Hoja za Profesa Kabudi kuhusu uraia pacha si za kweli

Amezoea kuongea uongo miaka mingi... Alipotosha kuhusu dawa ya COVID 19 kutoka Madagascar na pia alipotosha kuwa tunaidai Acacia Trillion 300+ na pia alidanganya kwamba tutawagawana faida na Barrick 50 kwa 50 ilihali tumeambulia 16% ya hisa pekee.

Huyu Mzee Toka aikane Rasimu ya Warioba kisa uwaziri alipoteza heshima yake yote. Atastaafu 2025 akiwa hajaacha legacy yoyote Ile.

Kadanganya umri...Samia ana 63 na yeye mkubwa kuliko Samia
 
Nimeshangazwa sana na hotuba ya profesa Kabudi bungeni kuhusu uraia pacha.

Alianza kwa kusema amefanya utafiti Lakini alichokiongea ni uongo mkubwa na bunge lingelikuwa na heshima ya ukweli ingebidi aitwe ili kusahihisha makosa kibao kwenye utafiti wake.

Nimeona ni bora kufanya fact check ya hotuba yake:

1. 51% ya dunia hawana uraia pacha - uongo
Kati ya nchi 193 chini ya UN, zaidi ya nchi 100 zinaruhusu uraia pacha Japo sheria zinatofautiana kati ya nchi na nchi.

2. Ujerumani hawaruhusu uraia pacha. Uraia wao ni wa damu, Hata mtoto wa wageni akizaliwa huko anakuwa sio raia - Uongo
Ujerumani inaruhusu uraia pacha wa aina mbalimbali. Ukiwa na uraia wa nchi ya EU Unaweza Pia kuchukua uraia wa Ujerumani. Mtoto ambaye mzazi mmoja sio Mjerumani anaruhusiwa kuwa na uraia pacha. Watoto waliozaliwa Ujerumani na wazazi wasio Wajerumani wanakuwa Wajerumani Kuanzia 2000 ili mradi mzazi mmoja awe na uhalali wa kuishi Ujerumani.

3. Denmark hawaruhusu uraia pacha- uongo

4. Katoa quote ya Nyerere ya mwaka 1960 kuhusu uraia pacha

Kaacha quotes zingine nyingi za Nyerere za miaka baada ya 1960. Kwanza Huu ni mwaka 2023, Kweli anataka kutumia mifano ya 1960?

Huyu mzee tangu zile drama zake za COVIDOL ya madagascar na kumwita Magufuli Mungu nilimuona takataka.
 
Huu ndio msukule aliotumia yule mungu kutuumiza! linatumia tu vyeti vya lenyewe kudanganya wadanganyika! Kabudi kachambie hivyo vyeti umeshtukiwa!
 
Nimeshangazwa sana na hotuba ya profesa Kabudi bungeni kuhusu uraia pacha.

Alianza kwa kusema amefanya utafiti Lakini alichokiongea ni uongo mkubwa na bunge lingelikuwa na heshima ya ukweli ingebidi aitwe ili kusahihisha makosa kibao kwenye utafiti wake.

Nimeona ni bora kufanya fact check ya hotuba yake:

1. 51% ya dunia hawana uraia pacha - uongo
Kati ya nchi 193 chini ya UN, zaidi ya nchi 100 zinaruhusu uraia pacha Japo sheria zinatofautiana kati ya nchi na nchi.

2. Ujerumani hawaruhusu uraia pacha. Uraia wao ni wa damu, Hata mtoto wa wageni akizaliwa huko anakuwa sio raia - Uongo
Ujerumani inaruhusu uraia pacha wa aina mbalimbali. Ukiwa na uraia wa nchi ya EU Unaweza Pia kuchukua uraia wa Ujerumani. Mtoto ambaye mzazi mmoja sio Mjerumani anaruhusiwa kuwa na uraia pacha. Watoto waliozaliwa Ujerumani na wazazi wasio Wajerumani wanakuwa Wajerumani Kuanzia 2000 ili mradi mzazi mmoja awe na uhalali wa kuishi Ujerumani.

3. Denmark hawaruhusu uraia pacha- uongo

4. Katoa quote ya Nyerere ya mwaka 1960 kuhusu uraia pacha

Kaacha quotes zingine nyingi za Nyerere za miaka baada ya 1960. Kwanza Huu ni mwaka 2023, Kweli anataka kutumia mifano ya 1960?

Wewe utafiti uliofanya uko wapi? Au umelewa Bangi za kwenye biscuit?
 
64F79460-22BD-4700-A620-FE6DBF6284CB.png
 
Kama ulibahatika kumsikiza Kabudi na Mkumbo, ni kama wa hasira ya watu wenye uraia pacha...
 
Back
Top Bottom