Haya mambo hayajaanza leo nakumbuka miaka ya tisini wakati watumishi wanapokea mishahara madirishani, makarani walikuwa wanafuata hundi hazina zikiwa na mishahara feki kibao.wakilipa mishahara fedha ya mishahara feki walikuwa wanagawana na watumishi wa hazina.kwa hiyo upigaji wa namna hiyo umeanza kitambo sana.Ulaji ni syndicate ya Serikali na Halmashauri zetu! Asikwambie mtu.