Hoja za Muungano: Biashara, Kilimo na Uvuvi ni jambo la Muungano?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Hoja za muungano jadilini pia Kama biashara,kilimo na uvuvi Ni Jambo la muungano? Wazanzibari wamejaa Tanganyika wakivua na kuuza samaki,pweza nk

Kufanya biashara kila kona ya nchi na kumiliki ardhi na kulima watakavyo. Je, tulikubaliana Muungano hayo kuwa sehemu ya muungano?
 
Kunya ni jambo la muungano maana wabara wanatupa kinyesi baharini wakati wana misitu,msisahau ule ukanda wa kilomita kumi tuko mbioni kuufwatilia,Tanga Dar Mtwara zote hizo zinatangaza kujiunga na Zanzibar.
 
CCM mnatafuta pa kujificha ila hamtoki hayo ya Zanzibar msifikiri mtaondoka na wananchi kuunga mkono vilio visivyowatoa machozi.
 
Hoja za muungano jadilini pia Kama biashara,kilimo na uvuvi Ni Jambo la muungano? Wazanzibari wamejaa Tanganyika wakivua na kuuza samaki,pweza nk

Kufanya biashara kila kona ya nchi na kumiliki ardhi na kulima watakavyo. Je, tulikubaliana Muungano hayo kuwa sehemu ya muungano?

Bora hata ww umeamua kujadili hizi hekaya, kuliko ungeshupaza shingo kwenda kwenye kutetea ule utoto wa huko mahakamani wa ugaidi wa laki sita.
 
Kunya ni jambo la muungano maana wabara wanatupa kinyesi baharini wakati wana misitu,msisahau ule ukanda wa kilomita kumi tuko mbioni kuufwatilia,Tanga Dar Mtwara zote hizo zinatangaza kujiunga na Zanzibar.
Sehemu kubwa ya bahari ipo upande wa Tanganyika. Kuanzia tanga mpaka Mtwara na mafia island. Huna akili wewe mchangia mada. Wewe unafikiri bahari dunia nzima ni Mali ya Zanzibar punguani mkubwa wewe.
 
Iwe la muungano au siyo muungano, kodi ya mapato ni jambo la muungano.

Hivyo kilimo si jambo la muungano lakini ukiwekeza Zanzibar kodi yake inaifaidi TRA.
 
Hoja za muungano jadilini pia Kama biashara,kilimo na uvuvi Ni Jambo la muungano? Wazanzibari wamejaa Tanganyika wakivua na kuuza samaki,pweza nk

Kufanya biashara kila kona ya nchi na kumiliki ardhi na kulima watakavyo. Je, tulikubaliana Muungano hayo kuwa sehemu ya muungano?
Kila siku nasisitiza elimu ya uraia inahitajika sana kwa baadhi ya wenzetu kuendelea na ujinga wa kuhoji vitu vidogo vidogo!.

Tanzania ni nchi moja, na uraia mmoja tuu!. Watanzania ni Watanzania bara wote na Watanzania Visiwani, au Tanzania Zanzibar, wako sawa sawa na wana haki zote za uraia sawa sawa kama Watanzania.

Hivyo Wazanzibari wana haki zote za kiraia ikiwemo kumiliki mali, ajira, elimu etc.

Japo Tanzania ni nchi moja ya JMT, ina sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar.

Tanzania Zanzibar ina utawala wake wa ndani kwa mambo yote yasiyo ya muungano, lakini Tanzania hatuna utawala wake wa ndani.

Kwa mambo yote ya ndani ya Zanzibar yasiyo ya muungano, ikiwemo ardhi, ajira ya SMZ, uongozi, etc, ni haki ya Watanzania Wazanzibari only.

Kutokana na hilo, kuna Watanzania wajinga wanadhani, Tanzania Bara ni kwa Watanzania bara tuu, na sasa wanahoji kwanini Wazanzibari wanaruhusiwa kila kitu huku bara, lakini wa Bara, hawaruhusiwi Zanzibar, hawa ni wajinga tuu na huo pia ni ujinga.

Kila Mzanzibari pia ni Mtanzania, lakini sio kila Mtanzania ni Mzanzibari. Tanzania ni kwa Watanzania wote, Wazanzibari wakiwemo ila Zanzibar ni kwa Wazanzibari pekee!.

P.
 
Tunataka katiba mpya ambayo italinda maslahi ya kila nchi! CCM walaaniwe kwa kuuza nchi yetu kirejareja!
 
Iwe la muungano au siyo muungano, kodi ya mapato ni jambo la muungano.

Hivyo kilimo si jambo la muungano lakini ukiwekeza Zanzibar kodi yake inaifaidi TRA.
Zanzibar Kuna TRA yao inaitwa ZRB kirefu Zanzibar Revenue Board
 
Kila siku nasisitiza elimu ya uraia inahitajika sana kwa baadhi ya wenzetu kuendelea na ujinga wa kuhoji vitu vidogo vidogo!.

Tanzania ni nchi moja, na uraia mmoja tuu!. Watanzania ni Watanzania bara wote na Watanzania Visiwani, au Tanzania Zanzibar, wako sawa sawa na wana haki zote za uraia sawa sawa kama Watanzania.

Hivyo Wazanzibari wana haki zote za kiraia ikiwemo kumiliki mali, ajira, elimu etc.

Japo Tanzania ni nchi moja ya JMT, ina sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar.

Tanzania Zanzibar ina utawala wake wa ndani kwa mambo yote yasiyo ya muungano, lakini Tanzania hatuna utawala wake wa ndani.

Kwa mambo yote ya ndani ya Zanzibar yasiyo ya muungano, ikiwemo ardhi, ajira ya SMZ, uongozi, etc, ni haki ya Watanzania Wazanzibari only.

Kutokana na hilo, kuna Watanzania wajinga wanadhani, Tanzania Bara ni kwa Watanzania bara tuu, na sasa wanahoji kwanini Wazanzibari wanaruhusiwa kila kitu huku bara, lakini wa Bara, hawaruhusiwi Zanzibar, hawa ni wajinga tuu na huo pia ni ujinga.

Kila Mzanzibari pia ni Mtanzania, lakini sio kila Mtanzania ni Mzanzibari. Tanzania ni kwa Watanzania wote, Wazanzibari wakiwemo ila Zanzibar ni kwa Wazanzibari pekee!.

P.
You are giving a simple answer to a tough question

Jibu la kienyeji hili
 
Duu chako ni chako ila changu ni chetu!
Maadam katiba ya Tanzania imeridhia kazi iendelee!
 
Kila anachofanya Mzanzibar huku na wewe unaruhusiwa kule visiwani.
Nenda kavue, anzisha biashara pata fedha nunua shamba etc
 
Tanganyika Law society hili kwa heshima na taadhima mimi mleta mada nawakabidhi rasmi mliangalie please na mtupe mrejesho our learned Brothers
 
Wanaharakati na vyombo vya habari bebeni hii hoja pia
 
Back
Top Bottom