Hoja za Profesa Kabudi kuhusu uraia pacha si za kweli

Mkulima

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Posts
1,236
Reaction score
1,546
Nimeshangazwa sana na hotuba ya profesa Kabudi bungeni kuhusu uraia pacha.

Alianza kwa kusema amefanya utafiti Lakini alichokiongea ni uongo mkubwa na bunge lingelikuwa na heshima ya ukweli ingebidi aitwe ili kusahihisha makosa kibao kwenye utafiti wake.

Nimeona ni bora kufanya fact check ya hotuba yake:

1. 51% ya dunia hawana uraia pacha - uongo
Kati ya nchi 193 chini ya UN, zaidi ya nchi 100 zinaruhusu uraia pacha Japo sheria zinatofautiana kati ya nchi na nchi.

2. Ujerumani hawaruhusu uraia pacha. Uraia wao ni wa damu, Hata mtoto wa wageni akizaliwa huko anakuwa sio raia - Uongo
Ujerumani inaruhusu uraia pacha wa aina mbalimbali. Ukiwa na uraia wa nchi ya EU Unaweza Pia kuchukua uraia wa Ujerumani. Mtoto ambaye mzazi mmoja sio Mjerumani anaruhusiwa kuwa na uraia pacha. Watoto waliozaliwa Ujerumani na wazazi wasio Wajerumani wanakuwa Wajerumani Kuanzia 2000 ili mradi mzazi mmoja awe na uhalali wa kuishi Ujerumani.

3. Denmark hawaruhusu uraia pacha- uongo

4. Katoa quote ya Nyerere ya mwaka 1960 kuhusu uraia pacha

Kaacha quotes zingine nyingi za Nyerere za miaka baada ya 1960. Kwanza Huu ni mwaka 2023, Kweli anataka kutumia mifano ya 1960?

Hoja hupingwa kwa hoja na uthibitisho pia, nafikiri kutokana na hoja zako hapo hukuwa na sababu ya kuandika kichwa cha habari kama hicho, hapo umefanya "Personal attack" ni kama una chuki na mlengwa..
Katumia uongo kwenye mijadala mingi hivyo anastahili kuitwa mpuuzi.
 
Kuh: Nchi za EU

Itakuwa sio sawa kudai madai au tafiti za Kabudi ni za Uongo. Kwani na nitanukuu....
Serikali za Ulaya lazima zikubaliane kwa kauli moja katika Baraza la Umoja wa Mataifa kupitisha baadhi ya sera;
Kwa mantiki hiyo, siyo sera zote za EU zinakubalika katika nchi mwanachama.
Na hivyo basi kufanya madai ya Kabudi kusimama.....endelea kusoma chini...

Kwa wengine, maamuzi ya pamoja hufanywa na kura nyingi zilizohitimu. Majukumu haya na kugawana uhuru ndani ya EU (wakati mwingine hujulikana kama supranational) hufanya kuwa ya kipekee kati ya mashirika ya kimataifa, kama imeanzisha utaratibu wake wa kisheria ambao kwa masharti ya mikataba ya mwanzilishi ni ya kisheria na ya juu kwa nchi zote wanachama.
Hatahivyo, ni hivi karibuni ndipo walipo kaa kitako na kuanza mchakato wa pamoja wa kijumuiya kutatua masuala ya uhamiaji, na nina imani kwamba hata suala la Raia pacha limo humo(nipo tayari kusahihishwa) isitoshe nadhani suala la Raia pacha linashugulikiwa na Nchi(sovereign state)moja mmoja na sio kwa Ujumla yaani chini ya mwamvuli wa EU..
 
Amezoea kuongea uongo miaka mingi... Alipotosha kuhusu dawa ya COVID 19 kutoka Madagascar na pia alipotosha kuwa tunaidai Acacia Trillion 300+ na pia alidanganya kwamba tutawagawana faida na Barrick 50 kwa 50 ilihali tumeambulia 16% ya hisa pekee.

Huyu Mzee Toka aikane Rasimu ya Warioba kisa uwaziri alipoteza heshima yake yote. Atastaafu 2025 akiwa hajaacha legacy yoyote Ile.
 
Hoja hupingwa kwa hoja na uthibitisho pia, nafikiri kutokana na hoja zako hapo hukuwa na sababu ya kuandika kichwa cha habari kama hicho, hapo umefanya "Personal attack" ni kama una chuki na mlengwa..
How is it personal Attack? Mtu amelist hoja na kuzipinga?
 
Katumia uongo kwenye mijadala mingi hivyo anastahili kuitwa mpuuzi.
Huyo mzee ni muongo wa muda mrefu, na anatumia udhaifu wa viongozi wengi kutokuwa na tabia ya kusoma kuwapotosha. Mzee huyu ametumika kutengeneza sheria nyingi mbaya za kulinda viongozi dhidi ya watawaliwa.
 
Nimeshangazwa sana na hotuba ya profesa Kabudi bungeni kuhusu uraia pacha.

Alianza kwa kusema amefanya utafiti Lakini alichokiongea ni uongo mkubwa na bunge lingelikuwa na heshima ya ukweli ingebidi aitwe ili kusahihisha makosa kibao kwenye utafiti wake.

Nimeona ni bora kufanya fact check ya hotuba yake:

1. 51% ya dunia hawana uraia pacha - uongo
Kati ya nchi 193 chini ya UN, zaidi ya nchi 100 zinaruhusu uraia pacha Japo sheria zinatofautiana kati ya nchi na nchi.

