Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Magufuli died before 17th of March.Mungu ndie atatulipia kama 17th March
ShukranMagufuli died before 17th of March.
17th March was just an official declaration following internal pressure as far as power struggle is concerned
Wacha bwana! unasema Adamoo anadai hajala siku 10 ?Adamo ndio kamtaja Mzee Mbowe kumtumia ktk Ugaidi.
ndio maana anapapatua ili maelezo yake yasipokelewe, ila kazidisha uongo hadi unanuka!!
eti anadai hajala siku 10!! hiyo ni dalili ya mtu muongo! na mzushi!
Hata asipoonekana mtafanya nini ?
Kinachotakiwa kufanywa ni ku deal perpendicularly na Familia nzima ya Mahita + Kingai. The two should be elimin......dAsipoonekana tutaendelea kumdai kwa maana wadaiwa sasa tunawajua kwa majina, sura, kazi, vyeo, na ni subordinates wa nani.
La zaidi tunamjua top most bosi wao aliyewatuma na anayemtuma. Tutakula nao wote sahani moja.
Kina Azory, Ben wote tutawapata haijali itachukua muda gani.
Kumbe una nondo, wahi kupeleka ukaokoe jahazi, ili yaende kuwemo kwenye 'submission' ya maandishi.Adamo ndio kamtaja Mzee Mbowe kumtumia ktk Ugaidi.
ndio maana anapapatua ili maelezo yake yasipokelewe, ila kazidisha uongo hadi unanuka!!
eti anadai hajala siku 10!! hiyo ni dalili ya mtu muongo! na mzushi!
Mkuu naomba kuuliza. Kama ikibainika hawakukamatwa kwa mujibu wa sheria na yale maelezo ya polisi sio yao nini kitafuata? Je kesi itafutwa au wataandika maelezo upya??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachotakiwa kufanywa ni ku deal perpendicularly na Familia nzima ya Mahita + Kingai. The two should be elimin......d
Una maana wahuni wa Ufipa ndiyo wanamshikilia Moses?
View attachment 1958548
Arudishwe Moses Lijenje akiwa hai.
Muhuni ma....yakoAu wahuni wa Ufipa hawatafanya lolote kumvuruga mwamuzi?
Unfortunately he is under the red soil. He is humus now.
yaani jamaa ni muongo hatari!!Wacha bwana! unasema Adamoo anadai hajala siku 10 ?
But when they push you to the edge, they leave with no option but to take your armsWasiotutakia mema wanatutaka sana kuuvaa ugaidi.
Vita vyetu ni vya amani.
Hata pale tutakapo nyanyaswa hatutakuwa kama wao.
Utesaji wa Dola - Agenda kubwa Uchaguzi ujao
Viva Mbowe, Adamoo, Ling'wenya, Khalfani, Lijenje na makamanda wote!
Mmetangulia tuko njiani twaja.
Yuko wapi Lijenje?
But when they push you to the edge, they leave with no option but to take your arms
Hayo maelezo ni batili,jaji hawezi kuruhusu mahakama yake kuyapokea nadhani
Unatafuta kiki kipumbavu sana.ushahidi wa Adamoo ni maneno ya mfa maji, hayana maana hata kidogo, maneno yake yamejaa uzushi na uongo wa kunuka, yanafaa yapuuuzwe kabisaaaa.
Nadhani ungesema tu kwamba fikra zako Zinakutuma hivyo kuliko namna ulivyosemaHayo maelezo ni batili,jaji hawezi kuruhusu mahakama yake kuyapokea nadhani
Nadhani ungesema tu kwamba fikra zako Zinakutuma hivyo kuliko namna ulivyosema
Vituko kweli yupo mbowe mwenyekiti wa saccos anatuhumiwa ugaidi halafu unataka isitajwe chadema uko sayari gani weweUngekuwa na akili ungekuwa umetambua huu uzi unazungumzia hoja za Adamoo zinazobishaniwa. Utetezi upande mmoja na mashtaka upande mwingine.
Halipo neno Chadema au hata Dr. Slaa kwenye uzi huu.
Yote yaliyo hapa anayo Jaji na kayasikia yeyote aliyefuatilia.
Wapi nimekosea, kupunguza, kuongeza au hata kutia chumvi? Onyesha nitarekebisha.
Hoja ni humo. Kama huna hoja funga mdomo wako.
Huku siyo Telegram!
Umeongea maneno ya hekima Sana. AsanteSorry tunamwangalia mheshimiwa Jaji na tuna Imani naye ya kuwa atatenda haki. Ushahidi ameusikia na vilevile amepata faida ya kuwaona mashaidi kwa mamma walivyokuwa wakitoa ushahidi wao(deameaner of witnesses). Tumwombee Mungu amtangulie na atende haki.