Hoja za Mawakili wa Serikali dhidi ya Adamoo

Hoja za Mawakili wa Serikali dhidi ya Adamoo

Adamo ndio kamtaja Mzee Mbowe kumtumia ktk Ugaidi.
ndio maana anapapatua ili maelezo yake yasipokelewe, ila kazidisha uongo hadi unanuka!!
eti anadai hajala siku 10!! hiyo ni dalili ya mtu muongo! na mzushi!
Wacha bwana! unasema Adamoo anadai hajala siku 10 ?
 
Hata asipoonekana mtafanya nini ?

Asipoonekana tutaendelea kumdai kwa maana wadaiwa sasa tunawajua kwa majina, sura, kazi, vyeo, na ni subordinates wa nani.

La zaidi tunamjua top most bosi wao aliyewatuma na anayewatuma. Tutakula nao wote sahani moja.

Kina Azory, Ben wote tutawapata haijali itachukua muda gani.
 
Asipoonekana tutaendelea kumdai kwa maana wadaiwa sasa tunawajua kwa majina, sura, kazi, vyeo, na ni subordinates wa nani.

La zaidi tunamjua top most bosi wao aliyewatuma na anayemtuma. Tutakula nao wote sahani moja.

Kina Azory, Ben wote tutawapata haijali itachukua muda gani.
Kinachotakiwa kufanywa ni ku deal perpendicularly na Familia nzima ya Mahita + Kingai. The two should be elimin......d
 
Adamo ndio kamtaja Mzee Mbowe kumtumia ktk Ugaidi.
ndio maana anapapatua ili maelezo yake yasipokelewe, ila kazidisha uongo hadi unanuka!!
eti anadai hajala siku 10!! hiyo ni dalili ya mtu muongo! na mzushi!
Kumbe una nondo, wahi kupeleka ukaokoe jahazi, ili yaende kuwemo kwenye 'submission' ya maandishi.
Jitahidi usisahau kwenda kujitambulisha na kupitia mshiko wako kwa Zirro.
 
Mkuu naomba kuuliza. Kama ikibainika hawakukamatwa kwa mujibu wa sheria na yale maelezo ya polisi sio yao nini kitafuata? Je kesi itafutwa au wataandika maelezo upya??

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu tulipo ni mwanzo sana. Kesi ndiyo kwanza inaanza kujengwa. Kuna ushahidi wa kwanza upande wa mashtaka wamechagua wa kuanza nao ambao ni huu unaobishaniwa.

Ukipigwa munda, upande wa mashitaka itabidi watupe karata nyingine.

Kumbuka kuna ushahidi wa Ling'wenya, Khalfani pia bado haujaletwa.

Wanasema wanaushahidi na mashahidi zaidi kama watu 20 wakiwamo tokea makampuni ya simu.

Kusuka au kunyoa itakuwa ni uamuzi wa upande wa mashtaka.

Ila la ukweli, safari bado na bado kunaweza kuwa na pingamizi juu ya mapingamizi na trial within trials za kumwaga.

Mola awasimamie wateswaji wenzetu hawa.
 
Kinachotakiwa kufanywa ni ku deal perpendicularly na Familia nzima ya Mahita + Kingai. The two should be elimin......d

Wasiotutakia mema wanatutaka sana kuuvaa ugaidi.

Vita vyetu ni vya amani.

Hata pale tutakapo nyanyaswa hatutakuwa kama wao.

Utesaji wa Dola - Agenda kubwa Uchaguzi ujao

Viva Mbowe, Adamoo, Ling'wenya, Khalfani, Lijenje na makamanda wote!

Mmetangulia tuko njiani twaja.

Yuko wapi Lijenje?
 
Unfortunately he is under the red soil. He is humus now.

We will all end up as humus. Where's the champ who engineered his death?

IMG_20210821_093125_815.jpg

You think he is the Chief Angel in heaven?
 
Wasiotutakia mema wanatutaka sana kuuvaa ugaidi.

Vita vyetu ni vya amani.

Hata pale tutakapo nyanyaswa hatutakuwa kama wao.

Utesaji wa Dola - Agenda kubwa Uchaguzi ujao

Viva Mbowe, Adamoo, Ling'wenya, Khalfani, Lijenje na makamanda wote!

Mmetangulia tuko njiani twaja.

Yuko wapi Lijenje?
But when they push you to the edge, they leave with no option but to take your arms
 
But when they push you to the edge, they leave with no option but to take your arms

The rules of engagement are very clear.

That testifies by itself in the arrest of Adamoo, Ling'wenya and Mbowe. They did not resist. Kingai and Mahita also testified to that.

Our struggle is peaceful and shall remain so.
 
Nadhani ungesema tu kwamba fikra zako Zinakutuma hivyo kuliko namna ulivyosema

Kuna neno la mwisho zito katumia pale. Kamalizia na neno "nadhani." Kiswahili kinaruhusu ufundi huo wa kuisokota lugha:

"Hayo maelezo ni batili,jaji hawezi kuruhusu mahakama yake kuyapokea nadhani"

Black belts ana hoja.
 
Ungekuwa na akili ungekuwa umetambua huu uzi unazungumzia hoja za Adamoo zinazobishaniwa. Utetezi upande mmoja na mashtaka upande mwingine.

Halipo neno Chadema au hata Dr. Slaa kwenye uzi huu.

Yote yaliyo hapa anayo Jaji na kayasikia yeyote aliyefuatilia.

Wapi nimekosea, kupunguza, kuongeza au hata kutia chumvi? Onyesha nitarekebisha.

Hoja ni humo. Kama huna hoja funga mdomo wako.

Huku siyo Telegram!
Vituko kweli yupo mbowe mwenyekiti wa saccos anatuhumiwa ugaidi halafu unataka isitajwe chadema uko sayari gani wewe
 
Sorry tunamwangalia mheshimiwa Jaji na tuna Imani naye ya kuwa atatenda haki. Ushahidi ameusikia na vilevile amepata faida ya kuwaona mashaidi kwa mamma walivyokuwa wakitoa ushahidi wao(deameaner of witnesses). Tumwombee Mungu amtangulie na atende haki.
Umeongea maneno ya hekima Sana. Asante
 
Back
Top Bottom