Mbona Ali Hasani Mwinyi ana shamba kubwa tu la spaisizMtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi zanzibar?
Hoja za muungano jadilini pia Kama biashara,kilimo na uvuvi Ni Jambo la muungano? Wazanzibari wamejaa Tanganyika wakivua na kuuza samaki,pweza nk
Kufanya biashara kila kona ya nchi na kumiliki ardhi na kulima watakavyo. Je, tulikubaliana Muungano hayo kuwa sehemu ya muungano?
Sehemu kubwa ya bahari ipo upande wa Tanganyika. Kuanzia tanga mpaka Mtwara na mafia island. Huna akili wewe mchangia mada. Wewe unafikiri bahari dunia nzima ni Mali ya Zanzibar punguani mkubwa wewe.Kunya ni jambo la muungano maana wabara wanatupa kinyesi baharini wakati wana misitu,msisahau ule ukanda wa kilomita kumi tuko mbioni kuufwatilia,Tanga Dar Mtwara zote hizo zinatangaza kujiunga na Zanzibar.
Kila siku nasisitiza elimu ya uraia inahitajika sana kwa baadhi ya wenzetu kuendelea na ujinga wa kuhoji vitu vidogo vidogo!.Hoja za muungano jadilini pia Kama biashara,kilimo na uvuvi Ni Jambo la muungano? Wazanzibari wamejaa Tanganyika wakivua na kuuza samaki,pweza nk
Kufanya biashara kila kona ya nchi na kumiliki ardhi na kulima watakavyo. Je, tulikubaliana Muungano hayo kuwa sehemu ya muungano?
Tunataka katiba mpya ambayo italinda maslahi ya kila nchi! CCM walaaniwe kwa kuuza nchi yetu kirejareja!Hoja za muungano jadilini pia Kama biashara,kilimo na uvuvi Ni Jambo la muungano? Wazanzibari wamejaa Tanganyika wakivua na kuuza samaki,pweza nk
Kufanya biashara kila kona ya nchi na kumiliki ardhi na kulima watakavyo. Je, tulikubaliana Muungano hayo kuwa sehemu ya muungano?
You are giving a simple answer to a tough questionKila siku nasisitiza elimu ya uraia inahitajika sana kwa baadhi ya wenzetu kuendelea na ujinga wa kuhoji vitu vidogo vidogo!.
Tanzania ni nchi moja, na uraia mmoja tuu!. Watanzania ni Watanzania bara wote na Watanzania Visiwani, au Tanzania Zanzibar, wako sawa sawa na wana haki zote za uraia sawa sawa kama Watanzania.
Hivyo Wazanzibari wana haki zote za kiraia ikiwemo kumiliki mali, ajira, elimu etc.
Japo Tanzania ni nchi moja ya JMT, ina sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar.
Tanzania Zanzibar ina utawala wake wa ndani kwa mambo yote yasiyo ya muungano, lakini Tanzania hatuna utawala wake wa ndani.
Kwa mambo yote ya ndani ya Zanzibar yasiyo ya muungano, ikiwemo ardhi, ajira ya SMZ, uongozi, etc, ni haki ya Watanzania Wazanzibari only.
Kutokana na hilo, kuna Watanzania wajinga wanadhani, Tanzania Bara ni kwa Watanzania bara tuu, na sasa wanahoji kwanini Wazanzibari wanaruhusiwa kila kitu huku bara, lakini wa Bara, hawaruhusiwi Zanzibar, hawa ni wajinga tuu na huo pia ni ujinga.
Kila Mzanzibari pia ni Mtanzania, lakini sio kila Mtanzania ni Mzanzibari. Tanzania ni kwa Watanzania wote, Wazanzibari wakiwemo ila Zanzibar ni kwa Wazanzibari pekee!.
P.
Duu chako ni chako ila changu ni chetu!Kila siku nasisitiza elimu ya uraia inahitajika sana kwa baadhi ya wenzetu kuendelea na ujinga wa kuhoji vitu vidogo vidogo!.
Tanzania ni nchi moja, na uraia mmoja tuu!. Watanzania ni Watanzania bara wote na Watanzania Visiwani, au Tanzania Zanzibar, wako sawa sawa na wana haki zote za uraia sawa sawa kama Watanzania.
Hivyo Wazanzibari wana haki zote za kiraia ikiwemo kumiliki mali, ajira, elimu etc.
Japo Tanzania ni nchi moja ya JMT, ina sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar.
Tanzania Zanzibar ina utawala wake wa ndani kwa mambo yote yasiyo ya muungano, lakini Tanzania hatuna utawala wake wa ndani.
Kwa mambo yote ya ndani ya Zanzibar yasiyo ya muungano, ikiwemo ardhi, ajira ya SMZ, uongozi, etc, ni haki ya Watanzania Wazanzibari only.
Kutokana na hilo, kuna Watanzania wajinga wanadhani, Tanzania Bara ni kwa Watanzania bara tuu, na sasa wanahoji kwanini Wazanzibari wanaruhusiwa kila kitu huku bara, lakini wa Bara, hawaruhusiwi Zanzibar, hawa ni wajinga tuu na huo pia ni ujinga.
Kila Mzanzibari pia ni Mtanzania, lakini sio kila Mtanzania ni Mzanzibari. Tanzania ni kwa Watanzania wote, Wazanzibari wakiwemo ila Zanzibar ni kwa Wazanzibari pekee!.
P.
Zanzibar Kuna TRA yao inaitwa ZRB kirefu Zanzibar Revenue Board