2. Ujerumani hawaruhusu uraia pacha. Uraia wao ni wa damu, Hata mtoto wa wageni akizaliwa huko anakuwa sio raia - Uongo
Ujerumani inaruhusu uraia pacha wa aina mbalimbali. Ukiwa na uraia wa nchi ya EU Unaweza Pia kuchukua uraia wa Ujerumani. Mtoto ambaye mzazi mmoja sio Mjerumani anaruhusiwa kuwa na uraia pacha. Watoto waliozaliwa Ujerumani na wazazi wasio Wajerumani wanakuwa Wajerumani Kuanzia 2000 ili mradi mzazi mmoja awe na uhalali wa kuishi Ujerumani.

3. Denmark hawaruhusu uraia pacha- uongo

4. Katoa quote ya Nyerere ya mwaka 1960 kuhusu uraia pacha

Kaacha quotes zingine nyingi za Nyerere za miaka baada ya 1960. Kwanza Huu ni mwaja 2023, Kweli anataka kutumia mifano ya 1960?

Kati ya viumbe hasara kwa taifa ni huyo jamaa.
Kama mnashangaa ni nani alikua nyuma ya Jiwe katika yale mambo wengi mnamshangaa na kuona kuwa alibadilika, basi ni huyo jamaa.
 
Amezoea kuongea uongo miaka mingi... Alipotosha kuhusu dawa ya COVID 19 kutoka Madagascar na pia alipotosha kuwa tunaidai Acacia Trillion 300+ na pia alidanganya kwamba tutawagawana faida na Barrick 50 kwa 50 ilihali tumeambulia 16% ya hisa pekee.

Huyu Mzee Toka aikane Rasimu ya Warioba kisa uwaziri alipoteza heshima yake yote. Atastaafu 2025 akiwa hajaacha legacy yoyote Ile.
Hata uongo ni legacy Tanzania
 
Nimeshangazwa sana na hotuba ya profesa Kabudi bungeni kuhusu uraia pacha.

Alianza kwa kusema amefanya utafiti Lakini alichokiongea ni uongo mkubwa na bunge lingelikuwa na heshima ya ukweli ingebidi aitwe ili kusahihisha makosa kibao kwenye utafiti wake.

Nimeona ni bora kufanya fact check ya hotuba yake:

1. 51% ya dunia hawana uraia pacha - uongo
Kati ya nchi 193 chini ya UN, zaidi ya nchi 100 zinaruhusu uraia pacha Japo sheria zinatofautiana kati ya nchi na nchi.

2. Ujerumani hawaruhusu uraia pacha. Uraia wao ni wa damu, Hata mtoto wa wageni akizaliwa huko anakuwa sio raia - Uongo
Ujerumani inaruhusu uraia pacha wa aina mbalimbali. Ukiwa na uraia wa nchi ya EU Unaweza Pia kuchukua uraia wa Ujerumani. Mtoto ambaye mzazi mmoja sio Mjerumani anaruhusiwa kuwa na uraia pacha. Watoto waliozaliwa Ujerumani na wazazi wasio Wajerumani wanakuwa Wajerumani Kuanzia 2000 ili mradi mzazi mmoja awe na uhalali wa kuishi Ujerumani.

3. Denmark hawaruhusu uraia pacha- uongo

4. Katoa quote ya Nyerere ya mwaka 1960 kuhusu uraia pacha

Kaacha quotes zingine nyingi za Nyerere za miaka baada ya 1960. Kwanza Huu ni mwaja 2023, Kweli anataka kutumia mifano ya 1960?

Serikali msiruhusu huu ujinga Hadi ccm na Katiba ibadilishwe kutoka Itikadi ya Kijamaa kuja Itikadi ya ubepari..

Mwisho tupike kelele vifungu vya sheria ya usalama wa Taifa vinavyotoa Kinga Kwa uhalifu vifutwe.
 
Nimeshangazwa sana na hotuba ya profesa Kabudi bungeni kuhusu uraia pacha.

Alianza kwa kusema amefanya utafiti Lakini alichokiongea ni uongo mkubwa na bunge lingelikuwa na heshima ya ukweli ingebidi aitwe ili kusahihisha makosa kibao kwenye utafiti wake.

Nimeona ni bora kufanya fact check ya hotuba yake:

1. 51% ya dunia hawana uraia pacha - uongo
Kati ya nchi 193 chini ya UN, zaidi ya nchi 100 zinaruhusu uraia pacha Japo sheria zinatofautiana kati ya nchi na nchi.

2. Ujerumani hawaruhusu uraia pacha. Uraia wao ni wa damu, Hata mtoto wa wageni akizaliwa huko anakuwa sio raia - Uongo
Ujerumani inaruhusu uraia pacha wa aina mbalimbali. Ukiwa na uraia wa nchi ya EU Unaweza Pia kuchukua uraia wa Ujerumani. Mtoto ambaye mzazi mmoja sio Mjerumani anaruhusiwa kuwa na uraia pacha. Watoto waliozaliwa Ujerumani na wazazi wasio Wajerumani wanakuwa Wajerumani Kuanzia 2000 ili mradi mzazi mmoja awe na uhalali wa kuishi Ujerumani.

3. Denmark hawaruhusu uraia pacha- uongo

4. Katoa quote ya Nyerere ya mwaka 1960 kuhusu uraia pacha

Kaacha quotes zingine nyingi za Nyerere za miaka baada ya 1960. Kwanza Huu ni mwaja 2023, Kweli anataka kutumia mifano ya 1960?

IMG_20210806_053407_437.jpg
 
Unajua ujerumani kweli?
 
😛😛Leo hii umepata kusoma hapa na kujielewa.
Ulipogundua kuwa wivu una usongo wake wa kipekee kabisa, ulitafuta amani, kudios.
Ni kweli, katika Dunia hii kuna watu huwa na dhamira chafu. Wanalegea taratibu.
 
Back
Top Bottom