma mahakamani wakati hata mi wa la saba nishajua mzani umeegemea wap.

Kesi hii imeacha maswali mengi kuliko majibu - Wapi Komandoo Moses? Kwa nini JWTZ haina protocol ya kuwa protect askari wao..?

Ningependa sana kama adhabu hizi zingetolewa na JWTZ yenyewe kama wamekiuka viapo vyao. Comandoo si mtu wa kumtesa hovyo hovyo namna hii.
 
Hii kesi itaibua mengi sana. By now I think wanajuta kwanini mpaka leo bado inaendelea
watajuta walio kuwa wanapanga mipango haramu ya kuchafua Amani ya nchi.
vipo vya kuchezea kama kitambi chako, kidevu n.k lkn kamwe usijaribu kuchezea Amani ya nchi.
Amani ya nchi ni zaidi ya mboni ya jicho.
 
Amani ya nchi hii itaendelea kulindwa na kizazi na vizazi.....kamwe hatotokea wa kuchezea Amani ya nchi na akaachwa tu.
Amani ni ya watanzania wote wapenda amani na tutailinda kwa nguvu zetu zote.
 
Plc mnawafanyia hv wtz mwenzen ili mpate nn? Nadhan tunahitaji katiba mpya tuondokane na ccm
 
Mkuu naomba kuuliza. Kama ikibainika hawakukamatwa kwa mujibu wa sheria na yale maelezo ya polisi sio yao nini kitafuata? Je kesi itafutwa au wataandika maelezo upya??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…